Sijajua huo ni ukunga au ni jingle yako kwny kila wimbo.... Usipopayuka "yaaaaah" nyimbo inakuwa nzuri... Ona nyimbo yako ya AJE hujapayuka kidogo ina afadhali lkn mpayuko wako kwny Mapela na...
Wimbo wa salome ulioimbwa kwa kukutanisha mafundi wawili kutokea lebo ya WCB Diamond Platnumz AKA Simba Jini na Rayvanny umekimbiza ile mbaya huku nchini Kenya kwa kushika namba moja kati ya...
Nimekaa nikiwaza yani msanii akigombana na clouds kwanini inakua ngumu sana kusimama tena kimuziki? angalia
Jay dee karudi na ndindindi katamba kidogo tu kaja na ngoma yake mpya jiiiiiii imebuma...
Hatimaye Tecno wamezindua Phantom 6 na Phantom 6 Plus ambazo zinaleta mapinduzi ya Teknolojia
Kampuni inayoongoza kwa mauzo ya simu Afrika, Tecno Mobile imezindua simu mbili matata za Phantom 6...
Msanii Snura Mushi amesema neno chura sio kama linavyotafsiriwa sasa hivi ambapo watu wanamaanisha ni makalio ya mwanamke, amesema chura linamaanisha mwanamke anayetangatanga kubadilisha wanaume...
“Kwa mfano, ninaweza nikawa misingi yangu ya kazi inaniambia baada ya show inabidi niingie kwenye gari niwahi hoteli. Shabiki anataka nishuke, nipige picha, aniombe namba ya simu,” Ray alimweleza...
Shughuli hiyo ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali pamoja na marais wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mkali wa masauti Christian Bella alikuwa mmoja kati ya wasanii ambao walialikwa na...
Nikirejea historia za haya mabifu mi naona kama zinawasaidia. Hebu tuangalie kidogo: Nasma kidogo na Khadija Kopa jinsi walivyojaza kumbi mashabiki, Banza Stone akiwa TOT na Ally Choki akiwa...
Kwa nini Kim na rafiki yake kipenzi, Simone Harouche walibaki chumbani wenyewe bila mlinzi wakati wakijua wana vito vyenye thamani kubwa na kujipiga picha kwenye mitandao ya kijamii?
Kwa nini...
..Akihojiwa katika kipindi cha D'weekend chatshow Diamond Platnumz amesema kuwa watanzania wampigie kura Ali Kiba ili tuzo ije nyumbani na sio kusema kuwa mimi ni shabiki wa Diamond hivyo simpigii...
Diamond Platnumz ameweka video yake akiwa na zari chumbani wakifanya mambo, kwenye video hiyo Diamond anaonekana akiwa kitandani amemlalia na akimng'ata Zari chuchu huku Zari akiwa kimya
Diamond amedai kuwa idadi kubwa ya watu, hususan kutoka Tanzania ilikuwa ikipiga simu kwa wakala aliyekuwa akihusika na mauzo ya nyumba aliyonunua Afrika Kusini kutaka kujua kama ameinunua kweli...
Mimi ni mmoja wa shabiki mkubwa sana wa bizzybabylon baisa (mr.blue),kuanzia flow na uandish wake,lakin hivi karibuni amekua na mtindo wa kurudia baadh ya mashair katika wimbo zaidi ya mmoja.
Kwa...
Mwigizaji Wastara aliwahi kuingia kwenye vichwa vya habari Tanzania kutokana na ndoa yake kuvunjika ndani ya siku 80 akiwa kaolewa na Mbunge wa Zanzibar.
Kabla ya ndoa hiyo Wastara alikuwa kwenye...
Tuzo za BET hip hop awards zimefanyika Atlanta’s Cobb Energy Performing Arts Centre, Host wa show alikuwa Dj Khaled, Waliofanikiwa kuondoka na tuzo ni:
Best Hip-Hop Video: Drake, "Hotline Bling"...
Katika kipindi cha D'wikend chat show cha clouds TV, ameulizwa " Meneja wako Sallam analalamikiwa yupo too hasrh and over protective to you. Unalizungumziaje?". Amejibu " Sallam yupo kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.