Baada ya Team Wema au wafuasi wa Wema au Wema fans kumponda Wema kwa kutomsupport Idris Sultan katika kuwania nafasi ya Kuhost tuzo za MAMA.
Wema akasirika nakuwatukana washabiki wake!
vp...
Huyu sister namzimia kichizi ( I can also confess I'm secretly in love with her).
Kaenda shule na ana akili na hana mambo kama ya hawa dada zetu wengine wa mjini ktaka u sloopu tuuu.
I wish...
Haya sasa naona taratibu ule ubishi wa kuwa nyimbo za Afrika hasa Tanzania hazichezwi kwenye vituo vya Radio za Marekani unaelekea kuisha!
Dj Joh wa 93.1 Marekani akihojiwa na Millard Ayo...
Binafsi nimechunguza kwa umakini sana na huu ndio msimamo wangu! Wafuatao ndio wanamuzuki nguli kabisaa;
1. Linex
2. King Kiba
3. Chegge
4. Afande Sele, na
5. Juma Kassim Nature, Kiroboto
Mimi...
Ndugu zangu,kumradhi Kama kuna watu watanielewa vibaya,lakini tufike hatua tujue kuwa nyeupe itabaki kuwa nyeupe,na nyeusi itabaki kuwa nyeusi.
Nimekuwa nikiwaskia Alikiba na Diamond wakihojiwa...
Nimeyaona mahojiano ya Iive kati yako salam na DJ wily tuva then ya ali na wily ,
Kwanza hakuna haja ya ali kuomba msamaha kwa kusema show ilizimiwa backstage na we we kuita ni upotoshaji kwamba...
Abdu Kiba ameelezea kuwa Ali Kiba hafanyi nae kolabo kwa kuwa Ali Kiba yupo bize na wasanii wengine
Pia amesema hana mpango wa kwenda wasafi ila anaweza kufanya nao kolabo
Well! well! well!.. Leo nmepanda hapa JF kivingine kabisa japo bado niko kule kule kwenye Burudani na Leo nitawapatia angalao Biography ya wakali hawa wa dance ulimwenguni. Linapotajwa jina la...
Apo chacha!!
Mrembo kutoka Bongoflevani Naj ambaye kwa sasa ni
mpenzi wa mkali anayemiliki mdundo wa ‘Nisamehe’ Baraka
the Prince, Leo October 15 anazichukua headlines baada ya
kuelezea exclusive...
Nimeangalia show TBC ya club raha leo, nimegundua Chokoraa ni mpiga show hatari sana Tanzania.
Nipo masomoni Marekani nikirudi namtafuta aseee.
Hongera sana watanzania kwa kubarikiwa vipaji, huo...
Hii kitu sio mara ya Kwanza kutokea malumbano kati ya Ali na Sallam.
1.Show ya Tigo Dar es salaam
mwaka jana kwenye show ya Tigo ambayo wasanii A List wa bongo flava wote walikuwemo ila baada ya...
Mpaka sasa BANK ALERT ya P SQUARE imetazamwa mara 702,019 kwa SIKU TATU(three days ago) wakati SALOME ya DIAMOND imetazamwa mara 655,513 kwa SIKU MOJA(one day ago)....inawezekana ikifikisha siku...
Baada ya Nay wa Mitego kudai kuwa muimbaji huyo wa ‘Nisamehe’ na Stan Bakora ni watoto na kwamba huenda wanatafuta kiki, ameibuka na kudai kuwa rapper huyo hana akili na ni mp*mbavu.
“Nay hana...
Wakuu Salaam Sana.
Nimejaribu kusikiliza mahojiano ya diamond kwenye kipindi cha Jahazi kazungumzia suala la TRA kwenda kumdai kodi ilihali yeye kama msanii akiwa bado anadhulumiwa haki zake hasa...
Saida Karoli atanufaika na ‘Salome’ wimbo mpya wa Diamond ambao una vionjo kutoka kwenye wimbo wake wa ‘Chambua kama karanga’
Diamond amesema kuwa mwanamuziki huyo mwongwe wa nyimbo za asili ana...
Nikisikikiza nyimbo za ngwair huwa nashindwa kuelewa kuwa alikuwa anasimamia misingi gani kati ya rap au hip hop....
Cjawai kusikia ngoma ya ngwair yenye misingi kabisa ya zile hip hop kama za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.