Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mwanamuziki ommy dimpoz ametangaza kugawa sumu za mpya i phone 7 kwa mashakizi zake Ofa iyo imepokelewa tofauti na mashabiki wake baada ya picha alioweka ikimbatana na kilainishi cha mafuta ya...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Msanii Omy Dimpoz amefunguka kuhusu vacation yake ya Ibiza na kudai gharama za maisha kule ni juu sana Akaongezea kile kisiwa alichoenda na kupiga picha na Wayne Rooney ku book meza kwa ajili ya...
0 Reactions
74 Replies
12K Views
Msanii wa muziki Ommy Dimpoz amedai kuna baadhi ya wasanii wananunua views katika mtandao wa YouTube ili video zao zionekane zimeangaliwa zaidi. Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo...
3 Reactions
114 Replies
12K Views
Msanii Ommy Dimpoz ameshukuru baraza la sanaa Tanzania kumuadhibu msanii mjinga Ney wa Mitego, pamoja na wasanii wengine wanaoandika nyimbo za matusi Amesema atamtambulisha mpenzi wake soon, na...
1 Reactions
81 Replies
46K Views
Hebu wazee wa mujini warumi mnidadavulie huu ukaribu wa msanii Ommy Dimpoz na Boss mkuu wa GSM ni biashara ipi anayomtangazia....au kuna single inakuja tujiandae? Mzee wa Shilawadu niPM basi...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Post deleted by author
0 Reactions
48 Replies
14K Views
Hivi ninyi Team Kiba mbona mna chuki sana iliyopitiliza kwa Diamond? Mimi nashangaa sijui dogo wa watu kawakosea nini. Watanzania huwa tuna wivu sana kuona mtu ana mafanikio. Wivu haujengi kama...
15 Reactions
72 Replies
6K Views
Baada ya kazi ngumu ya kulitumikia Taifa kama Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Waziri Nape Nnauye hapa anaonyesha kipaji chake kingine cha kupiga gitaa na kuimba. Kazi na dawa waungwana.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakati tukiendelea na stori za views kununuliwa, kijana wetu asiyechoka kusaka pesa anakuletea kitu kipya, kitu maridadi, CHIBU PERFUME #THESCENTYOUDESEVE.
6 Reactions
120 Replies
14K Views
Diamond Platnumz ni mmoja wa wasanii wakubwa barani Afrika kwa sasa. Siku za hivi karibuni alipata nafasi ya kushiriki tamasha la muziki la Coke Studio Afrika kusini ambapo alitengeneza wimbo...
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Amefunguka ya moyoni wakati akiteta na shaydee wa Clouds fm
3 Reactions
70 Replies
9K Views
Mzee wa Ubuyu, Soudy Brown kafanyiwa interview na TBC amabapo ana dai ndio sehemu iliyomlea amefungukia aanvyotukanwa instagram na anavyochulia. Pia amesema anapenda kuvaa mask kama swag tu, na...
5 Reactions
34 Replies
10K Views
Sikuwahi kusikiliza nyimbo za huyu jamaa, kama bahati kupita pita youtube nakutana na nyimbo ya jamaa inayokwenda kwa jina la "ibaki story" nimejikuta natafuta nyimbo zake za nyuma, kwa kifupi...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Take little look ya hizi video mbili ya ommy alioachia wiki imepita na video ya cokestudio walioachia cku tatu kama cyo mbili zilizopita,l Video ya ommy INA views 611k na video ya coke studio...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Anti Ezekiel amefunga ndoa Kimya Kimya siku moja baada ya kuomba msamaha kwa kuvaa nguo iliyoonyesha kufuli lake. Hapa ni baada ya kufunga ndoa tayari. Hapa...
0 Reactions
149 Replies
42K Views
Chekibud anadai mwanamke anamsingizia kuwa mtoto ni wake kwa kuwa wanafanana anadai anafanana na watu wengi na sio watoto wala ndugu mwanamke anadai walikutana club billicanas wakafanya kwa usiku...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Nikimuona Diamond na kina Kiba na wanamuziki wengine wakila bata najua ni mziki wao unawalipa. Ila kuna hawa watu maarufu huko Instagram kama kidada fulani Tunda na wengine, picha zao zimekaa...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Msanii wa Bongo Mobie Nisha amedai ana mimba inayotokana na kubakwa. Anadai alibakwa kwa sababu mpenzi wake huyo alimrubuni kisha kumuingilia kwa nguvu, anaongezea hilo linaonekana ni jambo la...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…