Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Ushauri wa bure nampa mdogo wangu Ally Salehe Kiba bora aache mziki akaimbe kaswida maana hana cha maana anachokiimba zaidi ya kudandia nyota ya Diamond platnumz chibu dangote ukipenda muite Simba...
2 Reactions
100 Replies
16K Views
Hivi kwaniin huyu mama anamchukia sana mzazi mwenzie na mwanae(Zari)? Naona hali imefikia pabaya mpaka kufikia hatua ya kuongea maneno magumu Kwenye mitandao ya kijamii. Tunajua Zari ana...
19 Reactions
238 Replies
32K Views
Picha hizo zikionyesha jinsi alivyokuwa ktk uhusika wake ktk Hatya kama mtoto wa kiume, na nyingine ikimwonyesha nje ya filamu! Anaitwa Sujitha, alizaliwa 12/7/1983! Mume wake anaitwa Dhanush...
4 Reactions
51 Replies
14K Views
Naona harakati za Wolper kuutafta ukuu wa Wilaya zmepamba Moto Insta!!! My take : Bila kujipendekeza ccm cheo unaksoma namba [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Mwanamuziki wa muziki wa kufoka foka nchini Tanzania, Witness, a.k.a Witness kibonge Mwepesi, ameelezea sababu ya kuchora tattoo yenye jina la mpenzi wake wa sasa Ochu Sheggy katika kiuno chake...
5 Reactions
90 Replies
19K Views
Kuna jambo limenichosha saana. Kila tv, radio, socia media kila mtu stori ni Diamond na familia yake. Nimechoka bwana, mbona stori za macelebrity wengine kama Stani hazijatapakaa hivyo...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Picha inajieleza....
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Ballers, my fav show at the moment. And I spotted how Ricky was nice from the get-go, but I never paid any to it. Now it makes sense where he got it all from. Just learned he is actually Denzel...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Wanajamvi nimeshangaa kuona account ya chegge ya Instagram wamei Huck ,,,, iv inawezekana mtu akakamatwa alie fanya ivo au vp wakuu.
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Imefichuka kuwa mama Diamond alitoka na Muarabu na kuzaa mtoto wa kike ambaye sasa ni mkubwa. Mtoto huyo amesema kuwa huwa hapendi kufahamika ndio maana anajitahidi kuweka 'low profile'.
2 Reactions
78 Replies
14K Views
Msanii Masanja mkandamizaji ametoa ushuhuda wake juu ya maisha yake kwa watu ambao wanadai hajaokoka Masanja amedai amepitia msoto mtakatifu na alikuwa anatembeza juisi mtaani kwenye magari na jua...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Akihojiwa katika kipindi cha D'wikend Chat show cha clouds TV ameulizwa endapo akitaka kuiuza Instagram Account yake ataiuza kwa sh ngapi..akajibu dola milioni mbili za marekani ambayo ni sawa...
3 Reactions
58 Replies
9K Views
Diamond aachia Remix ya All The Way Up Volume 2. Humo ndani amemtaja Zari, Mobeto , pamoja na Wema, na moja kati ya mistari yenye utata ni huu: ''wao wakipost tembo sie tunapost show''. OVA...
10 Reactions
171 Replies
37K Views
Jamaa kutangaza serious hawezi,anytime yeye ni comedy tu.ila ananogesha vipindi.ila huyu jamaa analazimisha sana kuwa msanii wa hiphop,kurap hawezi kabisa yaani sijui kwa nini analazimisha
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Video queen mwenye muonekano mzuri na aliejipatia umaarufu mkubwa hivi karibuni anaefahamika kwa jina la Tunda jana kupitia mtandao wa instagramu alipost majibu aliyopata baada ya kupima VVU na...
4 Reactions
76 Replies
15K Views
Huyu dogo aaliyesumbua kwenye bongo movie mwishoni mwa miaka ya 2000 yupo wapi sasa maana hasikiki tena
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Wakuu Salaam Sana Mimi Nilikua shabiki mkubwa wa Diamond Platinums Baada ya uswahili na uanakijiji uliopitiliza wa Mama yake kujianika privacy zao kwenye mitandao ya kijamii na kuonekana familia...
13 Reactions
111 Replies
10K Views
Baada ya kuwa msanii Pekee kutoka East Africa kuingia kwenye Nomination za MTVEMA International. Na Baada ya kumfunika Diamond Kule Mombasa. Alikiba ameitwa Tena, Safari hii akiwa na Msanii Mwenye...
8 Reactions
41 Replies
7K Views
Kama ni msikilizaji wa East Africa radio utaelewa ninachouliza.kuna dada alikuwa anatangaza miaka yote kipindi cha late night live kuanzia saa 4-7usiku.kwa sasa muda huo kuna The cruise.yule dadda...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau kuna tetesi kwamba msanii nguli wa bongo fleva King Kiba amelipwa pesa za kitanzania zaidi ya 1b katika uzinduzi uliofanyika jana huko Dubai!! Je hizi tetesi ni za kweli au ndo kick tu za...
3 Reactions
76 Replies
14K Views
Back
Top Bottom