Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wasanii wa Nigeria wamekua wa kwanza kwenye stori kubwa au kuvunja rekodi kadhaa kwenye muziki wanaoufanya ambapo miongoni mwa rekodi walizozivunja ni pamoja na P Square kufanya kolabo na Rick...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
wanasrmaga ukitaka kuongea kitu na watu wakuamini ongea kwa ushahidi na facts za ukweli, nisikuchoshe msomaji wa mada naenda direct kwenye kukujuza celebrities top 3 ya wasanii wenye pesa utitiri...
5 Reactions
92 Replies
19K Views
Wadau meneja anayejiita msujudiwa ma muziki huku sasa maisha yake yakitegemea kuishi kupitia Diamond amemterekezza Rapa mahili Chid benzi. Jamaa kwa mbwembwe alimpeleka sober house kisha. Baadaye...
1 Reactions
45 Replies
5K Views
Kwa mujibu wa Mrisho Mpoto, Harry Sameer, wamjua zaidi kama Mr Blue, anastahili kuwa msanii bora Tanzania. Mpoto alidiriki kusema hivyo baada ya kushuhudia show ya hitmaker huyo wa ‘Mboga Saba’...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Inakuwaje hii: Bofya hapa: Diamond Ft. French Montana - All The Way Up Remix [Snippet]
3 Reactions
47 Replies
14K Views
Christian Bella ameungana na Mrisho Mpoto kwenye orodha ya wasanii waliopo kwenye playlist ya Rais Dkt John Pombe Magufuli. Akiongea kwenye kipindi cha Bongo Beatz cha Star TV, Bella alisema Rais...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
======== Big booty are of different sizes, large and massive. Big ass is nothing new to Tanzanians. If these big booty photo collection doesn’t prove to you that Tanzanian girls have the...
3 Reactions
187 Replies
97K Views
Meneja Sallam anatarajia kufungua redio yake ya mtandaoni (online radio) itakayoitwa DSM Fm na Rommy Jones atakuwa ni miongoni mwa watangazaji katika redio hiyo
0 Reactions
9 Replies
1K Views
kwa alieangalia show ya raymond fiesta muleba nazani ameujua jinsi uwezo alionesha show nzuri kabisa ya live ameimba kuna watu wanamfananisha na harmoniz lakini wacha niseme hamo ana sauti za...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ile RR aliyopost jana naamin ilkua ni moja ya gari zitakazotumika kwenye hii video wabongo tukasema kanunua"
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Baada ya Lil Wayne kutangaza kuacha mziki wasanii wenzake wengi wahuzunika na kupingana na uamuzi huo , wengi wao walijaribu kumshawishi arudi tena kwenye game lakini suala hilo limegonga...
3 Reactions
21 Replies
6K Views
Nawasalimu kwa jina la hip hop Nimekua nikifatilia muziki wa kughani yaani RAP MUSIC kwa muda mrefu. Huu ni muziki ambao una utamaduni wake tangu kale. Na una nguzo zake yaani zamani zilikua tano...
4 Reactions
26 Replies
9K Views
Huyu dada anajitambua saana na namkubali wadau muangalieni yupo live Supersport 9 live sasa hivi...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Ms Maria Seguar Metzgar mwenye umri wa miaka 105 inasemekana ndiye mtumiaji wa facebook mwenye umri mkubwa kuliko wote duniani Ms Maria alisherehekea miaka 105 wiki moja iliyopita huku akiwa...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Habariniiii.....Siku za hivi karibuni msanii wa Hip hop laini toka kwa Weusi alitoa wimbo unaitwa Perfect Kombo alio mshirikisha Chidima wa Nigeria ni wimbo mzuriiiii sawa lakini vipiiii mbona...
1 Reactions
55 Replies
11K Views
Leo ndio uzinduzi wa Msimu wa kipindi cha Maisha Plus East Africa 2016 Kwa wale wadau na wapenzi wa kipindi hiki,tunaweza kukutana hapa kwa muda wa hizo wiki 8 ambazo washiriki watakuwa ndani ya...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Back
Top Bottom