baada ya kuzinduliwa kwa tuzo za eatv kuna category kumi ambazo sizani kama kuna msanii wa hiphop anaweza akashindana na msanii yeyote wa kuimba hiphop ya bongo kwa sasa inakoelekea ni kupotea...
Kabla jk hajatia saini huo muswada tujitahidi kuyatoa....:cool:
uyu jamaa bwana nimewahi mfuatilia huko insta na alijifanya kuponda sana mtu kuajiriwa...na akafikia hadi kulipisha watu 20,000 kwa...
Huku mtaani kuna stori zinasambaa sana kuwa huyu bwana mdogo mond kuwa now anapumulia mashine kutokana na ngoma zake kutofanya vizur mtaani hata kwenye rotation za TV na radio.....
Hata...
Hii vita ya diamond na king kiba, sio kwamba imeharibu mziki na kufanya wasanii wakubwa hata wakitoa nyimbo zisilete impact kubwa kama ambavyo ingetegemewa.
Ila diamond au alikiba akitoa wimbo...
Muimbaji Bi. Shakira Said Hamis nguli wa nyimbo za taarabu asilia, ameleza kinaga ubaga mapenzi yake makubwa kwamba anatamani kufanya zingzong na diamond,
Bi. shakira hakuishia hapo baada ya...
Katika harusi ya Masanja Mkandamizaji iliyofanyika Agosti 14, wachekeshaji wenzake wa kundi la Orijino Komedi, walikuja wamevalia nguo zilizofanana na sare za jeshi la Polisi hali iliyowapelekea...
Wakuu mwenye kujua namna ya kusajili club ya soka tz anipe mwanga, ili uwe na club ilosajiliwa unatakiwa upitie njia zipi na vigezo gani ili hata uweze kushiriki ligi za tz
Maharusi, wazazi wazama bwawani wakikata keki
na Betty Kangonga
MAHARUSI pamoja na wapambe wao usiku wa kuamkia mwaka mpya, walijikuta wakizama katika bwawa la kuogelea jijini Dar es...
Nasibu Abdul Juma "Diamond Platinumz" "Simba" Chibu Dangote" ni miaka minne imepita toka alipobadili tasnia ya mziki wa Bongo fleva mwaka 2012 pale alipofanya concert ya Diamonds Are Forever bila...
Ndugu wana burudani ni ukweli ulio wazi kuwa Alikiba ndiye aliyewahi kutoka kabla ya Diamond Dangote, Diamond alikomaa kwa kutokubweteka mpaka sasa hivi tangia 2009 bado yuko juu, sasa Huyu Kiba...
Wakuu salama! Ile siku iliyosubiriwa kw hamu ya Event ya utoaji wa Tuzo kubwa Africa za Uganda Entertainment Awards (UEA) imefika.
Categories zinazotazamwa zaidi ni zile zilizowashirikisha...
Kevin Hart handed his ex-wife keys to a new Caddy, but she gave him something pretty awesome too -- peace between the mother of his 2 children and his new fiancée.
Torrei Hart tells TMZ, the 2015...
Kwa udadisi na kautafiti kangu ka muda mfupi nimekuja kufahamu kwamba,Mameneja wa muziki wa kizazi kipya wanaokamata kwa sasa ni watatu tu,yaani Sallam anayejiita Mendez,Said Fella na Babutale...
Leo asubuhi kuna taarifa zimezagaa, kwamba wasanii wa kundi la sanaa za maigizo (Orijino komedi) wamekamatwa kwa kuvaa sare (rasmi) za jeshi la polisi katika harusi ya mwenzao, Emmanuel Mgaya...
Msanii wa filamu, Johari Chagula amefunguka kwa kusema kuwa kwa sasa ana kiu yakumpata mume sahihi ambaye ataingia naye kwenye maisha ya ndoa.
Mwigizaji huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja, amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.