Nimeshuhudia wasanii wengi haswa wa mziki na maigizo wakiacha hizi kazi na kusema wameamua kumrudia mwenyezi Mungu,wengi wakitubu zambi walizozitenda,Je kuna uhusiano wowote kati ya kuwa msanii na...
Wana jamvi wasalaam...
Wana jamvi katika adhabu ambayo anaweza kupewa mtu na ikamuumiza sana na akashindwa kujua la kufanya au suluhu ni adhabu ya kupuuzwa.
Adhabu ya kupuuzwa ndio aliyo pewa...
Msanii wa Hip-hop wa Nigeria, Ycee ameungana na mtayarishaji wa muziki na muimbaji wa Afrika Kusini, DJ Maphorisa kwenye remix ya wimbo wake unaofanya vizuri barani, ‘Omo Alhaji’.
Ikifanyika...
Leo katika pitapita zangu youtube nimekutana na video ya Baraka na Ali Kiba inayokwenda kwa jina NISAMEHE.
Kilichonishangaza ni kwamba ina wiki moja tangu iwekwe youtube lakini mpaka sasa ina...
Ali Kiba ni msanii mwenye "jina" kubwa, lakini hataki kulitumia jina lake kunyanyua chipukizi,hana muda huo,ameshindwa kumtoa mdogo wake 'Abdu Kiba" atawezaje kumtoa Baraka?
.. Kwanini hatumii...
Inasemakana eti yule video queen mwenye mfanano na amber rose tuko chini ya ulinzi huko Arusha baada ya kujaribu kupitisha sembe kwenda nchi ya jirani Kenya kwenda China Kule kwa jack wa jux...
Muimbaji mashuhuri wa Marekani mtindo wa Hip Hop Chris Brown, yupo Kenya kwa tamasha la muziki mjini Mombasa eneo la pwani.
Lakini tukio ambalo halikunukuliwa kwenye kamera limegubika vyombo vya...
Hebu fikiria jinsi Ray C anavyoteseka, lakini hawa bado wanampa dili za nguvu Lord Eyez! Hivi wanaelewa hata waanzilishi wenzake wa Weusi Classic hawamtaki kabisa huyu jamaa?
Lord Eyez (wa pili...
Mtoto wa waziri mkuu wa zamani, Fredrick Sumaye , Frank Sumaye amefunga ndoa na Anna Temu kwenye kanisa la Azania Front na sherehe za harusi yake kufanyika Ubungo Plazza zikihudhuriwa na viongozi...
Aisee nimekuja kugundua hii nyimbo ya Salome ina matusi tena ya mwendo kasi Hasa Reyvanny
Kwanza anaanza kama anamsifia mwanamke eti
"Kioo hakidanganyi mama, umejipodoa umepodoka, mwendo na...
Maneno mengi sana yamesemwa kuhusu kiasi cha fedha alichonacho Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz na vile vile unaweza kumuita Chibu Dangote au Baba Tiffah, na wengine kufikia hatua ya kusema...
Wakuu niaje.....
Tupi huku Mombasa......Kenya.....
Leo tupo huku Mombasa kwanye shoo ya kihistoria......
Chris brow kutoka Usa amekuja kufanya show ya kihistoria .....
Kikubwa zaid atapanda...
Leo Oktoba 7 ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete. Alizaliwa Oktoba 7, 1950. Amekuwa madarakani kuanzia tarehe 21 Disemba 2005 hadi tarehe 5...
1. Nikki wa Pili amejinadi kuwa hajawahi kufeli toka aanze kusoma
2. Nikki wa Pili anasema yeye anasoma sana vitabu
SASA
-Alikuwa anafaulu vipi mtu ambaye hajui hata kuandika spelling za neno...
MSANII WA MIONDOKO YA HIPHOP TANZANIA ONETHEINCREDIBLE AWAKALIBISHA KWENYE BIRTHDAY YAKE KWA FREESTYLE MATATA....
FREE STYLE NYENGINE AKAWADISI NA WEUSI BUMKUBA
Wadau wa muziki wa Bongofleva,
Nadhani wote mnaelewa kuhusu ushindani unaoendelea kati ya wanamuziki machachari kabisa nchini..
Katika pitapita zangu kwenye mitandao ya kijamii nimeona meneja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.