Baada ya AliKiba kudai alifanyiwa ‘figisu’ kwenye tamasha la Mombasa Rocks Music Festival lililofanyika weekend iliyopita huku akimtuhumu meneja wa Diamond, Sallam kuhusika, Sallam amefuguka na...
By Daryl Nelson
Beanie Sigel sat down with The Breakfast Club to discuss his current beef with Meek Mill, since they’ve been insulting each other in the media for the past couple of weeks...
Who is the best rapper, and who is the most recognized legend kati ya Profesa Jay na Mr II/SUGU!?
.., Joseph Haule 'Profesa Jay' na Joseph Mbilinyi 'Mr II/SUGU'.., wote ni rapa wa muziki wa...
By Theo Bark
Chamillionaire once met his hero Michael Jordan, but it didn’t go so well. The Houston, Texas rapper, crossed paths with Jordan at a party for the basketball legend after recently...
Kwa kweli huyu dada anatia hasira sana na ulimwengu wa sasa hivi pesa imetufanya binadamu wengi tuwe vichaa kwa kufanya mambo ya ajabu ili tuu mkono uende kinywani na kupata kick za kipumbavu...
Habari,
Ali Kiba - Mimi ni mkubwa zaidi ya tuzo na muziki wangu una thamani zaidi ya tuzo
Ali Kiba aliwahi kuonesha dharau kubwa kwa mashabiki wao kuwa yeye ahitaji Tuzo...
Hakika wewe ndo kioo cha taifa letu ktk masula ya muziki kimataifa.ushauri wngu kwako hakikisha unavaa lebo ya taifa letu kama jezi za taifa stars au nguo yeyote yenye jina la Tanzania.Big up sana...
1. SALLAM: 'Alikiba kama amekosea yeye anatakiwa kuomba radhi mashabiki wake na Promota, pia aombe Mungu next time kila kitu kiende vizuri'
2. SALLAM: 'Wakati Alikiba anatumbuiza sikuwepo kabisa...
Vanessa mdee ambaye pia ali pafomu Mombassa ametaja sababu iliyosababisha Ali Kiba kuzimiwa mic ni kuwa Chris Brown aliingia akiwa hana mood nzuri, kwa hivyo ili kumfurahisha wale waandaji ikabidi...
Hatimaye Diamond ametoa sababu ya kutopanda jukwaa la fiesta 2016,Akihojiwa na kipindi cha jahazi cha clouds fm Diamond amesema kuwa ndoa(mkataba) yake na vodacom ndio sababu inayomfanya...
Kijana Baraka kutoka Mwanza ameonesha nyumba yake ikiwa katika hatua za mwisho za ujenzi.
Hongera sana kwa hatua hiyo kama kweli ni yako maana wasanii ninyi hamuachi usanii kwa kila jambo.
Aidan Charlie ambaye ni meneja msaidizi kutoka
kwenye Menejimenti ya mwimbaji staa wa
bongofleva Alikiba ameongea kuhusu tuhuma
mbalimbali zilizotolewa dhidi ya Alikiba
kutokana na show ya Mombasa...
Apo chacha!!
Belle 9 amesema hafikirii kabisa kufanya muziki wa Singeli.
Muimbaji huyo wa R&B amesema huo ni muziki wa kupita
na katu hauwezi kudumu.
Alitoa kauli hiyo baada ya kuulizwa swali na...
U hali gani Ali Kiba? Natumai u mzima kabisa na unaendelea vyema na shughuli zako za muziki.
Mimi kama shabiki/mpenzi na mfuasi wako napenda kukupongeza kwa kitendo chako cha kishujaa na chenye...
Wadau nauliza tu hivi TZ kuna msanii yeyote anayemzidi Ally Kiba kwa ubinafsi na unafiki??
Kiba namuona mbinafsi na mnafki kwa kuwa sijawahi kuona hata mara moja akimu wish mtu yeyote siku ya...
Yule mkuu wetu ukimruhusu kuongea tu lazima achafue hali ya hewa
Eg tetemeko halikuletwa na serikali...fanyeni kazi
Yaani yule jamaa angekaaga kimya atende tu si tuone ila akiongea lazima...
Huyu ni diamond mpya aliyetokea nchini Kenya
Diamond fake anafanana kwa kila kitu na diamond platinums jina lake kamili anaitwa willy Paul daaah ebu mcheki hapa....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.