Mara kwa mara huwa nasikiliza nyimbo zake huyu dada daaah!
Anajua sana....
Nikiisikiliza hii cover yake ya forever aliyoimba na rubi ndio "chafuu kabisaaa"
Wasanii nguli wa hip hop africa kusini waliokuwa na beef zito hatimae wamemaliza tofauti zako na kupatana
Kupatana huko kilithibitishwa jana wakati Cassper nyovest alipofanya show ya kihistoria...
Timu kiba wanaonekana kuwa na ghazabu sana na level ya domo hii imejizihirisha jana baada ya mashabiki wanaoaminika kabisa ni mashabiki wa king kiba wakichoma izo T-shirt daah hizi timu zinaelekea...
Huyu jamaa hajui kama clouds ni pro sirikali anachora katuni za kichochezi??/?
redio ilishawahi kupigwa faini kwa ku promoti u shoga kwenye kipindi cha kina hando then zamaradi naye aka promoti...
Wanajamvi naomba kujua taarifa za msanii Vengu kwani ni kitambo kimepita bila kupata taarifa zake,na je bado anaumwa?vipi ametoka katika kundi a orijino komedi?kwenyeharusi ya masanja...
jamaa anajua kufreestyle sioni wa kumfananisha nae kwa sasa labda nimfananishe na marehem ngwea na nathububu kusema huyu ndo mrithi wa ngwea kwenye freestyles, fid q na wenzake hawaingizi maguu...
Good things have been coming Pauline Shamola’s way after a by passer took photos of her compassionately attending to a disabled customer
The Safaricom employee became an internet sensation the...
Kifo cha mwanamasumbwi mwenzangu (Thomas Mashali) kimenisikitisha sana.
Inawezekana vipi kwa mtu mashuhuri kama yule kuuawa kikatili vile, tena kwa kupigwa kama nyoka, kwenye nchi yake, mkoa...
Kumekuwepo na habari nyingi kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii kwamba miss tz 2016 ana miaka kumi na nane na anashahada ya sheria. Anaejua ukweli atusaidie
Je haya yanayosemwa ni ya kweli...
Alikiba: Sipendi kiki na sitofanya kamwe
Hitmaker wa ‘Aje’ Alikiba amesema Kiki ni kitu ambacho hakipo kwenye menu yake.
Alikuwa akiongea kwenye kipindi cha Clouds 30 kupitia Clouds TV.
Kwanza...
Wafuatao ni wanamuziki wanaolazimisha fani hali ya kuwa uwezo wao mdogo/umepungua kwa kiasi kikubwa
1: Juma Kasimu kiroboto a.k.a Nature
Huyu jamaa nyimbo zake anazozitoa siku hizi zinaboa sana...
Katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na hii Video ya Miss Tanzania. Kipindi ambapo anatafutwa miss kinondoni. Ni kweli alisema ana miaka 18 lakin hakusema kuwa ana degree. Zaid alichosema...
Abubakari Mzuri ameelezea kuwa hakufumaniwa bali alikuwa akiishi na mwanamke aliyekuwa ameechana na bwana wake kwa mwaka mzima
Na mtu akaona wivu na kwenda kumfanyia vurugu, mwanamke huyo pia...
Mariah Carey anaweza kubaki na pete ya dola
milioni 10 aliyovishwa na mchumba wake James
Packer waliyeachana. Lakini hiyo haitoshi,
muimbaji anataka zaidi.
Wawili hao waliachana baada ya kuzuka...
Leo mida ya sa11 na nusu jioni nilikua nasikiliza kipindi cha redio kwenye Metro FM ya jijini Mwanza ambapo msanii aliyetamba sana na kundi la wakali kwanza QJ alikuwa akihojiwa na akasema kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.