Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

KUNA MSTARI NIMEUPENDA SANA HAPA. Pretending to be hard, oh my God, check your temperature Some people are actors, don't believe on what you see just go deep! Ndo mkali wangu of all time, Mfalme...
1 Reactions
0 Replies
775 Views
Shilole anfanyaga show zenye utata utata ili kuzua gumzo, na mara hii kama kawaida yake alizua utata kwa show yake ya Fiesta hukoooooo
1 Reactions
20 Replies
4K Views
[emoji121] SASA ONENI HADI KAKA'ANGU #CRAZY_G.K NA KIGUGUMIZI CHAKE KILICHOMPA BONGE LA PUSH NA IDENTITY KWENYE HIPHOP LEO ANAKUJA KUIMBA SIJUI MIONDOKO YA *ZUKU*, SIJUI *ZUMBUKUKU*, SIJUI NINI...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Leo hii chama cha CORD kinachoongozwa na kinara Raila Odinga kinaadhimisha miaka kumi tangu kuanzishwa. Sherehe hii inayokwenda kwa jina la #ODM10at10Mombasa inatazamiwa kuisha kwa mbembwe za...
12 Reactions
131 Replies
38K Views
Msanii wa maigizo na mziki Snura Mushi amedai kuwa katika maisha yake kamwe hawezi kutoka na mwanaume aliye mzidi umri hata siku moja kama wasanii wenzake wa kike wanavyofanya Snura ameelezea...
4 Reactions
36 Replies
10K Views
tupeane taarifa wakuu mitaani mwetu kuna wasanii wanaishi maisha ya shida sana lakin media zinatuaminisha kuwa wanaishi maisha ya juu kuna wasanii wamekufa na tulikuwa tunawapenda hakuna...
3 Reactions
160 Replies
18K Views
Diamond Platnumz ,Chibu dangote , Simba adhihirisha usimba wake kwa kufanya show kali sana ambayo haijawahi kutokea nchini kenya tangu ipate uhuru
5 Reactions
38 Replies
7K Views
Kuna msemo unasambaa sana mitandaoni unasema eti Tanzania imebarikiwa sana coz kwenye hivi vitengo vya kimataifa zaidi. Mpira: Mbwana Samatta Mziki: Diamond Platnumz Majungu: Ali Kiba Je, kuna...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Shilole na Nuh Mziwanda walikutana kwenye basi walipokuwa wanaenda Fiesta, wasanii hawa wamekuwa na bifu na walichuniana walipokutanishwa kwenye kipindi cha tv clouds na wamekuwa wakipigana...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Wakuu... Mwenyewe nimeboreka join hii nikawa naperuzi michuzi baada ya kuchoka my daily job (ku monitor what Magus govt has been up to) mara BOOOOM! Naona video yake....Gawwwwwgeym. Najua...
6 Reactions
32 Replies
9K Views
HII NI TRACK ILIYOMTAMBULISHA HUYU NDUGU MWISHONI MWA MIAKA YA 90. KWA YEYOTE ALIYEKUWA NAYO NAOMBA MSAADA NIM_PM NAMBA YA WHATSAPP ANITUMIE HII OLD HIT.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habarin wakuu Karibuni Eid nyumbani kwangu! Maelezo mafupi ili ufike kwangu Panda gari hapo ubungo! Ni mwendo wa masaa ma4 then ukishuka msamvu stand moro unapanda dalala nauli 400 unashuka mjini...
1 Reactions
6 Replies
870 Views
Dj fetty ndiyo mtangazaji atakae kuja kulipwa mshahara mkubwa kuliko wote Barani Africa na kati anatarajia kusaini mkataba huo na Clouds fm! Baada ya mkataba wake kuisha!
2 Reactions
62 Replies
12K Views
Kwanza kabisa alipopata pesa na umaarufu akaanza kufwata na wasanii wa kike wa bongo wengi wao waigizaji, jamaa bila kupoteza mda akawatafuna wote naaminisha akawa akawa na uhisiano wa kimapenzi...
4 Reactions
119 Replies
13K Views
Mwanamuziki wa Bongo flava asieishiwa vimbwanga mitandao kwa skendo ya kutoka na vijana wadogo walio chini ya umri wake(Serengeti Boys) amefunguka na kusema asipangiwe ni nani wa kuwa naye na...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
kijana aliyekuja vizur kweny mziki wa singeli nakuwaaminisha watu kuwa kuna mziki singeli ila nachojiuliza ana nini kipya ambacho anaanda baada ya haina ushemeji sitegemei kuna nyimbo nyingine...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nyota wa filamu nchini Aunty Ezekiel amefunguka kuwa kipindi cha nyuma kabla ya kuwa na mahusiano na Mose Iyobo na kabla ya kupata mtoto alikuwa akijiachia sana kwa lengo la kutafuta kiki na wala...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Jana niliona soudy na mwenzake yule nani sijui wana muhoji Fongo nikaskia anatajwa sholo mwamba km ndo alomtumia sms mama wema kwamba man fongo ana mtukana wakati wapo safarini to muleba kwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu? Salama?? Kwa upande wangu Mungu anasaidia ni bukheri wa afya, Kama title inavyoeleza , leo nataka tutaje watu maarufu tunaowakubali hapa nchini ambao kwa namna moja au...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hey habari zenu wanajukwaa hilii, Jana niliona hawa Wana Hiphop wakiperform. Aiseee kati ya wasanii waliopanda na kushangiliwa sanaa kuzidi woteee alikuwa Fid Q. Jamaa hachuji aiseee halafu ana...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Back
Top Bottom