Baraka Andrew "Baraka Da Prince" amenaswa akimtomasa staa mwenzake, Estalina Sanga "Linah" kwa kumshika sehemu zake nyeti walipokuwa nyuma ya jukwaa(back stage) walipokuwa wakisubiri muda wao wa...
Habari wadau.
Kwa wapenzi wa wedding industry jina la MC Katokisha sio geni. ni Mc mmojawapo wa class ya juu anaechaji hela nyingi kwenye soko la harusi. Pia MC Katokisha ni msomi mwenye CPA, na...
Wakuu kwema?
Hivi Tamaduni Music ilianza mwaka gani na mwaka gani ikawa imekufa (japo sina hakika ndio maana nauliza)?
Kama ilikufa nini chanzo cha Tamaduni kufa?
Muanzilishi alikuwa nani wa...
Mtangazaji nguli wa Michezo Maulid Kitenge amefunga ndoa na mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje.
Harusi hiyo iliyofanyika kwa usiri mkubwa katikati ya wiki iliyopita imeibua mjadala mkubwa kwa...
Hatari ya Jambo alilolifanya huyu kijana ni kubwa sana, hata kama amelipwa lakini hakuangalia mbele na wala hakujiuliza, kwanini Hadija Kopa au John Komba hawakufanya hivyo.
Kusifia ccm au Samia...
Habari za wakati wakuu,
Panda gari popote ulipo za kwenda Mbagala rangi tatu ukifika nenda mpaka round about ya Chamazi kunja kushoto tembea kidogo utaona shule ya msingi mbele kidogo utaona...
Mwaka 1993 MIIKKA ALEKSANTERI KARI akiwa anaipambania elimu yake ya chuo kikuu
.
Ndipo anapewa Information kuwa anapaswa kuja nchini TANZANIA haraka iwezekanavyo.
Taarifa ile ilimtaka MIIKKA...
Leo napita youtube naona bubu anaimba tena cha kushangaza naona anazidi kutrend
MC Baba Congo has been trending recently because of his unique approach to rap music, which has connected with...
Habari za jioni ndugu zangu, NATUMAINI MUWAZIMA WA AFYA.
Msaada kidogo. Naombeni mwenye video ya Nako 2 nako HAWATUWEZI ft Enika.
YouTube kwa sasa haipatikani,Mwenye nayo labda anayo hata kwa...
Baada ya kimya cha muda mrefu Mwanamuziki 20 Percent aliibukia na kutumbuiza katika tamasha la Chama cha Mapinduzi lililofanyika katika Uwanja wa Uhuru siku ya Jumamosi. Katika tamasha hilo...
Ebana wanajamvi inakuwaje
Msomi, mtangazaji, mchekeshaji, mhamasishaji (influencer) na mchekeshaji maarufu DC Mwijaku mtu wa maana sana halaaa amejiwa juu na baadhi ya waislam kwenye ukurasa wake...
Kwa wale wapenda nyimbo za wana harakati Roma mkatoliki katupa album kalii sana kuanzia track number 1 hadi 15 zote ni nzuri sana roma mkatoliki pokea maua yako je ipi ni track ipi umeipenda...
Kwenye mitandao kuna muda tunakoseana na kufikia kupigana Block au kuwa-Ignored.
Ni mtu gani maarufu amekublock kwenye Mtandao wa kijamii, na sababu iliyopelekea akublock ni nini?
Mimi binafsi...
Umeil Kheir, mwanamama mtangazaji wa Radio DW Swahili ya Bon Ujerumani amestaafu Leo. Ameitumikia radio hii tangu mwaka 1988 akiwa binti kabisa. Atakumbukwa Kwa sauti yake ya aina yake.
Mwanamama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.