Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Ommy Dimpoz ni miongoni mwa wasanii wanaoimba vizuri sana bongo ukilinganisha na wasanii wengine ananipa jeuri ya kusema kwamba ni miongoni mwa wasanii watano wakubwa katika game ya bongo fleva...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Moyo mashine ni mashine kweli.... King Kiba halambi kitu hapo. Samahani,, ndo ukweli. Go Go Go Go vote guys. Ben Pol Moyo Mashine. #povuu
1 Reactions
37 Replies
10K Views
Kweli bongo movie mmedharaulika sana, mkoje nyie lakini? Mbona miaka fulani waimbaji walikuwa wanakimbilia kwenu leo wanawacheka? Hata Marekani Jay Z hawezi kumdharau Denzel au Tom Cruise hata...
2 Reactions
30 Replies
6K Views
Daaah kama miaka miwili iliyopita alitoa wimbo wake nilioupenda sana, kuna watu wana vipaji,sas nimeiona wimbo wake mpya mtam pia nkaona sio mbaya kumsapot kiivi...icheck pia to see if its worthy
0 Reactions
24 Replies
6K Views
HABARINI! TOKA jana kwenye mitandao ya kijamii Mchekeshaji Erick Omond amejiwa juu na baadhi ya watu kwa kile Alicho Fanya na kuleta mvutano mkubwa sana katika Imani! Mimi ni mkristo,Lakini...
3 Reactions
75 Replies
11K Views
Msanii wa bongo movie shamsa ford amesema kuna wanaomuombea mabaya aachike ila watasubiri sana kwani kuachana na mumewe ni mpaka kifo Pia amesema kuwa hajaacha kuigiza bali anatengeneza kwanza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimetoka kucheki nyimbo mpya mpya ya mzimbambwe Jah Prayzah aliomshirikisha Diamond Patnumz inatwa watora mari nawe.Nasema ni moja ya nyimbo kali nilizozisikia mwaka huu lili kitu kipo on point...
9 Reactions
122 Replies
25K Views
Pengine 'Aje' inaweza ikawa nyimbo ya mwisho ya Ali Kiba chini ya producer Abby Dad ambaye ametengeneza nyimbo kadhaa za Ali Kiba. Abby dad ametengeza hits kama #Nagharamia #Chekecha na #Aje...
2 Reactions
93 Replies
17K Views
Nmekuwekea hii caption ya jamaa aliyeamua kuboost video yake YouTube kupitia jina "Diamondplatnumz new song2016" ila ukifungua cyo ya diamond, ni vile watu wanaona I'll jna nakutaman kuona iyo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Unajua vile inakua safi eeh...Weusi and their king Joh Makini team up with Mzee wa Masauti Bella Nyimbo nzuri sana.... Christian Bella katika maneno ya wimbo huo anasema "utatunza penzi langu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Dj majay jana amefungua kituo chake cha TV ambayo inaonekana no 115 katika king'amuzi cha Startimes, ipo so clear, sound inasikika vizuri ingawa naona logo bado haijakaa poa. Ujitahidi utuletee...
20 Reactions
76 Replies
11K Views
Kutokana na ngoma aliyotoa Darassa kuifunika ngoma ya Rich Mavoko aliyomshirikisha Diamond, inasemekana kuna dalili tosha kuwa Diamond kijiti anaanza kumpatia Darassa taratibu bila yeye kujua. Je...
10 Reactions
97 Replies
11K Views
Msanii Nisha kwa mara nyingine tena amepata title ya u 'single parent'... Ni baada ya kupewa mimba na kisha kuachana na baby dady wa kijacho hiko bila hata kusubiri mrembo huyo ajifungue...
2 Reactions
73 Replies
10K Views
"Nivae chupi ya nini? tena ningewashauri wadada wasivae chupi kubana matumizi" Hayo yamesemwa na mwanadada machachari maarufu kwa jina la Gigy Money. Baada ya video queen, Gigy Money kusemwa...
0 Reactions
111 Replies
38K Views
Jumanne hii ilikuwa ni birthday ya mkali wa wimbo Aje, Alikiba ambapo aliungana na uongozi wake kwenda mbuga ya wanyama ya Serengeti National Park kwa ajili ya kusherekea siku hiyo muhimu katika...
3 Reactions
59 Replies
8K Views
Ni nadra kuona Alikiba akifanya sherehe kubwa kwaajili ya birthday yake. Lakini mwaka huu muimbaji huyo wa Aje aliamua kufanya kitu tofauti. Nimeuuliza uongozi wake sababu ya mwaka huu kufanya...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
MTV Europe music Awards 2016 ilifanyika weekend iliyopita ambapo Mtanzania mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba alikuwa akiwania tuzo ya BEST AFRICAN ACT ambayo ilitangazwa siku ya tukio mshindi ni...
20 Reactions
295 Replies
32K Views
Katika vitu ambavyo huwa naishangaa clouds fm ni kutopiga nyimbo za wasanii ambao ilishagombana nao huko nyuma.kama mnavojua ile Antivirus volume one na two,kwa kweli clouds walitukanwa sana mle...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
We specialize in balloon deliveries covering the entire Sydney Metropolitan area. Make your corporate event shine using Balloon Arches, Balloon Columns, Balloon Bouquets, Sculptures, Table...
0 Reactions
1 Replies
677 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…