Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Warembo wapo katika dance ya ufunguzi , kuna wengine wanapatia steps wengine wanaenda tofauti ila wamependeza sana. Warembo wameshamaliza kupita na mavazi ya ubunifu, vazi la kitenge limetawala...
4 Reactions
901 Replies
117K Views
Kama umebahatika kuisikiliza hii ngoma....ni moja ya ngoma hatari sana za hip hop sema utimu ndo unafanya ngoma kama hizi zissikike maana jamaa kaflow vizuri sana
6 Reactions
86 Replies
10K Views
Kiukweli kabisa mimi nimekuja mjini mwaka jana tu, yaani sikuzote nilikuwa nakaa kwetu Tandahimba ndanindani, Redio niliyokuwa nasikiliza ni RTD sasahivi inaitwa TBC Taifa. Na hata kiswahili...
1 Reactions
48 Replies
12K Views
Mshindi wa maisha plus ni mdada kutoka Kenya. Jamani naombeni kujua wanatumiaga vigezo gan kumpata mshindi maana naonaga wanakaaga porini tu mimi. KWELI MAISHA HAYANA FOMULA MKENYA KAONDOKA NA M 30
6 Reactions
162 Replies
14K Views
Washabiki wenye mapenzi ya dhati na Wema Sepetu wamekwazwa na tabia za Wema na maisha yake yasiyokuwa na muelekeo hivyo kuamua kuzindua kampeni ya bring back our Wema Sepetu. Kampeni hii...
5 Reactions
67 Replies
12K Views
Baada ya idris sultan kuonekana kufulia mjini msanii ney wa mitego ameibuka na kumuuliza idris sultani kuhusu milioni 500 alizoshinda kwenye big brother Ney wa mitego" baada ya kushinda big...
8 Reactions
174 Replies
37K Views
Thomas Alva Edison (11 Februari 1847 - 18 Oktoba 1931) alikuwa mvumbuzi mashuhuri na mfanyabiashara nchini Marekani. Aliboresha vifaa kama balbu ya umeme, mikrofoni na kugundua gramafoni. Utafiti...
7 Reactions
1 Replies
10K Views
MICHAEL O'KEEFFE NEW YORK DAILY NEWS Updated: Saturday, April 16, 2016, 5:06 PM Afrika Bambaataa was not just a hip-hop star when Hassan Campbell began hanging out at his Bronx apartment during...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Msanii Jux amejibu kuwa hajui kama atakuwa na mtoto na Vanessa wala hajui kama atamuoa, ila amesema Vanessa amemsaidia kwenye maisha yake kwa kuwa kuna vitu anavijua na yeye havijui
2 Reactions
33 Replies
9K Views
Mwigizaji wa bongo muvi kwa upande wa komedi Tausi Mdegela amesema, mara nyingi akiwa sehem za matembezi, watoto wengi wanamkimbilia na wengine kutafuta vitenesi ili wacheze wakidhani supastaa...
2 Reactions
22 Replies
13K Views
Wadau wapi ntapata hzi nyimbo znazopatikana kwny album ya unanitega ya fa .maana nimechek waptrick nimekosa verse moja feat dudu mtoto wa mama ft unique sisterz siendi club ft jmo siku...
2 Reactions
18 Replies
7K Views
Even though Rihanna, 28, is officially an eligible bachelorette, she still has ZERO interest in pursuing failed relationships. The Anti songstress reportedly broke things off with Drake, 29, on...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
✍️
1 Reactions
45 Replies
11K Views
Kisura toka jiji la miamba a.k.a official Mwanza city. Mtoto yuko bomba, figure matata mpaka akili ikacheza. Kimombo aliongea fresh mashaallah. Sijui kwanini hakushinda ila elimu yake iko bomba...
5 Reactions
35 Replies
8K Views
Anaandika Edson Mshumbusi. MISS TANZANIA 2016 JINA: Diana Edward Lukumai UMRI: Miaka 18 ELIMU: Shahada(degree) Hii ina maana; Alianza Chuo akiwa na miaka 15 Alianza Form one akiwa na miaka 9...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Nimeisikiliza nyimbo mpya ya abby aliyemshilikisha alikiba na mr blue kiukweli jamaa kwa sasa hana sauti tofauti na ukisikiliza nyimbo zake za nyuma kama saa nane za usiku nyimbo imepoa sana kama...
1 Reactions
40 Replies
7K Views
Nauliza hivi, Kwani haiwezekani kumpandisha Alikiba kimziki bila kumshusha Diamond? Mbona wanigeria wapo wengi na wafanya vizuri Africa? Nafikiri soko la music is big enough to accomodate all...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Clouds wamesafiri mpaka marekani kumtafuta jay z Uganda Chameleoni , Tecno na Yemi Alade, Wakakosa nauli ya kwenda Tandale kumwalika Diamond Na mi sitaingia sasa fiesta yao tuone hizo bilioni...
7 Reactions
63 Replies
10K Views
#watu wa Aina yako wanazaliwa kwa nadra sana. Umekuwa Rais wa mioyo ya wanyonge.umeirudushia Tanzania heshima na utukufu wake! Umekuwa msemaji wa wale wasiokua na sauti, na sasa dunia nzima...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama ulikubali akina wizkid walistahili kushinda MAMA kwa kuwa walikuwa bora, basi inabidi tukubali nyimbo zao zilizowapa ushindi zinastahili kutumika zaid katika TV, miss TZ, Club zetu,na redion...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom