Binti Brave Cassidy Hooper (17) anatarajiwa atolewe mfupa wa ubavu wake ili utumike kutengenezea paji la aq uso wake , mfupa huo pia utatumika kama kiunganishi cha pua yake mpya atakayo wekewa...
Mkali wa 'Singeli' Manfongo amesema muziki anaofanya umemkomboa kwani alikuwa 'mkabaji' siku za nyuma.
Naona kaamua kuchagua fungu jema kabla ya zile siku 40 za kuvishwa tairi na kupigwa na...
Mkurugenzi wa Mkubwa na Wanae Foundation pamoja na Yamoto Band, Mkubwa Fella amesema tayari ameshampata mtu sahihi ambaye atamwachia mikoba yake ya kusimamia wasanii pale atakapostaafu.
“Kusema...
Wakuu,
Kuna muda unafika maishani inabidi you make right decisions yani namkumbuka Mr Blue zile enzi namuelewa sana. Amepita na mademu wazuri wote Wema, Naj na hata nina uhakika Zari angekuwa...
picha yake imezua gumzo kaonekana mama k je mimba ya mbunge sadifa au walivyoachana alipata kiburudisho kingine ila dada kama kweli si una watoto wa3 sijui wa 4 kwa nini usingepumzika tu kuzaa...
Mkurugenzi wa Mawingu ameshaslimu, hii ni katika maandalizi ya ndoa kati yake na baby mother ambae ni mtangazaji wa kituo hicho. Chanzo cha habari hii ni waliohudhuria harusi ya Shamsa Ford jana.
Nakumbuka EATV waliwahi kumhoji Nature juu ya KR kuhamia UNYAMANI ...Nature alimsihi KR aangalie namna ya kukwepa kuingia kwenye mkumbo.
Japo Nature alikua yuko tungi lakini alitoa tahadhari ya...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,ushahidi huu upo lwenye page ya mbea maarufu soudy brown huko instagram ambapo zaidi ya nusu ya wafuatiliake wake ni vidume mjini!Jamaa anakaribia kufikisha...
Msanii wa muziki miondoko ya taarabu nchini Isha Mashauzi ameamua kuanza kuimba muziki wa dansi pamoja na Bongo Flava ili kukonga nyoyo za mashabiki wake kutoka kila upande.
Akizungumza na eNews...
Kijana anazidi kusonga mbelee kijana anazidi kuchanja mbuga katika kuhakikisha mziki wa Tanzania unakaa vizuri Marekani!!
Leo katika Ukurasa wake amepost picha akiwa na Msanii wa Marekani anaitwa...
TID Afunguka 'Nilikuwa Natoka na Wema Sepetu Alafu Akaniambia Hanitaki..Sasa Hivi Akitaka Kurudi Hakuna Nafasi Tena'
Akiwa Katika Kipindi cha Clouds 360 leo Mwanamuziki TID Amefunguka Kuhusu...
Mkubwa Fela amewaita waandishi wa habari kuwaonyesha nyumba alizowajengea Yamoto Band huku akisema kuwa project yake ya Mkubwa na Wanawe imekuwa na mafanikio makubwa, amemshukuru pia Rais mstaafu...