Wana jamvi salaam,
Kwako mpendwa msanii wa kimataifa ambaye tunajivunia kutolewa kimasomaso katika kila unacho gusa iwe tunzo na uwakilishi wako pande zote za ulimwengu.
Diamond adui yako mkubwa...
Uongozi wa muziki nchini marekani unao muongoza msanii wa R&B Chris Brown umetoa taarifa kwa uongozi wa muziki Tanzania unao muongoza msanii kutoka Tanzania ALI KIBA msanii ambae yupo chini ya...
Baada ya Diva kudai kuwa hamfahamu Ruby, Ruby akasema anamuona Diva kama mtoto hivyo basi hawezi kubishana na mtoto
"Naona ni ujinga, i dont want to talk about it ,everybody knows me, so nahisi...
Staa wa filamu, Aunt Ezekiel aliye katika mapenzi na Dansa Moses Iyobo, ameamua kukimbilia gym kwa ajili ya kupunguza unene unaomuandama ili kulinusuru penzi lake.
Akizungumza na chanzo cha...
hawa jamaa wameamua kuanza kuonyesha movie(maigizo) yao kwenye tv then ndo dvd mtaani.kwenye comments JB anadanganya eti watu wa Tv(SIBUKA)wamesharudisha gharama za movie kwa kuwalipa..kwendraaa...
Mwanamama mzazi mwenza wa mheshimiwa Joseph Mbilinyi Sugu atangaza kutafuta mwanaume ili ampe ujauzito na hatimaye apate mtoto wa kiume kwa kuwa ana nguvu za kutosha za kulea
Haya sasa kazi...
Mtangazaji wa kipindi cha Jahazi ambaye ukimpa topic hawezi kukosa cha kuchangia, jana alishangwaza na baadhi ya wanafunzi kufeli mitihani yao huku wengine wakichora makatuni kwenye mitihani yao...
Tanzanian actress Wema Sepetu has vowed to take her countryman Diamond Platnumz to court over unpaid dues after an artiste signed with Diamond’s WCB Records featured her in a music video without...
Bwana mdogo Sheta Shetani au ukipenda muite babaa Kayla siyo mtu wa mchezo mchezo hata kidogo amedhihirisha hayo kwa kumshika makalio Snura mbele za watu huko Tanga walikoenda kwa ajili ya Show ya...
Huku tukiwa kila siku tunawahimiza Vijana kuwa mnapopata bahati ya kuanzisha Mahusiano na hawa Mabinti " Mastaa " wa Kibongo basi hakikisheni " mnawabandua " ipasavyo ili kuleta Heshima huwa...
Wakat akiendelea kuomba msamaha akajibiwa ...."Acha mimi masikini na wanangu tutaishi vizuri katika nyumba ya kupanga, wewe tajiri ishi na wanao ktk nyumba ya kununua na mwenzio."
Diamond if he...
Picha za Trump na Flaviana Matata Zaibua Mambo Bongo
Mgombea urais tajiri wa Chama Cha Republican, Donald Trump akiwa nna mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania, Flaviana Matata (kulia) na...
Nasema hivyo maana vitu anavyofanya diamond mtanzania ni ngumu kufanya ni maneno kidogo vitendo vingi,
mfano
Kanunua nyumba S.A na Tabata ,hakutoa ahadi ila ni vitendo kafanya ila upande wa KING...
Mwigizaji mwenye manjonjo ya kipekee Chinedu Akedieze au kwa jina maarufu Aki ameonesha mapenzi ya hali ya juu kwa kuusifia wimbo wa diamond platinum uitwao Salome
Aki kupitia akaunti yake ya...
baada msanii kala jelemay kuachia kazi mpya nilitegemea mapokezi kutokana ujumbe mkubwa kwa jamii na kwa mashabiki lakini imekuwa kinyume chake watu wameipuuza haijafany vizur vile ambavyo...
Habari wakuu,
Nimeusikia kwa mara ya kwanza wimbo wa mwanadada Ruby baada ya kujitoa katika matamasha ya Fiesta. Wimbo unaitwa Wale Wale, mwadada kama kawa kaimba poa sana wimbo unamelody kali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.