Mwana mama anayekuja juu kwa kasi ambaye pia ni mke wa mheshimiwa Joseph Mbilinyi kila kukicha anazidi kuonesha vituko vyake
Faiza leo kaamua kuipa promo chupi yake kwa kupita mbele za watu na...
Wakuu naomba tuskilize haya mahojiano na tufanye uchambuzi wa kile tutakachokiskia kwa kutoa Constructive and comparative analysis between the two bongo flavor artists of Tanzania
Mwanamuziki nguli wa muziki wa Kwaito wa nchini Afrika Kusini aitwaye Mduduzi Tshabalala au maarufu kama Mandoza amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 38.
=========
JOHANNESBURG – News of the...
Kwa mujibu wa tafiti zangu nilizofanya nimegundua hawa ndio wasanii wenye followers wengi instagram
1:Davido
2:Diamond Platnumz
3:Wizkid
4:Tiwa Savage
5:Donjazzy
6:Shillole...
Hivi kwa nini inasemekana south paws ni boxers wazuri sana kuliko orthodox wakati huo huo wanaoshikilia chat za juu za maboxers wazuri inaongozwa na orthodox??
Hili swali nimekuwa nikijiuliza...
Faiza Ally au ukipenda muite mama Sasha amefunguka kuwa ana mpenda sana Sugu japo hapo awali alivunga kwa kusema hana time nae kwa kuwa kila mtu ana hamsini zake
Lakini wahenga wanasema mapenzi...
Msanii chipukizi wa diamond kutoka wcb mwenye nyimbo mbili tu kwenye mbongo flava ameanza kuonja mafanikio ya kazi yake baada ya kuanza kuishi kwake
Raymond mwenye hits mbili za kwetu na natafuta...
1.Nimekua nikifanya utafiti kwa mda mrefu sana hatimae kuna kitu nimekihisi kwa wasanii wetu hasa upande wa muziki. Wengi wakishakua ma super star wanakua na maringo sana au hata kama hawana...
Mwanadada Vanessa mdee au V money anatarajia kufanya kolabo na msanii kutoka marekani Trey Song
V money amejigamba kuwa kolabo yake hiyo bila shaka itasababisha atimize ndoto zake za kushinda...
Jamaa anakipaji cha kutangaza radio na anafanya for funny anatafuta radio ya kutangaza as a parttime job (hakuna malipo) pia anasifa zifuatazo:-
-fluent english na swahili
-computer skills
-online...
You know you a joke, when even the likes of Sean Kingston can come up on record and call your bluff. Remember when Game came up in the "how we do" video all mean mugged acting tough? Dude was a...
Aliyewahi kuwa miss Tanzania mwaka 2000, Jackline Ntuyabaliwe maarufu kama K-Lynn au bosslady ambaye pia ni mke halali wa billionea na mfanyabiashara maarufu nchini bwana Reginald Mengi, hivi...
Huyu ndio First born wa Dr Slaa kwa mkewe wa kwanza Bi Rosemary Kamili mbunge wa Viti Maalumu CHADEMA!Anaitwa Linus...Huyu ndio bro wake na Junior,last born wa Dr Slaa.Amevuta jiko na kuagana na...
Wasalaam!
Takribani ni miezi 4 kama si mitano kabisa tangu msanii wa label ya Sony music international "Alikiba" (KingKiba) kuachia official release ya wimbo wa "AJE" ambao kiukwel trend ya wimbo...
Wasalaam wakuu!
Sio siri uzalendo umenishinda haswaa! Yote ni juu ya Alikiba "Kingkiba" Maana mpaka sasa nashindwa kuelewa ni Nani aliyekuroga hadi unaendesha mziki wako kizaman sana.
Uliporudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.