Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kupitia akaunti yake ya Instagram, Diamond Platinumz amethibitisha kwamba WCB watatoa nyumba tano kama mchango wao kwa waathirika wa mafuriko Iringa.
2 Reactions
41 Replies
7K Views
Tumpigie miss Tanzania aweze kushinda Miss World. Tanzania kuna watumiaji wengi wa mitandao hivyo tuitumie hii fursa kumsapoti mrimbwende wetu 2016 ili awe katika nafasi nzuri. Ingia hapa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kuna nyimbo ambazo binafsi nikienda kwenye sherehe mbalimbali haswaa harusi ni nadra kuzikosa, hii inatokana pengine na kukubalika na wengi, na hii inaweza kuwa ni njia nzuri ya msanii kujifanyia...
1 Reactions
83 Replies
33K Views
Kwa wiki sasa nimekuwa nikiitazama hii Tv stesheni ya TV E.Kiukweli niseme nawapa sifa zifutazo:- 1. Logo yao ni nzuri sana na waliodesign hii logo nawapa credit za kutosha.Ukiangalia logo ya...
4 Reactions
49 Replies
5K Views
pakua hapa oficial audio Diamond platnumz ft Neyo. Marry you. m.audiomack.com/song/bongofive/marry-you
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimeshangaa kuona watu wanaulizana huyu ni demu gani anachana namna hii? Ni baada ya Diamond kumpost kwenye kurasa yake ya instagram Rosa Lee. Mara ya kwanza kumsikia nilitokea kumkubali mno...
4 Reactions
73 Replies
17K Views
Aise mtu ana like adi BIL 1.2, !!?????
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Top 100 YouTubers in Tanzania Filtered by Most Viewed - Socialblade YouTube Stats | YouTube Statistics Kwa maelezo zaidi soma link.
1 Reactions
25 Replies
9K Views
Naona Anarudi Kwa Ujana Kwa Kasi ya Ajabu sasa Sijui alikuwa wapi kuyafanya Haya Na Mumewe kipindi kile.. Vipi hapo Unaonaje.. Yupo sawa Au Kaboa NOTE: Picha Hii ilipigwa kabla Ya Cover ya Music...
7 Reactions
127 Replies
23K Views
Daah... Hili ni balaa lazima dunia isimame.. Lazima dunia ijue kuwa Kuna nchi inaitwa Tanzania.. Pongezi kubwa Kwa Mange Kimambi japo huwa namchambaga anapoongelea siasa.. Go the...
1 Reactions
58 Replies
9K Views
Ukizungumzia DIAMOND PLATNUMZ bila ya ubishi wala kupinga basi unakuwa unazungumzia msanii mkubwa barani afrika na duniani kwa ujumla. Msanii ambae ameweza kukaa kileleni tangu anatoka mpaka hivi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
copied somewhere NA HASSAN DAUDI HUENDA ujumbe wangu huu kwa mwanamuziki anayeitesa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond’, ukawakera wengi na hata yeye mwenyewe. Lakini, nimejiridhisha kuwa...
3 Reactions
50 Replies
11K Views
Nachukua fursa hii kwanza Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uhai na kuniwezesha kushiriki katika mashindano haya, kuishukuru Kamati ya Maandalizi ya Mashindano ya Miss Tanzania na pia...
6 Reactions
36 Replies
11K Views
Nipo huku Kenya kuna watu wanamuulizia, Mara baada ya kusikia Mimi nimetokea tz,kiukweli cjui chochote kuhusu huyu jamaa
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Ukilala ukiamka, ukila ukishiba, ukinya ukimaliza basi utaanza kuwasema UKAWA. Back to the point, Lowassa wa leo si Lowassa wa miaka 8 iliyopita, you are judging the different person. As u know...
29 Reactions
253 Replies
42K Views
Wana JF nawasabahi, Natumai sikukuu ya Maulid imeenda vyema na wachache ambao wanauguliwa na ndugu jamaa na marafiki Mungu awape uponyaji. Nimejitokeza hapa ili kuwauliza wana JF kama kuna mtu...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Kwanza nafurahi kuona baadhi ya wasanii wakianza kujitambua kwenye event kama ya jana wengi walivaa vizuri tofauti na huko nyuma. Kilichonikera nikitendo cha Dully Sykes kuitwa kutangaza tuzo tena...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari Jf Nimekua nikifuatilia kwa ukaribu sana habari kutoka blog mbalimbali Tanzania, mwisho wa siku nikalizishwa na kuiamini MILLARDAYO.COM kama blog inayocover habari za aina zote ndani na...
9 Reactions
96 Replies
16K Views
Ahadi ni deni – muigizaji mkongwe wa Marekani, Samuel L. Jackson ameonekana kuipinga ahadi yake aliyowahi kuitoa kuwa atahamia Afrika Kusini endapo Donald Trump atateuliwa kuwa Rais wa nchi hiyo...
4 Reactions
37 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…