Ngoma za wasanii hawa wawili zinapishana katika playlist yangu muda huu, nashindwa kuamua nani ni mkali kwani ngoma zote ni za moto.
Mdau wa muziki wa kizazi kipya, kwa sikio na jicho lako, yupi...
Kimapenzi, kwa mwanamke kuwa karibu na Diamod Platinumz, hapo huyo mwanamke atayeyuka kama siagi ikikatwa na kisu cha moto!
Kwa wanaomfahamu Diamond, hajawahi kumuacha mwanamke salama. Christina...
Harris Kapiga
Nimeona Clouds TV ni kitu kama Haris kapiga anaagwa kistaafu kufanya kipindi Cha gospel pale Clouds TV.
Nadhani amepandishwa cheo, kuna na wasanii mbalimbali wa injili wamealikwa...
Yaani Hawa jamaa ndio WASANII ninaowasikiliza Tanzania Leo wameachia Ngoma Kali sana ya Harmonize inaitwa sherehena ya Rayvanny inaitwa namtaka.
Aisee hii weekend ni kuvibe nazo tu ni Ngoma Kali...
Wadau hamjamboni nyote?
Soma maneno ya msanii mkongwe nchini Ferooz
"Tulianza show kwa kulipwa Tsh.30,000 na kiingilio ilikuwa ni buku jero mpaka buku getini" - Feroozz mkongwe Bongofleva...
Paul Okoye, maarufu kama Rudeboy kutoka kundi la muziki wa Afrobeats la PSquare amezua gumzo mitandaoni baada ya kuwashauri wanaume pia kukumbatia hulka ya kukataa mpenzi wa kike asiye na hela...
Nawasalimu kwa jina la HIP HOP
Mwana mziki wa Hip hop P mawenge a.k.a P the Mc katuacha na mshangao wadau na wapenzi wa muziki wa hip hop baada ya kutoa ngoma inayokwenda kwa jina la NAHAMIA...
Hawa ndio wasanii Wakali wa Bongo fleva ambao hawazingatiwi na hawana ukubwa unaoendana na vipaji vyao.
Ibra nation
Kayumba mbossie
Michu
Mayunga
Mapanch Bmb
Mattan
Bluce African
Fobby
Pasha...
Binafsi mimi ni mzalendo na nnapenda sana kufuatilia tamthilia za hapa bongo mara moja moja pindi nkipata nafasi nkiwa home,
Kuna hii Huba series inayorushwa DSTV (Maisha Magic bongo) ni ya muda...
Kipindi hiki cha mwaka 2002 nilianza rasmi kufatilia mashindano ya wadada warembo, nilimshuhudia Madam Angela Damas akiibuka mshindi na kuchukua taji la Miss Tanzania 2002.
Nilipenda zaidi jinsi...
Aliyekuwa mtangazaji nguli wa EATV na East Africa Radio, Dullah Planet, Mjukuu wa Wambua rasmi ametambulishwa na kukaribishwa kwenye Radio ya Ali Kiba, Crown Radio. Ambapo tayari accounts za...
Mimi ni muumini wa muziki wa Rap, navutiwa sana na nyimbo za Hip-hop zilizojikita katika masimulizi.
Nimesikiliza story telling rap songs nyingi mno, tangu story 3 ya Jay Moe, Sister sister ya...
Kwa kweli hamna kitu anachonikwaza Tunda kama nikimuona akijiachia achia hovyo na midume ya ajabu ajabu ajabu huwa nagadhibika sana.
Yaani naona kabisa siku hizi anataka kuwa kama hawa vinuka...
Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday na kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint...
Huu uandishi mnau-rate ngapi kwa scale ya 1 mpaka 10 wanajamvi.
Kumbe ndiyo maana haandikagi sana mitandaoni..
Ni bora aendelee kukaaga kimya tu, amfichie hizi aibu ndogondogo huyo overrated...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.