Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Msanii King Crazy GK aliyetamba na ngoma zake kama vile sister sister na sauti ya Manka ambaye alitikisa vilivyo na style yake ya kuchana ingawa alikuwa na kigugumizi Ila kwa sasa GK wa sasa...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Naheshimu muziki wa GK lakini kwa nlichomsikia anasema ni wazi kua atakwama...umepotea kwenye anga ya muziki then unarudi halafu unasema kua hufanyi show chini ya milioni 30. Dah aisee...diamond...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Ili kuipa kiki zaidi nyimbo yake Diamond amepost video ya Wema akiimba wimbo wa Salome, pengine Wema amejirekodi na kumtumia Diamond ili wote wawe gumzo kwenye media za udaku tzz
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Leo ndo siku ya kutangazwa nominees za tuzo za Mtv Mama's awards 2016 ungana nami kukuletea vipengele live Pia kura safari hii zitapigwa kwa mtindo huu wa hashtags kwny social medias mfano...
0 Reactions
97 Replies
8K Views
Huyu nae Salome juwa huyu ndo simba akitua town kukumbiza swala, digidigi, Twiga, Viboko, yurt hadi minyooo just persevere. Lakini jaandae kuoga maji ya baharini kuondoa nuksi
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Mimi ni mpenzi mkubwa wa muziki na hasa muziki wa dansi ingawa nyimbo nyingi sizijui. Nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana kuwasikiliza Washirika Tanzania stars na mpaka sasa nikisikia nyimbo yao...
12 Reactions
60 Replies
8K Views
Taarifa nzuri kwa mashabiki wa Davido, Sony Music kuachia kazi zake soon!!: September 22, 2016 mtu wangu wa nguvu, nakusogezea taarifa nyingine nzuri kutoka kwa Davido star wa muziki kutoka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kumfaham vizuri huyu jamaa mwenye sauti nzito anaetangaza kutoka clouds media kwenye kipind cha Jahaz. Mzaliwa wa wap na amesoma wap?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Naomba mnisaidie mawasiliano ya mwanamziki wa nyimbo za injili Christopher mwahangila
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Huyu ni mtanzania ila bahati mbaya hapa home(Tanzania) hajulikani ila kwa UK naona yuko moto siku si nyingi atakuwa mbali sana. After spending his early childhood in Tanzania, Tiggs moved to...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Baada ya Diamond Platnumz kutajwa kuwania tuzo za MTV MAMA 2016 zinazotolewa na kituo cha TV cha MTV Base Africa, sasa Tuzo nyingi zinazidi kutambua juhudi na kazi yake kwenye muziki wa Tanzania...
1 Reactions
51 Replies
5K Views
Ali Kiba mbwa wake mpya ameamua kumuita jina la ruby na kupelekea watu wa karibu na kiba na mashabiki zake(teamkiba) kumuita binti na chipukizi wa bongo flave mwenye sauti nzuri Ruby kushindwa...
8 Reactions
184 Replies
30K Views
je UNAMSHAURI NINI MAMA WEMA, KWA KUWA YE MTU MZIMA ANASHINDANA NA KIJANA MANFONGO?.
2 Reactions
17 Replies
4K Views
acha acha acha kabisa ... x4 Huu ndio wimbo ulionikamata kwa leo
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Video ya wimbo ‘Salome’ ya mkali wa muziki, Diamond Platnumz imefikisha views miloni moja katika mtandao wa YouTube kwa kipindi cha siku mbili. Video hiyo ambayo inaonyesha kufanya vizuri zaidi...
3 Reactions
32 Replies
6K Views
Huyu jamaa kwanza mim namkubali maana kwa juhudi zake amesaidia sana Diamond kuwa pale leo. Shida niliyonayo jamaa anapenda sana majungu kila akipost kitu instagram lazima aweke maneno ya vijembe...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
1:Faiza Ally, huyu aliwahi kuwa mpenzi wa mheshimiwa Joseph Mbilinyi ila kutokana na tabia zake za ajabu ajabu hatimaye mheshimiwa aliamua kunyoosha mikono na kuachana nae , Kwa kudhihirisha hilo...
7 Reactions
76 Replies
27K Views
Ama kweli ukiwa na nyota ya kupendwa dunia yote hii utaiona tamu balaa Mwanamuziki ambaye pia ni mume wa Kim Kardashian na muanzilishi wa dini ya yeezus Kanye West ana nyota ya kupendwa kwa kweli...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Msanii Roma alishushwa jukwaani huko Morogoro baada ya kutuhumiwa kutoa matusi juwaani, Roma anadai hakutoa matusi ila alikaribishwa kuimba ila akaimba akaboa watu na ndio maana walimshusha Amedai...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Back
Top Bottom