Leo niliamua kufanya utafiti hapa mtaani kwangu kwa mtindo wa kipima joto kuhusu mtangazaji nguli wa habari kutoka ITV.
Wadau wa habari nchini wamekuwa na maoni tofauti kuhusu swali la kipima joto...
Habarini Wadau,
Aisee kwanza huyu jamaa anastahili Hongera nyingi sana, Huyu ni identity ya taifa kwa sasa within and outside of Africa.
Huyu jamaa pia ana busara na moyo wa kiume sio wa...
Model anayeitwa Calisah amedai video yake ya kimapenzi na wema iliyovuja imemsababishia majanga makubwa sana ikiwepo bibi yake kufariki kwa presha mara baada ya kuona hiyo video
pia amesema kuna...
Johannesburg – This week’s installment of Coke Studio brings you two musical giants – local megastar Cassper Nyovest and Nigeria’s Diamond Platnumz, both multi-award winning artists who have...
Star mmiliki wa Ngoma inayofanya vizuri kwa sasa ‘Kajiandae’, Ommy Dompoz, amefunguka na kudai kuwa tangu awe karibu na Mahasimu wawili Ali Kiba pamoja na Diamond Platnumz hakuna aliyewahi kutamka...
TUZO za EATV zimeanzishwa mwaka 2016 na kampuni ya East Africa Television na Radio, zitafanyika kwa mara ya kwanza tarehe 10/12/2016 jijini Dar Es Salaam,Tanzania.
Tuzo hizi zinashirikisha...
wadau
habari.
hii kitu huwa najiuliza sipati jibu
hivi utaratibu gani hufanyika ili uweze kufanya colabo na msanii?
mfano diamond au kiba anaweza kufanya colabo na jayz mfano,jay z ni msanii...
Nyota ya muigizaji Elizaberth Michael 'Lulu' imeonekana kuendelea kung'ara baada ya kutajwa na aliyekuwa mshindi wa shindano la Big Brother Africa{BBA}, Idris Sultan kuwa ndiye staa wa kike wa...
Kupitia account yake ya insta mnyama, TID, Warioba, Mzee Kigogo amewajia juu clouds fm baada ya kudai wao ndo walio produce wimbo wa zeze na inasemekana walikuwa wanapokea ela za mauzo ya nyimbo...
Plz guys tuendelee kumpigia kura mpendwa wetu @hamisamobetto kumpigia kura ni rahisi post picha yake ig au twitter thn weka hashtag #ivotehamisamobetto
#asfa2016
#asfa2016nominee hadi hapo...
Hatimae urafiki wa Wema Sepetu na Munalove wafika ukingoni. Huko Instagram yazuka maneno mengi kuhusu Muna kumloga Tanzanian sweetheart ni pale Munalove alipoiba chupi ya Wema Sepetu na kuipeleka...
1.SAM MISAGO vs B-TWELVE
2.ADAM MCHOMVU vs ABDALA(dulla wa planet bongo)
*hawa jamaa wanaendana sana kiutangazaji bila kusahau 'swaga' na wote wako hot kiukweli(wanajua),yupi anakukosha zaid...
Tiffany Trump (23) ni binti wa Donald Trump kutoka kwa mke wake wa pili Marla Maples, mwigizaji wa zamani na nyota wa Televisheni.
Mrembo huyo ambaye amefuzu chuo kikuu hivi karibuni, alikuwa...
Wadau najaribu kufatilia kipindi kipya cha salama jabir "ngazi kwa ngazi" dizain naona km sikielewi elewi hivi hakina mvuto ule wa ubora wa salama au ndo uzee.....!!
video imevuja ya mwadada Sepenga akifanya yake ,juzi kati alihojia juu ya mahusiano yake na Calisah alimkana akasema ni rafiki sasa leo video imevuja huko instaa kila page inatembea anakiss na...
Hichi kitu huwa kinanishangaza sana ikitokea mtu ukiwa unapost habari kuhusu wasanii watu wanakuita mbeya lakini ukitoa habari za wanasiasa hauitwi mbeya , tuchukulie mfano juzi magufuli alienda...
Aisee huu wimbo wa Salome ni Shida sana mtaani kuanzia kitaa, club na bar..!! KwA wiki tatu sasa hii ngoma bado inasumbua mtaa. Miye ni Timu Tanzania, japo ukweli ni kuwa Daimond huwezi...
Alikiba amesema tatizo lililopo kwenye muziki wa Tanzania, ni baadhi ya nyimbo nzuri kutopewa nafasi ya kusikika kama zinavyostahili.
Ametoa kauli hiyo wakati akihojiwa kwenye kipindi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.