Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Habari. wana jamvi leo nataka tufahamu kuhusu wanajeshi warembo zaidi duniani 1: Romania 2:Russia 3: Poland 4:Greece 5:Israel 6:Finland 7:Sweden...
3 Reactions
74 Replies
33K Views
Wakuu angalieni hiyo clip ya mopao, halafu mnisaidie kunijuza
5 Reactions
38 Replies
43K Views
Binti Brave Cassidy Hooper (17) anatarajiwa atolewe mfupa wa ubavu wake ili utumike kutengenezea paji la aq uso wake , mfupa huo pia utatumika kama kiunganishi cha pua yake mpya atakayo wekewa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mkali wa 'Singeli' Manfongo amesema muziki anaofanya umemkomboa kwani alikuwa 'mkabaji' siku za nyuma. Naona kaamua kuchagua fungu jema kabla ya zile siku 40 za kuvishwa tairi na kupigwa na...
7 Reactions
95 Replies
15K Views
Mkurugenzi wa Mkubwa na Wanae Foundation pamoja na Yamoto Band, Mkubwa Fella amesema tayari ameshampata mtu sahihi ambaye atamwachia mikoba yake ya kusimamia wasanii pale atakapostaafu. “Kusema...
2 Reactions
39 Replies
8K Views
Wakuu, Kuna muda unafika maishani inabidi you make right decisions yani namkumbuka Mr Blue zile enzi namuelewa sana. Amepita na mademu wazuri wote Wema, Naj na hata nina uhakika Zari angekuwa...
3 Reactions
32 Replies
7K Views
picha yake imezua gumzo kaonekana mama k je mimba ya mbunge sadifa au walivyoachana alipata kiburudisho kingine ila dada kama kweli si una watoto wa3 sijui wa 4 kwa nini usingepumzika tu kuzaa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wana jamvi? Natumai wote mu wazima leo nataka tujadiliane kuhusu hawa dada zetu kwa nini wanapenda kupiga picha zisizo na maadili /ATTACH]
0 Reactions
43 Replies
25K Views
Hivi huyu mtangazaji yuko wapi siku hizi? Sijamsikia muda mrefu kweli.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Mawingu ameshaslimu, hii ni katika maandalizi ya ndoa kati yake na baby mother ambae ni mtangazaji wa kituo hicho. Chanzo cha habari hii ni waliohudhuria harusi ya Shamsa Ford jana.
13 Reactions
164 Replies
17K Views
Nakumbuka EATV waliwahi kumhoji Nature juu ya KR kuhamia UNYAMANI ...Nature alimsihi KR aangalie namna ya kukwepa kuingia kwenye mkumbo. Japo Nature alikua yuko tungi lakini alitoa tahadhari ya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,ushahidi huu upo lwenye page ya mbea maarufu soudy brown huko instagram ambapo zaidi ya nusu ya wafuatiliake wake ni vidume mjini!Jamaa anakaribia kufikisha...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Msanii wa muziki miondoko ya taarabu nchini Isha Mashauzi ameamua kuanza kuimba muziki wa dansi pamoja na Bongo Flava ili kukonga nyoyo za mashabiki wake kutoka kila upande. Akizungumza na eNews...
2 Reactions
14 Replies
7K Views
birthday ya tiffa zari alipost jtatu moja hivi miezi ya nyuma siku ya pili yake jamaa nae akarusha hapo hapo
1 Reactions
13 Replies
3K Views
WOLPER AACHIA VIDEO MTANDAONI, AKIIMBA NYIMBO YAKUMPIGA MKWARA HARMONIZE KUWA AKIMFUMANIA ATAMUACHA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kijana anazidi kusonga mbelee kijana anazidi kuchanja mbuga katika kuhakikisha mziki wa Tanzania unakaa vizuri Marekani!! Leo katika Ukurasa wake amepost picha akiwa na Msanii wa Marekani anaitwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Abubakar Soud aka Prince Amigo ndiye mfalme mpya wa taarab Anasubiriwa kutawadhwa rasmi. Hongera zake
1 Reactions
9 Replies
3K Views
TID Afunguka 'Nilikuwa Natoka na Wema Sepetu Alafu Akaniambia Hanitaki..Sasa Hivi Akitaka Kurudi Hakuna Nafasi Tena' Akiwa Katika Kipindi cha Clouds 360 leo Mwanamuziki TID Amefunguka Kuhusu...
3 Reactions
71 Replies
14K Views
Hivi hili toto kweli ni la kichaga (sura kakaa kicha chga chaga) lakini mwili mbona kakaaa kama toto la kitanga, au kachanganya damu?
3 Reactions
26 Replies
7K Views
Mkubwa Fela amewaita waandishi wa habari kuwaonyesha nyumba alizowajengea Yamoto Band huku akisema kuwa project yake ya Mkubwa na Wanawe imekuwa na mafanikio makubwa, amemshukuru pia Rais mstaafu...
6 Reactions
66 Replies
11K Views
Back
Top Bottom