Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Naimani wale wa kale watakuwa wanamjua huyu promota na meneja maarufu miaka ile ya 2000 mwanzoni aliyemleta Saida karoli akabambaa Afrika nzimaa chini ya studio yake ya fm studio Producer Akiwa...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Hakuna asiyemjua mwanamama Saida Karoli kutoka na vibao vyake motomoto kama vile Chambua kama Karanga, Kalibatano, Kitobelo, Engozi...nk pia aliwahi kushiriki mashindano ya Kora kupitia kipengele...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Baada ya ule mtanange wa hapo awali kati ya rayvan na harmonize na rayvan kumkimbiza vibaya sana mmakonde harmonize , leo nimewaletea mtanange mpya kati RAYVAN na RICHARD MAVOKO Yupi unamuona...
0 Reactions
29 Replies
14K Views
Kwa mtazamo wangu nadhani hawa ndiyo wasanii wa bongo fleva ambao wameshirikishwa kwenye nyimbo bila kuharibu na wakati mwingine kuzipaisha ngoma zenyewe. 1.Alikiba. 2.G.Nako 3.Barnaba boy...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
Huyu mtoto nina zake!!!kanifanya nimewehuka mpaka namfungulia thread,aisee hivi ni masikio yangu au nna tatizo?dogo anajua jamani,kwenye salome kanifanya toka jana namaliza mb zangu,huyu mtoto...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
After a bidding war between Universal Music and Sony Music , the only Two Major Distribution companies in the world, Wizkid has decided to go with the latter and just inked a global record deal...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Akiongea na Millard Ayo baba huyo wa mabinti watatu alitoa sababu kwanini hataki wajihusishe na mziki. "Unajua binti kupitia kwenye mziki hadi aje kufanikiwa lazima apitie mengi. Mimi naongea hivi...
9 Reactions
72 Replies
11K Views
Hii video mpya ya diamond pamoja na Raymond imenikosha, ila najiuliza tu kwa nn kaka yetu hakumtumia Lulu na badala yake akamtumia tunda? Au aliogopa kukutanisha mafahali wawili katika zizi...
3 Reactions
24 Replies
7K Views
Naona picha zake znyingi anapiga akiwa anakula au yupo kwenye mijumba ya kifahari Hizi nyumba ni zake au kwao kwel? Au ndio kick?! Au ndio anauza papuchi
1 Reactions
43 Replies
6K Views
Japokua ki muonekano hayuko vyema sana sema ana vionjo flani ktk utangazaji wake na vicheko mororo sauti clear ila kizungu kingi..kwa wasio mjua huyu dada ni mtangazaji wa clouds tv ana host...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Naomba niwashaur wana jf wenzangu kua tumpatieni huyu jamaa digrii ya heshima kutoka hapa jf. Nadhani kila mtu anautambua mchango wake ktk tasnia ya mziki wa kizaz kipya hapa bongo,aisee jamaa ni...
8 Reactions
109 Replies
11K Views
Fahamu aliko na akifanyacho Rah P Did you know that she was jailed?
7 Reactions
84 Replies
20K Views
Utafiti uliofanyika siku za ivi kalibuni umeonesha kuwa mashabiki wa Ali Kiba wana jikomba nakumpenda mtu asie wapenda na anae wadharau..... Unazungumziaje utafiti huo
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Wakazi amedai wakati yuko masomoni nchini Marekani alishawahi kufanya kazi kwenye Hoteli ya mgombea Urais wa sasa wa nchi hiyo kupitia chama cha Republican, Donald...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Mwaka 2006 ndio ilitoka album ya tatu ya Prof Jay ambayo inafahamika kwa jina la J.O.S.E.P.H. Lakini J.O.S.E.P.H ni wimbo ambao uliweza kulichaguliwa kuwa wimbo bora wa Bongo Fleva/Hiphop BBC na...
6 Reactions
11 Replies
3K Views
Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa, hatimaye Chidi benzi licha ya kuripoti hapo awali ya kuwa ameachana na madawa ya kulevya na kurudi na ngoma iitwayo chuma na kufanikiwa kupenya na hiyo...
2 Reactions
67 Replies
9K Views
Soudy Brown azidi kumnanga Wema Sepetu juu ya tabia yake ya kutafuta kiki ili jina lake lisikatike midomoni mwa watu kwa kusingizia ana ujauzito
0 Reactions
12 Replies
3K Views
nyimbo inahusu kulielezea jwtz na baadhi ya mission ilizoshiriki nje ya nchi ,ndani ya video utapata kumuona jay mo akiwa juu ya tank,pia wanaonekana wakiwa kwenye meli ya kijeshi na pia...
1 Reactions
21 Replies
8K Views
Hitmaker wa ngoma ya Jikeshupa Nuh Mziwanda amebonga na kipaza cha Perfect255 kuhusiana na mipango yake ya baadae kuja kubadilisha aina ya uimbaji na kuwa anaimba muziki wa dini. Nuh ameiambia...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Baada ya msanii ruby kukorofishana na clouds media ,sasa naona Efm ya jijini dar imeamua kumkwapua na kuzunguka nae sehemu mbalimbali kwa slogan yao ya "tunasepa na kijiji" ambapo kesho watakua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom