Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

official_tundaOkay tusikilizane kwa aya yanayoendelea!...Kwanza naomba radhi kwa watu wote kutokana na video zinazosambaa mtandaoni sielewi kwanini ameamua kufanya ivi muhusika mwenyewe lakini...
4 Reactions
142 Replies
24K Views
Kabla hujaanza kusoma vizuri, naomba kwanza urejee kichwa cha habari hapo juu, kielewe vizuri halafu ndiyo uendelee kusoma, Binafsi ukija kwa mbele yangu na kunitupia swali la haraka, kutaka...
8 Reactions
60 Replies
4K Views
DIZASTA NI MDOGO WA DAMU WA KING CRAZY GK ALIYECHAGUA KURAFIKIANA NA PROFESSOR JAY NA MR EBBO KATIKA MAKUZI YAKE. 1. Wawili hawa wana asili ya mkoa wa Mbeya lakini wamesikika zaidi wakiwakilisha...
8 Reactions
39 Replies
4K Views
Hello bosses... Nlidhan sitokuja kusikiliza tena rap kutoka bongo, kwa wale tunaopenda rap kutoka kwa veterans iwe wa humu tz au nnje basi natumaini mtanielewa. Dizasta ni complete package ya...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
1. Millard Ayo
14 Reactions
104 Replies
5K Views
Imefikia kipindi nikiona tu sio wewe unayesoma taarifa ya habari basi naondoka au nabadilisha channel. Na nilivyo mgonjwa wa big nyashi, sehemu muhimu zaidi kwangu ni pale unapogeuka na kutembea...
33 Reactions
103 Replies
7K Views
Katika kujiongezea kipato cha ziada mbali na mapambano ya ngumi nje na ndani ya nchi bondia huyu kutoka Gym ya Naccoz ameamua kujikita pia katika ujasiriamali. Hivi majuzi ameanza ujasiriamali...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Dunia yote inamtukuza na kumuhusudu Bob Marley (Culture?) kama mfalme wa muziki rege, sijui wanatumia vigezo gani hasa. Wanamshusha na kumchukulia poa Lucky Dube sijui kwakua Bob aliuawa ndio...
48 Reactions
374 Replies
82K Views
Hivi Mwanaume kabisa Timamu kwa kuwajua Wanawake walivyo na Changamoto zao za Kibaiolojia unaweza kweli kabisa Ukahoji ni kwanini wakienda Vyooni huwa wanakaa muda mrefu? Kuna taarifa fulani...
14 Reactions
40 Replies
2K Views
m happy you made it @geraldhando @geraldhando .. Congrats..All the best in your marriage life... Ukistaajabu ya Farao utayaona ya Gerlad Hando..bata la mjini ale na mwingine..ndoa akafunge na...
7 Reactions
212 Replies
50K Views
Ila sishangai hata Mimi GENTAMYCINE Watu wengi wananiambia nafanana ile mbaya na Bondia Mkongwe Mike Tyson. Pia soma: Nape Nnauye: Nawapa pole na naomba radhi kwa kauli yangu ya ushindi nje ya...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Pastor Anafunguka... Sijawahi kuona kampuni ya vilevi kama vile pombe ambayo inamtumia mteja wake mmoja aliyelewa huku anapigana na watu baada ya kulewa kwenye tangazo lake! Au amelala mtaroni...
8 Reactions
58 Replies
2K Views
Ni leo 23/10/2020
21 Reactions
283 Replies
38K Views
Mdogo wa Balozi wetu huko ushuani anayewakilisha Taifa UN huko akamatwa Nchini Kenya, hivi tunavyoongea yupo lockup ana kesi sita nchini Kenya. Baada ya kukamatwa leo huku nyumbani dada yake...
6 Reactions
29 Replies
4K Views
Video inajieleza PIA SOMA: - Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)
13 Reactions
185 Replies
7K Views
Nabbing wetu akigonga vyombo na washikaji wake Amarula Most Jack Daniel
3 Reactions
117 Replies
10K Views
Ni rapper mkali kwenye game. Ana jina kubwa. Anatoa kazi nzuri sana na ana mashabiki wengi sana hasa vijana wa miaka ya 2000s. But details zake hazijulikani. Haijulikani majina yake halisi...
6 Reactions
51 Replies
9K Views
Baada ya Wema Sepetu maarufu kama TZ Sweetheart kumtambulisha mwanaume wake anayesemekana kwamba ni rubani, Idris Sultan ambaye aliwahi kutoka na mwanamke huyo amemtahadharisha mpenzi huyo wa Wema...
8 Reactions
83 Replies
12K Views
Mjadala ambao umechukua hisia za mashabiki katika viunga mbalimbali Africa ya mashariki ni kuhusu hoja iliyoletwa na watangazaji vijana machachari wa East Africa radio kuwa Diamond Platinumz ni...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Nipo nyumbani hapa naangalia mtandao x naambiwa kuna mtu kapigwa kauziwa barafu jangwani ?
1 Reactions
9 Replies
991 Views
Back
Top Bottom