Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kanye West kicked off his Yeezus tour at Seattle's Key Arena on Saturday night by bringing Jesus out on stage. According to MTV News, "Jesus" walked on stage before Yeezus performed College...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama ambavyo wewe umeshtuka, nami nilistuka hivyo hivyo kusikia habari za chini chini kumhusu huyu jamaa wa Bongo Movie aliyetamba sana miaka mitatu kurudi nyuma.. Nimekuja kuuliza tu kwa kuwa...
3 Reactions
62 Replies
22K Views
Ali Kiba na Diamond wote walifanya show Mombasa Kenya, aliyemfunika mwenzake sijui alikuwa nani, wadau watuambie Ya Ali Kiba ilikuwa hivi Ya Diamond ilikuwa hivi
1 Reactions
33 Replies
18K Views
wenzangu karibuni jukwaani aka bungeni tujadili kwanza suala la aka katoto kadogo jinsi kanavyokuja kwa kasi mujini, nani anayempa jeuri ya matanuzi ya kutisha mjini? Maana bata anazokula huyu...
9 Reactions
106 Replies
25K Views
hivi kuna staa mwingine Afrika mashariki ni mrembo na mzuri kumzidi huddah maana huyu binti huwa nachungulia picha zake kwenye page yake naona kila siku anazidi kuwa mrembo na mzuri,ki ukweli...
12 Reactions
121 Replies
34K Views
Msanii wa filamu Elizabeth Michael leo 7 Feb alifikishwa mahakama kuu kanda ya Dar es salaam kwa kesi ya mauaji ya bila kukusudia,kwamba April 7 2012 maeneo ya Sinza Vatican mshtakiwa alimuua...
0 Reactions
11 Replies
11K Views
Touching words! This letter goes out to.. to the seeds that I might not get to see cause of this lifestyle And I'm sorry for not bein there Just know your daddy was a soldier, me against the world...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Baba wa muimbaji wa ‘Burger Movie Selfie’, Belle 9 amefunguka kuwa hapo mwanzo hakutaka mwanae afanye muziki na badala yake alipenda aingie kwenye kilimo. Amesema mwanae alipomaliza tu darasa la...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Kwa wale wapenda mziki mzuri Sauti sol wameachia video ya wimbo wao unaoitwa kuliko Jana,ngoma iko poa sana na video yake iko poa unaweza kuitazama hapo chini nimeiweka!
4 Reactions
42 Replies
10K Views
Kila siku lazima tusikie wasanii wakitajwa kwa kubadili wenza, kutumia madawa ya kulevya, uvutaji wa bangi, na mauza uza mengine mengi tu kama vile kutuhumiana kutumia ushirikina ili kung'arisha...
1 Reactions
1 Replies
879 Views
Baada ya kuruka ruka kwa miaka mingi bila mafanikio,hatimaye mkali wa mapenzi nchini amempata mtu wa kuzeekea naye,mama huyo ameamua kutua kwa nguli la michezo nchini kutoka redio ya mawingu,awali...
12 Reactions
104 Replies
23K Views
WANAMUZIKI WA HIPHOP (10) MATAJIRI ZAIDI DUNIANI. 1.DIDDY Mbali na mziki Diddy ametengeneza fedha nyingi kwa miradi mbalimbali nje ya mziki kama mkataba wa kutengeneza vinywaji vya Diageo's...
1 Reactions
14 Replies
9K Views
Naomba kujunzwa tafadhali, msanii ambaye alikua wa kwanza kuimba mziki wa Bongo fleva.
0 Reactions
37 Replies
32K Views
Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa anajitambulisha kama Rais wa Rader Enteternment rapper KR Muller alimuambia msanii mwenzake mkongwe Juma Nature amuache kwanza afanye mambo yake Kisa...
4 Reactions
112 Replies
34K Views
40,000$$ ambayo ni sawa na Tsh. 87,000,000/=.
7 Reactions
156 Replies
17K Views
Unakumbuka fiesta mwanza wasanii wote watakao tumbuiza walitangazwa ila kuna msanii mmoja alitumbuiza kama bonus au surprise Hali hiyo ilijitokeza tena jana mjini mombasa ,mwanzo chama cha odm...
1 Reactions
350 Replies
27K Views
Leo nimehudhuria Fiesta ya Muleba nimeshangaa sana, yule mzee wa amsha popo a.k.a mfalme wa singeli anaperform raia wamekula bati hadi nikamuhurumia. Nikajua labda ikifika zamu ya hit yake...
2 Reactions
110 Replies
12K Views
Nimejaribu kuwaangalia hawa mastaa kwa dhana ya kioo cha jamii,naona wanatofauti kubwa sana..Wakati wengine wakiwa bize na picha za utupu,starehe na mitoko ya shopping..Wengine wako bize na...
1 Reactions
17 Replies
10K Views
Habarini wakuu, Nahitaji kuwajua celebrities wa kike toka Mbeya.
0 Reactions
80 Replies
11K Views
wako wapi hawa? buibui tox star sagna c sir madini cheleman z anto aby skills dr. kumpeneka J.I kigwema d knob hussein machozi sam wa ukweli hafsa kazinja hawa joslin spark pingu p n c berry...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom