Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fisso akiongea na eNewz ya EATV amesema hana taarifa na wala hajui kama kuna wizi wa kazi za wasanii katika nchi hii.
Kumekuwa na kilio...
Rafiki wa karibu wa marehemu Thomas Mashali
aliyejitambulisha kwa jina la Ally amesimulia mkasa
mzima wa kifo cha rafiki yake huyo. Ally alisimulia mkasa wa rafiki yake huyo akiwa msibani maeneo...
Ubuyu ulionyooka mjini kwa sasa unamgusa staa wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford ‘Chausiku’ anayedaiwa kujitwalia mwanaume aitwaye Chid Mapenzi huku nyuma yake kukiwa na mazito kwamba, mwanaume...
WASANII NA MAPENZI YA MAIGIZO
Kuna mtu alishswahi kusema " siwezi kuwa na mpenzi mwigizaji kwani nahisi atakua ananiigizia"
Jumapili iliyopita huo msemo nilipata nafasi ya kuushihudia kwa macho...
Kwa hapa mi naonaa efm sio wabunifu wameshindwaje nao kuandaa tamasha lao siku ya leo??
Yaan kama wao wangekuwa ni washindani wa biasharaa nao wangeaandaa tamasha lao wamwalike #mondi wachukue na...
mkanganyiko huu bado unafatiliwa kwa umakini nitawajuza kinachoendelea
==================
ni kweli tukio hilo limetokea arusha,makumira.
Huyu binti aliyefariki amefananishwa tu na huyo...
Zari ameonesha hana kinyongo hata kidogo kwa wifi yake queen darleen ingawa pale mwanzoni queen darleen alimlia bati Zari kwa kugoma kumtakia heri ya kuzaliwa wifi yake huyo na kuongea mbovu...
Kama ww mkoani hii haikuhusu kabisa tena kaa mbali sana.
Jamani muliosoma zile shule za serikali zilizokua noma wakati huo hapa Dar kuanzia Forodhani,Azania,Jangwani,Kibasila na...
Kama ulidhani Alikiba atapotea kwenye ramani ya muziki baada ya kusaini mkataba na kampuni ya Sony Music kama ilivyowahi kuwatokea baadhi ya wasanii wa Afrika – imekula kwako, mwenyewe amefunguka...
Mkali wa wimbo ‘Salome’ na mkurugenzi wa WCB, Diamond Platnumz amewataka mashabiki wa muziki kukaa mkao wa kula kwa ajili ya ujio mpya wa Rich Mavoko.
Diamond amesema Rich Mavoko ana nyimbo...
Kama mtanzania natumia nafasi hii kukupongeza Diamond Platinumz kwa kufikisha Followers millioni tatu katika mtandao wa Instagram. Hakika wewe si mtu wa sport sport.
Rapa mkali kutoka Weusi Joh Makini amewachana wanaoanzisha label hapa nchini kuwa wengi wao hawajui vigezo vya kumiliki label na badala yake wanazitumia label kama kiki katika muziki wao.
Maneno...
Ile show kabambe ambayo huwakutanisha wasanii kibao pale stejini (FIESTA) inafanyika muda si mrefu hapa Tz lakini katika hali ya kuudhi na kuhuzunisha ni kwamba msanii Diamond hatokwepo kabisa...
Leo mida fulani hivi ya saa nane mchana nilikuwa nasikiliza Clouds fm kwenye kipindi cha XXL kuna segment inaitwa 255 ndipo nikamsikia Barnaba anasema eti anamuomba rais Magufuli aende kwenye...
kashfa kubwa unamwandama bia masogange ya kuwachanganya mastaa wa kinaijeria
Davido And Tekno Have Allegedly Been Sleeping With The Same Girl [PICS] - Celebrities - Nigeria
Davido And Tekno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.