Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kuna interview last week iliyoendeshwa na BBC UK kwa ajiri ya Kufanya promotion ya mziki wa kizazi kipya .... Kwenye interview kulikuwa na wasanii kama 1: professor jay 2: Sugu 3: Vanessa 4...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
H baba amemponda Diamond kwa kupost nyumba kisa eti Ali Kiba katuma, amesema kama yeye ni mkweli ana nyumba aposti hati ya nyumba, sio mwenzake akipost nyumba naye anapost
2 Reactions
69 Replies
13K Views
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifatilia shows mbalimbali za redio zinazoendeshwa mchana,lakini mpaka sasa xxl ya cloudsfm imebaki kuwa show bora zaidi za zote angalia mpangilio wa kipindi b dozen...
1 Reactions
3 Replies
960 Views
NOWADAYS THINGS HAVE CHANGE AND AM GOING CRAZY YOU SEE THE PRECHERS WHO CHANGED TO BECOME GAYSSSS ..... HAHAH
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu salamu. Inasemekana PJ wamerudi tena Clouds fm. Waliondoka kwa mbwembwe sana kwenda Efm japo kwa maoni yangu hawakufanikiwa kufanya kile nilichotarajia! Lakini leo asubihi katika nyapia...
6 Reactions
201 Replies
53K Views
Wakati msanii Rich Mavoko akifikisha umri wa miaka 21 na hivyo kumfanya kuwa moja ya madogo wachache wanaocontrol industry,uongozi wa WCB umeamua kufanya kitu tofauti kabisa kwa kuporomosha bonge...
6 Reactions
64 Replies
9K Views
Kweli wanawake wengine hawana aibu mwanamke ana 42 years na ndoa ya watoto 4 ila kavunja ndoa kwa ajili ya rapper tu wa miaka 32... na sio kuwa anaenda kuolewa...just burudani tu... Scottie...
4 Reactions
80 Replies
9K Views
Tangu kutangazwa kwa majina ya wasanii watakaowania tuzo hizo mwaka huu, Wizkid hakuwahi kusema chochote. Alikuwa kimya tu utadhani hakuna kinachoendelea licha ya kuwepo kwenye vipengele vingi...
6 Reactions
42 Replies
5K Views
Jamani mi ni shabiki mkubwa na mzuri wa mziki wa bongo fleva, ila ili jambo linanipa wakati mgumu kuamini, huyu mkali wa bongo fleva diamond ana nyimbo kali sana ila kumekuwa na tofauti kubwa sana...
6 Reactions
68 Replies
13K Views
Na mtu huyu mpenz wake ni mbunifu wa mavaz lakin kaamua tu kuwatia nuksi wenzie kwa kuuchukua alipouchukua msuti wake kwa lengo la kuwaaribia wenzie
9 Reactions
63 Replies
13K Views
Mara mwisho kuonekana ilikuwa tar.3-June=2015.Wadau wana ushauri cc Jamal Malinzi
0 Reactions
51 Replies
6K Views
If you don't know english you better use your mother tongue language to speak in public Ali. Shame on you man umejaa misifa tu ona sasa unavyojiaibisha mpaka wenzako wanakucheka. Sawa english...
6 Reactions
231 Replies
26K Views
DJ Khaled na mchumba wake, Nicole Tuck wamebahatika kupata mtoto wa kiume Jumapili (Oct. 23) na tukio zima limeonekana kwenye mtandao wa Snapchat. Khaled ametimiza ahadi yake aliyoitoa June mwaka...
2 Reactions
51 Replies
7K Views
Leo ndo siku ya utoaji wa tuzo za MTV Mama mwaka 2016 , tuzo hizo zitatolewa nchini Afrika Kusini Wasanii mbalimbali kutoka Africa wakiwania tuzo hizo. Tanzania tuna wasanii wetu wakituwakilisha...
14 Reactions
1K Replies
139K Views
Kwanza nianze kuwapongeza Wasanii wa TANZANİA ambao walifanikiwa kuingia katika kuwania tuzo za #MTVmama2016 kwa kuwa wamezidi kuizilishia Afrika kwamba sasa muziki wetu wa Tanzania Umepiga hatua...
2 Reactions
42 Replies
7K Views
Siku kama ya leo alizaliwa Mtoto Mwanamume aitwae Godbless J Lema kwa sasa ni Mbunge makini wa Jimbo la Arusha mjini Kama unamkubali nisaidie kumtakia heri katika kumbu kumbu yake hii muhimu ya...
3 Reactions
41 Replies
12K Views
Kiukweli nimeusikia sikia huu wimbo wa diamond , ila naona kama umeshavuja vuja na akichelewa kuutoa basi utaisha test, utakuwa kama ule alioshirikishwa na mafikizolo, wimbo mzuri lakini...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Msanii Diamond atafanya kolabo na msanii Mohombi, hii ni baada ya kukutana kwenye tuzo za MTV zilizofanyika juzi
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Madawa ya kulevya si janga linaloviumizwa vichwa vya wadau wa muziki wa Bongo Flava, bali Uganda pia mambo si mambo. Muimbaji wa zamani wa kundi la Blue 3, Jackie Chandiru yupo kwenye hali mbaya...
3 Reactions
88 Replies
22K Views
Habari wakuu! Leo nimeamua kuleta hoja hii mezani ili tujadili maana swali hili nimelifanyia utafiti kwa muda mrefu, Je ni kwanini kila msanii anayethubutu tu kufanya collabo na Diamond AKA...
13 Reactions
103 Replies
14K Views
Back
Top Bottom