Baada ya Diamond kufanya marejeo ya wimbo wa Salome wa Dada Saida kalori.Uongozi wa Diamond uliamua kumlipa meneja wa Saida kalori kiasi cha shilingi milioni 25 huku Dada Saida kalori akiambulia...
Mtangazaji wa Clouds FM, Paul James aka PJ ameshtakiwa mahakamani na kituo cha redio cha EFM kwa kuvunja mkataba kinyemela
Mtangazaji huyo aliondoka EFM mwanzoni mwa mwezi huu na kurejea kwenye...
Ni ukweli usiopingika wasanii Diamond na Alikiba ni lulu ya taifa kwa sasa hasa unapozungumzia suala la usambazaji wa muziki wa Bongo Fleva kwenda zaidi kimataifa na kuufanya uwe na thamani hata...
Jamani huyu dada alivuma sana lakini sijui nini kilimkuta na ghafla akapotea na naskia hayuko hata vizuri kiuchumi. Nashangaa kwasababu alipiga sana show kubwa lakini bado hakuwa sawa kiuchumi...
Muimbaji huyo amedai hizo asilimia 25 za mapato za wimbo ‘Salome’ ambazo zilielezwa na viongozi wa WCB hazijui kwa kuwa hakuhusishwa kwenye hilo.
“Tatizo limekuja kwa meneja wangu aliyempatia...
Habarini,kama habari inavyojieleza hapo juu,ndivyo ulivyokuwa huko Nigeria.
Mara tu baada ya EMA kueleza kinagaubaga,vyombo vya habari vya burudani nchini Nigeria vimemwelezea Alikiba kama msanii...
Licha ya baadhi ya mastaa kudai wanavaa nguo spesheli tu, tena zile zilizofungwa kwenye nailoni, staa wa filamu Bongo Shamsa Ford amefunguka kuwa, yeye huwa anapendelea kuvaa nguo za mitumba...
Hata kama unapenda kula pilau huwezi kuvua samaki kwa kuweka pilau kwenye ndoano. Hata siku moja usifikiri kwa vile wewe unapenda kitu flani basi watoto, ndugu na rafiki watakipenda.
Sio vibaya...
Wema Sepetu baada ya kuhojiwa na Kipindi cha E News cha Clouds FM ameulizwa kuhusu bifu lake na Muna na Kudai kuwa yeye huwa hadeal na Washamba akaongeza kusema kuwa urafiki na Muna ulikuja...
1. Wema Sepetu
2. Agnes Masogange
3. Batuli
4. Irene Uwoya
5. Sinta
6. Kajala
Au mnasemaje wadau wa mademu wakali!
Ongezea wengine ambao ni gumzo na ukiweza tupia tupicha
Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Moyo Mashine’ ameiambia Bongo5 kuwa hali hiyo imewafanya wasanii wengi akiwemo yeye kushindwa kutimiza malengo yao ndani ya mwaka huu.
“Plan...
Kwanza nakupongeza kwa kununua kifaa kimoja kimoja mpaka ukakamilisha bend, umeweza kumiliki bend yako mwenyewe yenye kila kitu.
Umeanza kuperform live band ya bongo fleva yenye ubunifu
Wasanii...
Leo usiku mzima sijalala,nilikuwa nafikiria inawezekanaje mtoto mzuri kama huyu kushika mashine za udj bila kuchubuka wakati biskuti tuu hawezi kuvunja.Anyway mwenye namba zake anisaidie nataka...
Hawa wadada watatu wote 'biashara' yao ni moja, ila kwa nini huyu wakwetu amebaki kuwa tu daraja? Ina maana ya kwakwe hailipi tena au ?
Na kwanini wao wana akili kumzidi huyu wa kwetu?
Wasnii nao wameanza kuonja joto la kinachoitwa 'kubana wapiga dili' na sasa wamezungumza
Msanii Ben Pol amedai kwa sasa wasanii wengi mambo yamewabaidilikia na show walizokuwa wakitegemea watapata...
Hatamae Alikiba ametoa tamko rasmi kuwataka mashabiki wake kuacha kumtukana Wizkid kwenye mitandao , hii imetokana na alikiba kupewa tuzo ya mtv ema aliyokuwa amepewa mwanzo wizkid
Mashabiki hao...
kama kichwa kinavyoeleza Mimi sio team kiba ila hizi nyimbo zake zifuatazo ntaendelea kuzikubali milele zikipigwa huwa naskia mwili unasisimuka kiasi
1.macmuga
2.sindelera
3.hadithi
4.ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.