Hakuna mtu asiyejua maana ya watoto wa kishua basi kama yupo basi maana halisi ya neno hili ni wale watoto waliozaliwa kwenye familia zinazojiweza au unaweza kuita familia Bora. Mara nyingi...
Kunataarifa Nazidi Kuziskia zikitangazwa kuwa Eti kesho nitakuwa Uwanja wa Taifa kwenye hafla ya Team Ya Simba....SI
KWELI!!! NI UONGO!!! Kesho Nitakuwa MWANZA CCM Kirumba kwenye Tamasha la...
leo ni siku ya kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa aliekua miss Tanzania Wema sepetu,sijui anafikisha 27 au 28 maana kasema mwaka 2018 anafikisha 30 sasa naona hapa kati kama pameganda hivi
Mama...
Haya jamani yule Sosholaiti wa Kenya kazama kwa Mchaga wa Kishumundu (Sina uhakika). Kaka huyo ajulikanaye kama Danford Kessy amemteka mrembo huyo ambaye amekiri kuwa ni muda mrefu amekuwa...
Rapper kutoka Nigeria Olamide achaguliwa kuwania tuzo za Mtvema katika kipengele cha Best African Act..!
Baddoh sneh...
Rap God Olamide..!
YBNL CEO...
King Baddoh...
Olamide...
Vote 4 Olamide...
Sio kwamba nimebadilika na kuanza kumshabikia Chibu. Mi Napenda kazi zuri.
Wengi wanamshabikia pasi kujua utofauti wake na wasanii wengine. Chibu ni mfanyabiashara na kazi yake ni muziki, na ndio...
Baada ya kuwalipa Pesa ya Madafu Diamond Platnumz na Ali Kiba kwa ajili ya kampeni, yule Governor nguli wa County 001, County ya Mombasa Ali Hassan Joho anawaleta Chris Brown na Wizkid mjini humo...
Mwnadafada mbichi kabisa mwenye miaka 27 ,madam Sepetu unga leo kwa kushirikiana na mogul wa media yaani mfalme wa sosho midia bwana le mutuzi malecela leo watafanya suprise ya kufa mtu kwenye b...
Mwanadada mwenye mvuto kupita wote ndani ya gemu ya maburudani Afrika Mashariki na Kati ameendelea kugonga headlines za vyombo vya habari baada ya kusema Diamond platnumzs alitaka yeye ndio HAWE...
Wimbo wa Kiba ulionifanya nitafakari upya .. Kati yake na daimondi nani mkali nimeusikiaa mara 90 nimegundua ali kiba ni mwanamziki Daimondi ni Msanii fwatilia hapa[emoji116] [emoji116] [emoji116]...
Beef la wiki hii kati ya Msechu na AT kiasi cha "kuchambana" kupitia mitandao ya kijamii ilikuwa ni "kiki" ya kutambulisha wimbo wao wa Audio uitwao "Msengenyo".
Humu JF yaliletwa maneno na...
Salaam
Katika wasanii wa kizazi kipya wenye gumzo kubwa kwa sasa ni Diamond na Ali Kiba, wasanii hawa wana timu kubwa za mashabiki kiasi kwamba kila upande huamini kuwa msanii wao ndiyo zaidi...
Kwenye show za radio, haswa vipindi vya kizazi kipya kumekuwa na pengo kwa watangazaji wa kike wenye uwezo na vipaji vya kipekee. Hii imekuwa kwa muda mrefu .
Mtangazaji wa radio asiye kuwa na...
Alikiba ametajwa kuwania kwenye tuzo za mwaka huu za MTV Europe Music Awards
(EMA) kipengele cha Best African Act.
Kiba atachuana na wasanii wengine wakiwemo Wizkid na Olamide wa Nigeria na Black...
Unadhani kwanini pamoja na kuwa kinywaji na brand maarufu duniani, Coca-Cola inaendelea kumwaga fedha nyingi kwaajili ya matangazo?
Kampuni hiyo hutumia zaidi ya dola bilioni 3 duniani kote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.