Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Masanja huyu huyu aliyekuwa akiwacheka wenzake kuwa wamefulia, sijui wameloweka, hivi karibuni ameonekana 'akihaha' kutafuta pesa kwa udi na uvumba! Huyu si ndo alikuwa anawachapa vijana viboko...
10 Reactions
118 Replies
19K Views
12 Novemba 1938 - Rais Benjamin William Mkapa, anazaliwa Ndanda, Masasi, Tanganyika. Kiboko ya UKAWA. Tujikumbushe kauli zake Huyu simba wa Vita
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Hayawi hayawi sasa yamekua... Nuh na Nawal wafunga ndoa... Hongera Nuh na mkeo Nawal....
6 Reactions
77 Replies
48K Views
Muigizaji maarufu nchini India Kareena Kapoor asilimu,Sasa hivi ni Mwislamu. Pia ni ndugu yetu katika Imaan. Allah amfanyie wepesi ili aishi katika misingi ya Dini yetu ya...
16 Reactions
58 Replies
11K Views
huyu jamaa ni nani? namsikia tu wana mtaja sana wasanii kwenye nyimbo zao, au ndo wale ma papaa wa mjini. Kama kuna anae mjua naomba atupe kapicha kidogo
0 Reactions
15 Replies
8K Views
  • Closed
Je hilo swala ni la kweli kuwa diamond ameanza kuonyesha dalili za kumuogopa alikiba coz ukiangalia hata kwenye tamasha la fiesta alikimbili Nigeria pia kwenye tuzo za eatvaward kama kakimbia ivi...
2 Reactions
160 Replies
12K Views
Karibu kwenye Tecno Live na Salama Jabir. Kuwa huru kuuliza maswali yako kwenye comment.
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Sauti Sol ni kundi la muziki la nchini Kenya likijumuisha waimbaji Bien-Aimé Baraza, Willis Chimano na Savara Mudigi pamoja na mpiga guitar wao Polycarp Otieno. Navy Kenzo ni kundi la nchini...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Guys mniwie radhi kama ntawaboa,lakini nimeona nijue hili.kwani hakunaga dogi fj!!.Tumeona hapa mbongo kuna watu hata ukiskia saut yake tu,au kuona picha yake unamtambua hata kama hukuwahi kumuona...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Hii ilitokea juzi wakati wa fiesta ambapo mwandishi akiwa anamhoji Wema Sepetu, Idris aliyekuwa pembeni aliteleza kama maji na kutokomea kusikojulikana!Hali hiyo ilimuacha mlimbwende Wema kwenye...
4 Reactions
136 Replies
17K Views
Si wengine bali ni vijana wawili Wizkid (Nigeria) na Alikiba (Tanzania). Kwanini nawaita ni watu wabaya au the most wanted in Africa? 1.Both Wizkid na Alikiba are most talented Artist, Yani...
7 Reactions
42 Replies
8K Views
Niaje wadau. Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu Alikiba kupokonywa ushindi huko MTV EMA.Naomba hapa nitumie nafasi hii kufafanua kilichotokea ili kuweza kuondoa huu utata. Kwa mujibu wa Mtv Ema...
10 Reactions
179 Replies
18K Views
Msanii wa filamu ambaye anafanya vizuri na filamu ya ‘Safari ya Gwalu’ Gabo Zigamba amefunguka kwa kusema kuwa siku hizi hakuna wanawake wa kuoa. Mwigizaji huyo ambaye anapewa nafasi kubwa...
1 Reactions
34 Replies
12K Views
Miss Tanzania 2016 Diana Edward ambaye ndiye mrembo anayetarajiwa kwenda kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya urembo ya dunia ‘Miss World’, ameilalamikia kamati ya mashindano hayo kwa...
5 Reactions
42 Replies
8K Views
Hapo awali, Wizkid hakuwa mtu aliyejishughulisha kabisa na masuala ya tuzo. Lakini siku za hivi karibuni baada ya kuibuka na ushindi wa kishindo kwenye MTV MAMA, huenda aliamua kuufungua moyo...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Hatimaye mshindi wa mtv ema ametangazwa hivi punde kipengele cha african act huku Wizkid akitangazwa mshindi. Alikiba aliekuwa na matumaini makubwa kushinda ameangukia pua Wizkid amewashinda...
6 Reactions
59 Replies
7K Views
Kwa wale tuliobahatika jana kuwepo pale Leaders nadhani tulijisikia vibaya sana kuona mtoto wa nyumbani Diamond bin Laden alivyofanya show substandard ukilinganisha na Wiz Kid. Kiukweli Diamond...
0 Reactions
41 Replies
10K Views
Wakuu Msanii mkali unapiga show pesa inaingia, album unauza na zinauzika pote duniani, tuzo za nini? Sasa ifike wakati serikali iweke mfumo wa album vizuri. Wasanii washindane kimauzo ya album...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom