Jana tumeshuhudia utolewaji wa tuzo kuwa kabisa barani Afrika za MtV MAMA award, ambapo Kwa Mara ya kwanza wasanii wengi kutoka Tanzania walitajwa kuwania tuzo hizo. Lakini cha ajabu na...
Mkongwe huyo wa mziki ameyasema maneno hayo katika kipindi cha MY PLAYLIST knachotushwa na clouds tv, aidha amesema kuwa Alikiba ni mwanamziki anaejielewa, mwenye sauti nzuri na anejua kuitumia...
Habari za hapa wakuu, kuna hii kitu imesumbua fikra za watu wengi sana. Nikaona Leo niilwte humu tujuzane kwa kina!
Kuna wimbo ameimba dully Sykes na huyu dogo Harmonize, sasa inasemekana sana...
Wakati Jana utoaji wa tuzo za MTVMama ambazo zimetolewa Afrika Kusini na ambazo hakuna Mtanzania hata moja aliebeba tuzo ,usiku huo huo wa Oct 22 kuamkia Oct 23 nchini Marekani kulikua pia...
AY,Diamond,Harmonize na Dj D Ommy washinda tuzo za AEA za Marekani.:
AY,Diamond,Harmonize na Dj D Ommy washinda tuzo za AEA za Marekani. - millardayo.com
Apo chacha!!
Ukimwaga mboga wenzio wanamwaga ugali.
Ukweli
wafahamika baada ya mara kadhaa rapper Young Dee
kukanusha kuwahi kuwa na mahusiano na video vixen
kutoka kwenye kiwanda cha Bongo...
Ali Kiba kafanya interview na mzazi Willy Tuva kuhusu tuzo za MTV leo na ametoa onyo kali sana kwa watu wenye tabia ya kuzima mic wakati anafanya yake jukwaani. Ali Kiba amesema kuna uwezakano...
Hatutaki teams....team kiba sjui team diamond, team zari, team esma, team sandra, team mobeto, team wema,..team jokate,, shiwalandu sjui what what...hatutaki,, hatutaki uswahili,tufanye kazi na...
Usiku wa jana Tuzo za MTV mama Zilitolewa huko South Africa! Wanigeria waliibuka vinara baada ya kuchukua tuzo nyingi kuliko nchi yoyote Afrika! Na zile tuzo kubwa zote zilienda Nigeri kama Best...
Zikiwa zimebaki takribani siku 4 kufanyika kwa tukio kubwa la kihistoria la tuzo za Mtvmama 2016, Huu ufuato ni utabiri wangu juu ya washindi wa tuzo hizo.
1.Best Male Artist - Wizkid (,Nigeria)...
Mashabiki wa Beyonce wanaumia pale Beyonce
atakapoumia.
Beyhive wameanzisha kampeni ya kujikata baada ya
Beyonce kujiumiza bahati mbaya kwenye sikio na
kutoka damu wakati anatumbuiza kwenye...
Anaitwa Jennifer Kyaka, ila wengi wamezoea kumuita ODAMA, jina ambalo liliibuka kwenye movie ya Odama aliyoigiza, ambapo yeye alicheza kama mhusika mkuu. Alizaliwa mnamo mwaka 1983 jijini Mwanza...
Habarini ndugu zangu.
Leo ningependa tu kujua kuwa ni nini haswa umuhimu wa hzi tuzo zinazotolewa?
Je , baada ya kupewa tuzo huwa unapewa na pesa kidogo?
Je, nauli ya kwenda huko marekani...
Msanii wa muziki na mwalimu wa dance, Msami Giovani
anayefanya vizuri na wimbo wake ‘Step by Step’ amesema
Barakah The Prince bado hana nguvu ya kuwa mume wala
kuwa mchumba wa Najma.
Ametoa kauli...
Nimekua nikisikiliza vipindi mbali mbali vya michezo katika radio nchini tanzania
Wachambuzi wengi wa michezo ni wengi sana wazuri lakini hawa wawili kwangu hakuna mfano wake kwa hapa nchini...
Habari wanajf!
Nina hoja fupi ningependa tujadili kidogo.Ni hili suala la wasanii wetu wa kiume;aidha wa muziki au filamu kuvaa hereni.Suala hili limeshika kasi na wale wanaoitwa chipukizi...
Leo ndio ile siku ambayo Tuzo za MT mama zinatolewa na wasanii kibao washafika south Africa
Interview nyingi zinaendelea huko South Afrika lakini ni ukweli usio Pingika kwa kinacho Endelea Huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.