Sijui nini huwa kinatokea kwa wasanii wetu baada ya kuwa maarufu? Nakumbuka Feruzi aliwahi kumiliki gari aina ya "Jeep" na kuwa msanii wa kwanza mwenye gari ya gharama akifuatiwa na Lady JayDee...
Ni kweli inauma mno kutelekezwa na mzazi. Mimi ambaye baba na mama yangu walinilea kwa umoja wao pamoja na umaskini wetu, huwa nawaza ingekuwaje baba au mama asingekuwa karibu yangu? Malezi ya...
kumekuwa na thread nyingi humu kuhusu show ya fiesta ambazo me nazani watu wanabwabwaja tu maneno sina hakika kama kuna ukweli nahitaji mtu anaejua vizuri mikataba wanayolipwa wasanii aje apa...
Model wa Tanzania anayefanyia kazi zake nchini Afrika Kusini, Daxx Cruz, ameingiza sokoni soksi zake za viatu. Soksi hizo zenye rangi mbalimbali zinaitwa hivyo kwa jina lake ‘Daxx Cruz.’ Tayari...
Baada ya Magufuli kuingia madarakani vijana wengi kwa sasa wanalalamika mtaani kugumu, msanii Diamond aja na ubunifu mpya wa kutengeneza pesa.
Mpaka sasa ni hakuna show yeyote aliyofanya Diamond...
Kuna wimbo wa bongo fleva wa earlier 2000s sikumbuki kauimba nani ila chorus iko hivi.
Penzi litabaki pale pale (pale) X2
Nakupenda nakuhitaji uwe wangu eeh
Nilidhani aliimba adili lakini nadhani...
Staa wa filamu nchini, mwenye hadhi ya aina yake, Yvonne cherry maarufu kama monalisa, kupitia mtandao wake wa kijamii(insta) amepost picha inayomuonyesha akiwa na kitumbo (mimba) ambayo...
Wasanii na viongozi wa WCB waalikwa nyumbani kwa rais mtaafu Jakaya Kikwete
Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete Jumatano hii aliwaalika wasanii wa label ya WCB pamoja na viongozi...
Katika kuzindua mueleko wa chama cha ODM kinachoongozwa na raila Odinga nchini kenya kuelekea uchaguzi mkuu nchi kenya mwaka 2017, chama hicho kimeandaa sherehe kubwa ya siku 2 yaani ijumaa hii na...
Kwa wale wafutaliaj wa mambo watakuwa wameolidavua hili sasa kuna kundi A ambalo lenyewe linajiona kila kitu halitak ukaribu kabisa na kundi B hili linaundwa na Diamond na WCB,shettah, ney wa...
Mi napenda huu mchezo wa basket hua unaniua kabisa
Hebu cheki hapo alivyoushika huo mpira sijui anataka kurusha 3 point au!!!jionee mwenyewe masogange naona kaachia huu mzigo sijui nani...
Namuona hapa huyu mtu mliyemsema anaitwa Kicheko anahojiwa Clouds Tv kumbe ndo huyu, nakumbuka niliwahi muona EATV kwenye comedy, ila mbona ameingia Clouds kwa mbwembwe sana hajui kwamba kuna siku...
MALALAMIKO MAZITO KUTOKA KWA CHID BENZ, KWA WANAOSEMA AMERUDIA UNGA MALALAMIKO MAZITO KUTOKA KWA CHID BENZ, KWA WANAOSEMA AMERUDIA UNGA | RAHA ZA WALIMWENGU
Season ya Antlantis
Bongo Movie
Nowadays, Seasons ni habari ya mjini kwasasa,Why Bongo Movie kimyaa?
Wakati tuna waigizaji wa kweli Hapa Tanzania?
Ikiwemo Ray,Richie Rich,Lulu,Wema sepenya...
Mwanamama maarufu mwenye haiba ya kipekee mjini, mange kimambi, hivi karibuni aliwaacha mashabiki wake midomo wazi baada ya ku post video akicheza wimbo wa mwanamuziki mkongwe nchini, dully Sykes...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.