Yaani video za Ally wala hazivutii kuna kuwa na mrundikano wa picha kibao....ambazo hazina maana wala logic ,hua najiuliza sana huyu brother why? Kwanini video zisiwe na flow nzuri unarundika...
Waungwana leo kwenye pita pita yangu nilikutana na miongoni mwa washiriki wa BSS aliyekuwa miongoni mwa waliofanya vizuri (jina kapuni) akiwa kachoka sana mpaka nikamuonea huruma, sasa nikawa...
Saida Karoli anaogopa kugusa hata jani, akidhani
ni nyoka anayetaka kumng’ata
Ni kwasababu licha ya kufanya vizuri kimuziki miaka kadhaa iliyopita, hakupata chochote na bado anaishi katika...
Nimeona kidogo tu kwenye tangazo la EATV....Kr Mullah ana perfom 'kamua'
yuko na TID kwenye Friday night live....
kwa kweli hawa jamaa sasa ni 'burudani tosha'
natamani kuona mwenye full clip...
Akiongea kwenye kituo cha radio cha magic fm mziki wa hip hop bongo ni mgumu hasa kwenye maslahi ndo maana anamueshimu sana joh makini
Diamond" wakati mimi sijatoka nauza mafuta sheli nilikuwa...
Diamond platnumz ameendelea kukuza mziki wake baada ya kupata shavu kubwa la kutumbuiza kwenye majukuu makubwa nnchi uingereza akiwa na mkali kutoka marekani Neyo.
Mtandao wa Revolt Africa umetoa...
Yule msemaji mkuu wa Yanga African hatimaye amerudi tena kwenye kazi yake ya utangazaji aliyokuwa akifanya hapo awali katika television ya Taifa.
Chanzo: TBC
Huenda Jux akawa amemfuta kabisa Trey Songz
kwenye orodha ya ma-role model wake tangu
ashiriki kwenye wimbo mmoja na Vanessa Mdee
na kutengeneza ukaribu usio wa kawaida!
Japo ameiongea kwa utani...
Mziki wa bongo fleva umepata umaarufu mkubwa sana Barani Afrika na Duniani kwa ujumla.
Kitendo hiki cha mziki wetu kuvuka border kimesaidia sana kuongeza Ajira kwa vijana na kukuza vipato vya...
Habari za kuwepo kwa bifu kati ya Mama mzazi wa Nassib Abduli aka Diamond Platnumz na Zari ambayeni mpenzi wa msanii huyo na Mama wa mtoto wake wa kwanza zilichukua sura mpya.
Mwezi uliopita...
Naona Diddy karudi nafasi yake tena. Na pia drake kamuondoa nadhan alikua 50 cent nafas yake hio ya 5.
5. Drake--Utajiri wa Bilioni 126 Tsh.
4. Birdman--Utajiri wa Bilion 231 Tsh.
3.Jay Z --...
Shikamoo wakuu
Nimekuwa nikifanya utafiti ili kuweza kujua mgawanyiko wa mziki wa Hiphop katika taifa letu la Tanzania
Katika pitapita zangu mitaani nimeskia eti kuna tamaduni mziki, hiphop...
Nmemtumia huyu dada Iphone 7 kwenye siku yake ya kuzaliwa cha ajabu ameenda kunianika instagram kwamba haipendi na atampatia shabiki,nakua kama bwege
Hawa maceleb wa kibongo sijui huwa wana...
Lile kundi lililotikisa miaka ya nyuma ambalo lilikuwa na wakali kama AY, king crazy GK, Mwana FA lipo mbioni kurejea kwenye gemu
Akizungumza na E newz rapper machachali ambaye pia ni hitmaker...
Mwanadada anayefanya poa kwenye mziki na maigizo Snura Mushi AKA Snu sexy au ukipenda muite malkia wa uswazi hatimaye afanya bonge la party kufurahia kurejea kwa chura kwa mara nyingine
Snura...
Alikiba ameitaja sababu iliyomfanya ashindwe kumuoa mwanamke yeyote kati ya watatu aliozaa nao.
Hitmaker huyo wa Lupela alisema kuwa hakupenda kulazimisha iwe hivyo.“Unajua hauwezi kumuoa mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.