Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa amigo mwimbaji wa jahazi modern taarab ndiye mfalme mpya anayemrithi mzee yusuff baada ya mzee kuacha mziki
Anasubiri tu kutawadhwa rasmi kuwa mfalme wa...
Mwanamitindo wa Tanzania anayefanya kazi zake nchini Marekani, Flaviana Matata ameushitaki mfuko wa pensheni wa PSPF mahakamani akitaka alipwe shilingi milioni 165 kutokana na mfuko kwa kosa la...
Kati ya mambo ambayo Taifa la Tanzania ningejifunia nayo ni mwandishi wa vitabu katika anga ya Kimataifa ni Godfrey Mwakakigile. Huyu jamaa alikuwa ni moja kati ya mwandishi bora katika bara la...
Diamond Platinumz na Wizkid warekodi selfie video nakutupia mtandaoni kuwa wamekutana na wanatengeneza something new.
Katika video ameonekana mdada akimkiss diamond platinumz, pipoz zinasema...
Msanii wa muziki wa kisingeli, Amani Khamisi ‘Man Fongo’ amewataka wasanii wa muziki wa bongofleva kupokea ushindani mpya kutoka katika muziki wa kisingeli.
Muimbaji huyo anayefanya vizuri na...
Yule Mwana Dar es Salaam, Kingkiba, Balozi wa wanyama, Msanii pekee aliyetoboa Kimataifa bila Collabo, Kiboko ya Wizkid, Fundi na Master wa game ya mziki wa Africa "Alikiba" ambaye kwa sasa ndiyo...
Mtandaoni wa Tizneez ametoa exclusive ya kwanini Msanii Ruby hakuonekana Mwanza wala kupanda katika jukwaa la Fiesta wakati alikuwa mmoja wa wasanii waliosajiliwa...
Hivi Ndivyo mtandao huo...
Hatimaye Mtangazaji wa Kituo cha Radio cha E-Fm(Wazee wa Huu mchezo hautaji hasira) ameachana rasmi na kambi ya ukapela na kuvuta jiko.
More pics to come
Mwanamama na kada maarufu wa chama cha mapinduzi amepatwa na mshituko mkubwa baada ya kusikia mwenyekiti wa chama lazima awe Magufuli, mtu wa karibu wa mwanamama huyo anadai kada huyo wa siku...
Ndio maana imeagizwa mwanaume amuoe mwanamke. Inapotokea mwanamke akamuoa mwaname hiyo ndoa haiwezi kudumu.
Ndoa anayolewa mwanaume hukoma mara tu pale mwanamke atapomchoka mwanaume au hamu...
Huyu dada bwana namzimikia hasa utangazaji wake, ametulia anaongea kwa utaratibu, nimemfahamu Muda toka akiwa ITV na akiwa kwenye gazeti la KIU jamani mwenye namba yake anisaidie japo nimpe...
Diamond amekuwa anafanya matangazo mbalimbali kwa njia ya kuimba!! Japo watu wanasema Hajui kuimba ila kuna matangazo mimi huwa nayapenda sana kwa jinsi alivyo imbaa.
Haya ndio matangazo bora...
Habari zenu wandugu,
Miezi michache iliyopita ziliwahi kusambaa habari kuwa MwanaFA na AY wameshinda kesi mahakamani na kampuni ya Tigo imeamrishwa kuwalipa bilioni kadhaa pesa za kitanzania..Na...
Baada ya uvumi kuwa Baraka da Prince alishindwa kuongea kiingereza au hajui kabisa ila Najma ndo mkalimani wake wapenzi hawa wawili wapost video mtandaoni Baraka da Prince akifundishwa kiingereza...
Msanii wa muziki wa bongo fleva Peter Msechu amefunguka na kusema kuwa amekuwa akitukanwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu unene wake na kusema kuwa wapo baadhi ya watu walimfuata na kutaka kumpa...
Akionekana mwenye afya njema, Mr Nice aibukia jijini Nairobi, Kenya....mkali wa wimbo wa "kikulacho ki nguoni mwako" yuko mbioni kutuonesha vile vitu tumevikosa kutoka kwake...#TAKEUstyle
Pichani...
Msanii wa muziki, Kassim Mganga amesema wasanii wengi wa bongo wana ‘fake’ kuwa na maisha bora wakati hawapo hivyo
Muimbaji huyo ambaye ni mtunzi mzuri wa nyimbo za mahaba, amesema wasanii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.