Haya hayaaaa
Wale wenye timu zao wakina timu Domo na timu Kibakuli naona mambo yanapamba moto. Tarehe 13/9/2016 new hit song la Baraka ft Alikiba linaachiwa rasmi.
Amini usiamini hili ni...
Habari ndugu zangu.
Tunafaham kuwa ni siku chache tu tetemeko la ardhi limetokea mkoa wa kagera na kuathiri maeneo mengi hasa manispaa ya bukoba.
Na siku kadhaa kabla ya tetemeko tukio la...
Habari zinazoenea kwa kasi chini ya kapeti kuhusu staa wa filamu nchini, Elizabeth michael aka Lulu hivi karibuni kushushiwa kipigo "heavy" na mpenzi wa sasa ambaye pia ni mmliki wa radio maarufu...
Mkali wa wimbo ‘Bado’ Harmonize amefunguka na kuelezea harakati zake za muziki mpaka anafika kwenye mafanikio huku akiweka wazi jinsi alivyoambiwa hajui kuimba na Master J katika shindalo la BSS...
Jesph, Mkewe Juhaina na mtoto wao pamoja na Chaka Khan.
Apparently Joseph kusaga alipewa sharti la kumwoa yule binti wa Kingazija (Juhaina) wakati alipokuwa anafanya kazi pale Greenland Bank...
Beautiful onyinye wema sepetu sepetunga ameonesha umahiri wa hali ya juu wa kucharaza kiarabu licha ya kuwa hajioneshi kuwa anafahamu lugha hiyo
Kupitia ukurasa wake wa instagram mrembo Wema...
Muigizaji na mshindi wa tuzo ya oscar, lupita nyong'o, hvi karibuni amepata shavu jingine kubwa ambapo sura yake itaonekana kwenye jarida maarufu nchini marekani linalodeal na mambo ya fashion na...
Daah,sijui kama ingekuwa jamaa yetu wangefika kweli!Pia wadau tujuzane wasanii ambao wameshatinga magogoni awamu hii ya 5!Sijaona post hata moja ya msanii akiwa na JPM 2016
Msanii Mataluma aliye wahi kubamba na ngoma zake kama vile ,mama mubaya, na kariakoo ameamua kurudi rasmi kwenye mziki baada ya biashara iliokuwa ikimuweka hapa mjini ya kuuza mkaa kumdodea...
BARUA KWA DIAMOND
PLATINUMZ na MAMA YAKE
MZAZI
Mbeya region
P.O.BOX 0759209081
MBEYA
Dear diamond....
sina imani we ni mzima wa afya
kutokana hasa na mambo
unayofanya kiukweliii katika...
Mwanamuziki Esterina Sanga maarufu kwa jina la Lina ameamua naye kulipa kisasi kwa Wema kwa kumchukua mpenzi wa Wema aitwaye Idrissa Sultani
Linah kaamua kufanya hivyo kwa kuwa Wema siku za nyuma...
Msanii mkongwe wa muziki Matonya ameweka wazi ujio wa kundi lake jipya ‘Black Image’ likiwa na project mpya ‘Mr Magufuli Legeza Kidogo’.
Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo...
Mara baada ya Zarina mwana wa Hassan kupost ujumbe wenye utata kuhusu watu wanaomnyatia nyatia poozo lake la moyo Chibu dangote ambao ujumbe huo kwa namna nyingine ulionekana kumgusa Huddah Monroe...
Hawa clouds ni kiboko kwa wizi! Hii idea yao fiesta inayosema imoooo, ni idea ya Jose mtambo (msanii wa hip hop),huenda hata huyu msanii hajui ya kwamba kaibiwa kimstari chake.
Sasa ni hivi nenda...
AFANDE SELE NI RASTA,MWANAHIP HOP AU MPAGANI !!!!?
*kila mstari wake aliotaja Mungu weka Jua.
Imani ni kuwa nayohakika kwa mambo yanayoonekana nayasiyooneka.Kila utamaduni una...
Nimekutana na taarifa hizi za huyu Kaka'etu kuteuliwa kuwa mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Mbulu.
Zina ukweli wowote au ni propaganda feki tu za mtaani?
Kama ni kweli,
Hongera sana...
Jamaa ana katabia fulani ka ajabu sana.ni mtangazaji mzuri sana tena sana.ila huwa anakera sana inapotokea anaitambulisha ngoma ya msanii hasa yule ambaye anampenda yeye.utamsikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.