Akina dada wa mjini hasa wa Bongo movie wameanza kujipendekeza kwa Mbwana Samatha hasa baada ya kuwa amechukua Tuzo ya mchezaji bora wa Afrika upande wa wachezaji wa ligi ya Ndani.
Akina dada hao...
Alex Ssempijja mwenye miaka 14 kutoka Katwe amefariki siku ya Jana Jumatatu usiku baada ya ajali ya Baiskeli Mjini Kampala, Mwanamuziki Eddy Kenzo amethibitisha.
Kwa wale wasiomfahamu marehemu ni...
Hili lipo wazi!!!!!! Nani asiyemjua Nasibu Abdul ( Diamond platinumz). Ni msanii mwenye mafanikio makubwa kwa Tanzania na Africa kwa ujumla, ni msanii ambaye amejizolea sifa nyingi kupitia kazi...
Rapa mkongwe kutoka kundi la East Coast, King Crazy GK ameamua kuingia Studio kwa Alonem ambapo amebadili maudhui ya uimbaji wake kutoka kurap na kufanya muziki wa kuimba huku video akiifanya na...
Chris Brown is led away after being arrested on suspicion of assault with a deadly weapon following 11-hour standoff at his £3m LA mansion where he 'pointed a gun at beauty queen's head'...
Mhe Edward Lowassa, jina lake ni maarufu sana kuliko majina mengine Facebook. Watu wengi wanalitumia jina lake Facebook yaani account za facebook.
Pia kuna Facebook pages nyingi sana zinatumia...
Msanii namba mbili nchini bwana mdogo Diamond Platinumz amemfunika vibaya French Montana katika kolabo yao waliorekodi mwezi uliopita nchini Marekani.iliyopewa jina la NYC to DSM. Tuliopata nafasi...
Kuna huyu bwana mdogo anaitwa Steve Mangere, siku za nyuma tulizoea kumwona katika majukwaa akimwigiza sauti hayati Baba wa Taifa, kutokana na hilo akaanza kujiita Steve 'Nyerere', hivi siku hizi...
Waliokamatwa na 'unga' wa mabilioni ni mabinti
- Wote ni Watanzania, walianzia safari Dar, washikiliwa Afrika Kusini
NA THOBIAS MWANAKATWE | 9th July 2013
Wanawake wawili raia wa Tanzania...
Baada ya siku za hivi karibuni kudaiwa kutokuwa na maelewano mazuri Kati ya Zari na diamond, Leo zari kapost picha ya x hubby wake akiwa na mdogo wake na kuandika"Hainaga ushemeji tunakulaga" Mimi...
Bila shaka mnaotizama ITV mtakubaliana na mimi kwamba Sam Mahela ndio mtangazaji bora ITV kwa sasa baada ya kuondoka Godwin Gondwe na Isack Gamba pamoja na Emmanuel Buholela, ameweza kukiendesha...
Ebana eeh kuna mtu aliyeangalia VMAs jana?
Ile performance ya Bey ilikuwa khatari sana hususan pale kwenye wimbo wa 'Hold Up'.
Haki ya nani ile cheza yake imenipa hamu ya kutafuta wachuchu...
Habari wanajamvi?
Kwanza niseme leo ni bahati mbaya nimeangalia hiki kipindi maana nimemuona Hoyce Temu,lakini kuna segment nimeiona inaitwa "Nirvana news".
Mhhh... jamani kuna usalama kwa huyu...
KUNA vita ya maneno kati ya makundi mawili ya mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva, wanaowashabikia wasanii Alikiba na Nasibu Abdul ‘Diamond’, kila upande ukidai mtu wao ndiyo anajua zaidi kuliko...
Naweza nisiwe sahihi..
Juzi kati hapa nikiwa napitia nyuzi kwenye Jukwaa hili la Celebrities ambalo ni mahsusi kwa ajili ya habari za watu maarufu, nilikutana na uzi huu - Huyu mtangazaji kipindi...
'Nusu saa ya mshale...nusu suruale.... Niruhusu nisimame, nikuruhusu ulale'.
Sijui kama kweli uwa tuna pay attention ktk mistari ya hawa watu.
Tusaidiane hapo. Kama una line yeyote tata iweke hapa.
Nikiwa kama mdau na mfuatiliaji mkubwa wa sanaa hapa nchini, nimesikiliza kwa umakini, malalamiko au shutuma zinazotolewa na msanii Ruby, kwa kituo cha Redio cha Clouds FM, tamasha la Fiesta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.