Habarini Wadau,
Usiku huu katika taarifa ya habari ya TV1, habari ikielezea uhamasishaji wa wasanii kuupa kipaumbele miziki yenye mahadhi ya uswahili kama segere na singeli nimemsikia Wema Sepetu...
Leo anazaliwa mfalme wa hiphop East & Central Africa... Heri ya siku ya kuzaliwa Ngosha.
Fid Q ameendelea kuwa inspiration kubwa kwa vijana na haswa community ya hiphop.. Ameendelea kuiweka...
BASATA imemfungulia Nay wa mitego kuendelea na shughuli za sanaa baada ya kutekeleza maagizo aliyopewa.
Nay wa Mitego atakuwa kwenye uangalizi maalumu wa BASATA ili kuhakikisha anazingatia...
Wadau bila shaka kama wewe ni mfuasi wa nyimbo za kizazi kipya utakuwa unampata Msanii billnass Anaetamba kwa wimbo wa LIGI NDOGO na CHAFU POZI nyimbo ambazo zimemfanya msanii huyu kujikuta star...
Jamani mwenye historia kidogo kuhusu uliokua muungano kati ya Madilu na Franco. Ilikuje wakaungana wakati Franco alikua na bendi yake. Na hatma yao ilkua je?
Msanii nguli wa mashairi ameeleza kwamba kuna bakteria wanakaa njia ya haja kubwa ambao mtoto huwa anazaliwa nao, na hao ndio wanafanya baadae aje kuwa shoga.
Pia ametaja tabia ya watoto...
Diamond Platnumz amefanikiwa kile ambacho
hakuna msanii wa Tanzania amewahi kufanikiwa
huku kukiwa na wasanii wachache tu wa Afrika
wamekifikia – kuingia kwenye playlist ya kituo
cha redio cha BBC...
President Obama’s eldest daughter, Malia, has made a decision about where she will attend college. And she has chosen Harvard University.
Malia, who is due to graduate from high school next...
Anaitwa JUMA MCHINA SHAROBARO , Msanii wa BONGO FLAVA. Sasa hivi mkali huyo kutoka Gang Zhou amekamata soko la ndani hao wakina Daimond na Ali Kiba watasubiri sana. Mcheki hapa alivyojaza watu...
Farid Kubanda, mzee wa Mwanza Mwanza kaendelea kutikisa jiji kwa mikito yake heavy yenye line kali zilizoshiba ambazo bila kutumia akili kuzichanganua ni lazima akuache njiani. huu ni wimbo wake...
Msaniii Ruby amefanya Cover ya wimbo wa Diamond Platnumz Je utanipenda na kuutendea haki kama vile ni wake akiimba kwa hisia kali sana utafikiri wimbo wake kwa ambao hamjausikia upate hapo Ruby -...
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Natafuta mawasiliano ya Nikki wa Pili. Kuna project nataka kufanya nae. Kama una namba yake ya simu au barua pepe naomba uiweke hapa au nitumie PM.
Wasalam.
Dazbaba au daz mwalimu, huyu msanii alifanya poa sana miaka ya nyuma kidogo akiwa na kundi la Daz Nundaz vilevile alifanikiwa kufanya kazi zake mwenyewe zilizo fanya poa sana kwenye media tofauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.