Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Habari wakuu! Ule msemo kuwa mziki umetawaliwa na kila aina ya ghilba, fitna ,figisu na kila aina ya uchafu sasa umetimia. Itakumbukwa mwaka jana msanii wa Bongoflava Alikiba aliandika ujumbe...
9 Reactions
183 Replies
23K Views
Napenda kumpa ushauri mdogo wangu Ally Salehe Kiba aende akaombe kusainishwa WCB kiroho safi ili akuze mziki wake bila ya hivyo natabiri baada ya miaka miwili ijayo hatoweza tena kumkaribia...
14 Reactions
96 Replies
8K Views
Kgmotso Christopher ndio jina lake halisi lakini wengi wapenz wa isidingo wanamfahamu kama Katlego... Huyu dada nampenda tu bas. Embu sema neno lolote kwa huyu dada kwa wapenzi wa Isidingo!!.
7 Reactions
121 Replies
12K Views
mara baada ya team za pande mbili kuendelea kushamiri katika mitandaoni hali hii imewanyima nafasi wasanii wengine wa bongo kufanya vizuri nyimbo 10 ambazo zimeshidwa kufanya vizuri 2016 ni hizi...
10 Reactions
106 Replies
17K Views
Msanii Alawi Junior amesema nyumba aliyodai kununua Baraka yeye ndio alimtafutia mama mkwe wake ambaye alikuwa anatafuta nyumba na alipo post kumpongeza mama mkwe hakujua kwamba Baraka alikwisha...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Diamond Platnumz, Harmonize na DJ D-Ommy, wameibuka washindi kwenye tuzo za Afrimma 2016, zilizofanyika Dallas, nchini Marekani Jumamosi hii. Diamond ameibuka tuzo ya Msanii bora wa kiume Afrika...
15 Reactions
159 Replies
34K Views
MTV EMA 2016 | 6.11.2016 | Rotterdam | Vote - Best Africa Act
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Star wa bongo movie Anti Ezekieli amedai kuwa aliyekuwa mpenzi wa mose iyobo anamuandama sana Anti ezekieli amedai mwanamke huyo amekuwa akituma watu kuja nyumbani kwake na kuchota mchanga kwa...
1 Reactions
17 Replies
6K Views
As of July 2016. 5.Emmanuel Jal(Sudan)--Bilioni 4.3 Tsh 4. Jaguar(Kenya)-- Bilioni 6.5 Tsh 3. Akothee--Bilioni 7.6 Tsh 2. Diamond Platnumz(Tanzania)--Bilioni 8.7 1. ☆☆Jose...
3 Reactions
31 Replies
20K Views
  • Closed
Mimi na bi mdogo ni wapenzi sana wa nguo na vitu vya Ralph Lauren kwa ujumla. Sasa jana katika pitapita yetu kwenye duka lake [Ralph Lauren] wakati tukitafuta nguo za majira ya Fall tukakutana na...
27 Reactions
497 Replies
36K Views
Habari zenu, naomba mwenye kufahamu, ni kitambo sijamsikia huyu mwimbaji, Nawasilisha.
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Natamani Dully aingie kwenye hizi tuzo kwa mwakani ktk kipengere cha Msanii Chipukizi kama alichoshinda Harmonize jana.Tena waingie Dully Sykes na T.I.D Mnyama ktk kipengere hicho huku Harmonize...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Orodha kamili kuanzia 20 hadi 1. 20. Olamide--Bilioni 2.7 Tsh 19. Patoranking--Bilioni 2.7 Tsh 18. Yemi Alade -- Bilioni 3.9 Tsh 17. Duncan Mighty -- Bilioni 4.8 Tsh 16. Chidinma --...
5 Reactions
63 Replies
22K Views
Socialite wa kenya Hudda Monroe amesema anamsubiria kwa hamu Raymond wa WCB akipata hela, hiyo ni baada ya Raymond kupost picha mtandaoni kuuliza mashabiki ni nini kinachomsibu?
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama ushawai isikia hii ngoma unaweza ukakubaliana na mm kuwa hii ngoma ni moja ya collable bora kabisa kuwahi kufanyika apa bongo Hapa solo sang pale prof na katikati mfalme wa rhymes afende...
19 Reactions
68 Replies
10K Views
A musical journey of faith that follows Britain's first female Muslim hip-hop duo on tour. http://aje.io/e4qg
2 Reactions
1 Replies
532 Views
Inavyoonekana kaunti 001, au ukipenda kaunti ya Mombasa inatarajiwa kupata masupastaa mpwito mpwito mwaka huu. Baada ya kumleta Chris Brown Mombasa, Gavana wa Mombasa, Gavana 001, almaarufu...
2 Reactions
87 Replies
14K Views
Mchekeshaji maarufu Stan Bakora amefunguka juu ya povu lililomtoka Barakah The Prince siku kadhaa baada ya kuachia parody ya wimbo ‘Nisamehe’. Kupitia kipindi cha Friday Night Live cha EATV, Stan...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom