Kama ilivyo kawaida kwa sasa ambapo kila msanii wa bongo fleva anataka kumiliki label yake.Hatimaye msanii Baraka da Prince na mpenzi wake Najma wametuletea label mpya kabisa inayojulikana kama...
Wadau wa muziki, ninashangazwa sana na hawa wasanii wetu wa bongo fleva ambao wanashindwa kuitangaza nchi yetu na kuamua kila video yao mpya kwenda kuifanya South Africa utadhani huko ndio...
Aliyekuwa nguli wa muziki wa Taarabu nchini Mzee Yusufu inadaiwa na dada yake kuwa atampa mkewe talaka baada ya kugoma kuacha kufanya muziki wa taarabu na kumrudia mungu kama mumewe alivyofanya...
Baada ya kuwa kimya kwa mda mlefu pasipo kuwapa updates kuhusu Diamond platnumz
now nimerudi ...ntaendelea kuwapa updates zote za uhakika kuhusu diamond
Ni nadra sana kusikia wasanii wanaofanya rap kuwa wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja hasa kutokana na nature ya muziki wenyewe unaoaminika kuwa ni muziki wa wagumu na watu wanao-stay real...
WanaJF,
Nimekuwa nikijiuliza hili swali kwa muda mrefu sana, hivi ni kwanini Ali Kiba hatumiki kwenye matangazo ya makampuni na biashara kama ma-superstar wengine hapa TZ.
Naomba maoni yenu wanaJF.
Kuna habari zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba komando Ruby yuko studio anafanya album aliyoipa jina la Antivirus volume 3.
Mdau yapi maoni yako kuhusu hili?
Mmmmhhh!!! Hivi majuzi Diamond plutnumz (Nasib Abdul...Baba Tiffah)alioneshwa kwenye kipindi cha E-VIP kinachorushwa na channel ya kimarekani ya E! namba 124 kwa king'amuzi cha dstv. Kipindi hicho...
Kwa mujibu wa mtandao wa edaily barani Africa umetoa orodha ya WASANII wenye mkwanja mrefu zaidi na wanaoingiza kipato kikubwa
1 P square wanamiliki mkwanja sawa na sh bl 277.752.822.639.34...
Habari wanajamvi! naombeni mnisaidie umri wa jide maana huyu dada nilianza kumskia nikiwa na umri mdogo sana, mpaka sasa at the age of 30 bado yuko vile vile habadiliki, sana sana namuona anazidi...
HATARI! Kumbe Rose Muhando ana Balaa Namna Hii!
Unapowazungumzia wasanii wa nyimbo za injili ambao ni maarufu Afrika Mashariki na kati basi jina la Rose Mhando halitakosekana.
Rose Muhando
Rozi...
Kati ya namba ambazo huwezi kuzigawanya ni kama 5 ,7, 9 huo ni mfano tosha wa mwanamuziki kutoka #eastafrica #tanzania @diamondplatnumz ambae huwezi kumueka katika kundi lolote la mgawanyo au...
Nimeangalia entreview ya mzazi mwenzie na young Dee mpaka machozi yamenitoka, jamaa anajifanya Justin beiber wakat kazalisha mtoto hats huduma hapeleki, mambo mengine mumuachie baba tiffah...
Leo mjini Dar kuna matukio mawili ya burudani,moja ni la After scul bash ya Clouds media group litakalofanyika Eskape one na lingine ni la EA TV awards litakalofanyika Mlimani city.
Katika...
Hahahahahahahahaha jamani najaribu kufwatilia kwa mbali na kwa karibu hizi hit track mbili yani kokoro ya mavoko na muziki ya darasa, sasa kuna kitu kinanishangaza kokoro imetumia siku 10 kufika 1...
Nakumbuka iliwahi kwenda huko miaka ya nyuma ila wakaacha, wanaishia Moshi tu.Kama tuonavyo kwa sasa Fiesta inaenda mikoa mingi hadi mikoa midogo kama Singida na baadhi ya wilaya kama Kahama na...
Baada ya Kile Kinachoonekana Kujitambua na Kukua Kiakili ama Maisha kumwendea Kombo huko alipo, Msanii Dogo Janja Amewaomba Msamaha Walezi wake wa Zamani ambao ndio walimtoa Katika Game, Kundi la...