Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Nimekuwa nikivutiwa na baadhi ya wasanii kwenye interview zao wanazofanya wamekuwa wanaheshimu kipindi cha mtangazaji na radio pia hata kama wapo level zingine lakini wanakumbuka walipotoka...
11 Reactions
120 Replies
14K Views
KUMBE NI MUME WA MTU! SHILOLE AMUIBA MME WA MTU NA KUPIGANAE PICHA KITANDANI. SOURCE : PERFECTO TV..
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Watu wengi hupenda mafanikio au wengi hupenda kua maarufu, mfano mzuri ni mwanadada Wema Sepetu. Ni mmoja wa waigizaji wa kike wachache wenye mashabiki wengi zaidi. Na katika hilo amefungua miradi...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
This's what she wore at grammys.
3 Reactions
53 Replies
9K Views
WEMA ATAKI KUNYWA DAWA!..IDRIS ANAMKIMBIZA KIMBIZA CHUMBANI.. WEMA KUNYWA DAWA!.
5 Reactions
93 Replies
18K Views
Swali kwenu wadau, SWALI: Kati ya Man Fongo na Wiz Kid wakipanda jukwaani nani atamfunika mwenzie kwa performance na kuamsha amsha wananchi??? Hahahaha... Mpambano huu ni hatari, yaani hata aje...
8 Reactions
60 Replies
9K Views
Msanii wa filamu Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekanusha tetesi ya muda mrefu ya kutoka kimapenzi na hit maker wa wimbo ‘Aje’ Ali Kiba. Muigizaji huyo mahiri wa filamu amekiambia chanzo chetu kuwa...
1 Reactions
24 Replies
11K Views
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Dar leo limewahoji wasanii wa Orijino Komedi kwa makosa ya kuvaa sare za polisi kwenye harusi ya msanii mwenzao Emanuel Mgaya “Masanja”. Wasanii hao, Lucas Muhuvile...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Huu ndio muonekano mpya wa hit maker wa ngoma kama uzuri wako, ntasubiri, sisikii, nikuite nan, wivu n.k. japokuwa ni uamuz wa mtu ila kiukweli jamaa hujapendeza. African boy endelea kuwa African...
5 Reactions
41 Replies
14K Views
Nikiri kuwa fan wa mziki wa diamond!Nimekuwa nikiingia mara moja moja kwenye page zake mbalimbali kupata updates!Siku za karibuni kutokana na kubanwa na majukumu sikuwa karibu na social media...
2 Reactions
107 Replies
17K Views
Msanii mkali wa africa na dunia kutoka nigeria wizkid akiongea na clouds fm amesema kwa sasa nyimbo ya diamond platnumz aliowashilikisha psquare kidogo ndio nyimbo bora kwake na ndio anayoukubali...
4 Reactions
68 Replies
9K Views
USIKU WA KISENGELI! HIVI VIGODOLO VIGODORO WATU KUTIKISA MATAKO SERIKALI ITAKATAZA LINI?
1 Reactions
121 Replies
31K Views
Kuna huyu mwanamuziki Budagalla Malonja, akifanya collabo na Diamond Platinum lazima ngoma iwe kali sana, huyu jamaa yuko vizuri sana, nimeweka moja ya ngoma zake;
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Wakuu naomba kama kuna mwenye kumjuahuyu mtangazaji wa e.fm anaeitwa kicheko a.ka chalii ya marangu!! Aniwekee hata picha yake hapa!!huyu jamaa namkubali sana jana alikuwa anatafsiri picha kwa...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
HUYA BELLA NI NYOKO SANA AISEE AMEKUTANA NA MGUMU NGOSHA ANAYEJIFANYAGA HAJUI KUBEMBELEZA LEO ANAMLILIA KIMWANA NI BONGE LA VIDEO FID.Q FT BELLA
3 Reactions
23 Replies
4K Views
“Mwanajamvi mwenzangu nimeanzisha Youtube channel ambayo ntakuwa nikiongelea maswala mbalimbali na nikichambua mada kuanzia sanaa mpaka uchumi, lengo langu ni kufahamisha mambo kwa usahihi na...
1 Reactions
0 Replies
941 Views
Nimekuja kugundua kuna vitu vidogo sana vinamjenga msaani huyu ni ubunifu tu mdogo huku wasanii wengine wakiwa wamelala usingizi diamond kaja hii yakutembea na kamera yake anayoitumia popote...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
It seems like this number was used by Pac! "7" Most of the thing especially special events are closed associated with this number. Huyu Tupac kama alitabiri maisha yake, maana vitu alivyokua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom