Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Jokate ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mahafali hayo, alisema kuwa serikali peke yake haitaweza kutatua changamoto mbalimbali katika sekta ya elimu na nyinginezo na hivyo inahitaji msaada kutoka...
3 Reactions
37 Replies
5K Views
Davido ni mega superstar, na ni msanii ambaye amesign na Sony internationa ndani ya management mpya. Ndani ya wiki mbili zilizopita ameachia ngoma mbili, gbagbe oshi na ingine. Lakini nimeshangaa...
6 Reactions
54 Replies
7K Views
Nilikuwa nategemea kuna siku kama hii itafika. Tangu Jay Z na Beyonce watose kuhudhuria harusi ya Kanye West na Kim Kardashian miaka miwili iliyopita, urafiki wa Yeezy na Hov uliingia matatani...
3 Reactions
34 Replies
7K Views
Kwanza niseme mapeeeema mi sio team kibakuli wala team domondo... Ok nikija kwenye point ni hivi wote tunajua kuwa mwaka huu tuzo za kili hazitakuwepo ila tuzo pekee zitazofanyika kwa hapa bongo...
6 Reactions
76 Replies
7K Views
Akiongea na mimi wakati alipokuwa ziarani nchini China hivi karibuni, mwanadada huyu machachari na maarufu nchini, amesema atafungua duka la chupi zenye label ya maneno "Endless Fame" kwa upande...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Hivi kipindi gani ni kizuri zaidi kati ya friday night live kinachoendeshwa na Sam Misago na Ommy Crazy wa EATV au D'Wikend chat show kinachoongozwa na Soudy Brown na QWhiser wa Clouds tv...
4 Reactions
126 Replies
14K Views
Tunajua kuwa maisha plus ni show ya uhalisia ila kwa kikichotokea leo Masoud na wenzako mmetuongopea tena uongo wa wazi sijajua mna lengo gani Uongo huo ni hao washiriki wa kike kulala juu ya...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Mwanamuziki wa zamani Mzee Kungubaya, amefariki jioni hii, alikuwa amelazwa kwa shida ya Pressure na baadae aligundulika kuwa na tatizo la Figo Kwa wale wasikilizaji wa zamani wa RTD kulikuwa na...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Hapa naongelea redio kubwa zenye frequency mikoa yote au baadhi ya mikoa na sio redio inayosikika mkoa mmoja au wilaya moja,,so wale wa Dar naomba nisiihusishe E fm wala choice fm wala times fm...
3 Reactions
57 Replies
10K Views
Baada ya baraka da prince kutupitia picha mpenzi wake kwenye instagram msanii mwenzake Msami alicomment kwa kumtania lakini baraka alipandwa na harisa na kumtukana mwenzake
2 Reactions
210 Replies
29K Views
Z-Anto ni miongoni wa wasanii waliozishika chat za radio na TV mbalimbali za Tanzania miaka kadhaa iliyopita, na waliozunguka karibia kila mkoa kama sio kila wilaya kupiga show kutokana na kuhit...
17 Reactions
93 Replies
7K Views
Ipo wazi kwamba these guys ndo wanaorun bongo kwa sasa kwa 'mijisong' yao matata ya malovee,ambapo kila dude linaloachiwa hewani kwao ni 'hit'.wote wanamashabiki lukuki bongo na Africa mashariki...
1 Reactions
404 Replies
148K Views
Jamani nini kinachoendelea clouds FM na wasanii wa fiesta? Wanakuwa promoted kupita kiasi, interview za kutosha , nyimbo zao zinapigwa kila saa, nyimbo zao zipo juu katika chati ya top 10. Ni...
6 Reactions
41 Replies
6K Views
Wengi tunakumbuka mchezo maarufu wa TV wa MARTIN, uliokuwa ukionyweshwa kupitia ITV...wakati huo ndio TV pekee iliyokuwepo, hivyo ni wengi tulikuwa tunaangalia..mmoja ya Waigizaji wa MARTIN kati...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Diamond platnumz ni moja ya wasanii wa Bongo fleva ambao ndoto zao kubwa ni kuhustle kuufikisha muziki wa Bongo katika sehemu ambazo ilikuwa ni ndoto kufika. Tukiwa tunasubiri ujio wa ngoma yake...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Hii Kitu niliijua siku nyingi sana......sikumbuki kama niliwahi kuandika hapa JF.... Sometimes in april movie iliyotoka 2005 wametumia sound track zifuatazo na moja wapo ukiwa wimbo aliotunga...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nyimbo mpya ya msanii 20 percent unaitwa sitoi.....producer man walter!!
1 Reactions
65 Replies
29K Views
Rapper mkongwe nchini, King Crazy GK amesema akipewa fursa ya kutumia bifu ya Diamond na Alikiba, atawafanya wawe mabilionea. Rapper huyo amedai kuwa atahakikisha wawili hao wanaongeza uhasama...
3 Reactions
57 Replies
7K Views
Ukizungungumzia historia ya muziki wa Bongo Flava, haiwezi kukamilika bila kulitaja jina la mkongwe Juma Kassim Nature aliyewahi kutamba ngoma kama ‘Jinsi Kijana’, ‘Hili Game’ na zingine kibao...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mchongo wa kijanja kwa sasa ni EATVAWARDS-2016. Karibia hapo kesho na Eatv Chanel na Eatv Redio na kufuatilia categories zote ambazo zitakuwepo. Kuwa karibu na TV yako sasa!!
9 Reactions
79 Replies
15K Views
Back
Top Bottom