Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hilal Ametutoa kimasomaso olympic baada ya kushinda kuogelea 50m ya wanaume free style! Wajuzi wa kupandisha video wasaidie from you tube sie wengine wa zamani and conservative!
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Sometimes huwa nikiwa sina kazi au nikiwa sina muvi nzuri huwa naamua kutune in tv stations za home,sasa ukiangalia hizo videos za bongofleva,na hata boringo(acha kwaya ).wote kila msanii kwa kila...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
As per thread ya Compact anasema kwamba wasanii kama Navy Kenzo Fid Q na weusi leo wanafanyiwa usahili ili tu kushiriki tamasha la FIESTA, hii imenishangaza kidogo, Hivi hii FIESTA ina nini mpaka...
7 Reactions
57 Replies
9K Views
Kama ilivyozoeleka radio ya Clouds Fm chini ya Clouds Media Group huleta Tamasha la Burudani kila mwaka maarufu kama "FIESTA". Baada ya kutofanyika Mwaka Jana kutokana na nchi yetu kuwa na...
3 Reactions
183 Replies
28K Views
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Imekuwa ni nadra sana kumuona msanii wa Kitanzania akijitokeza katika jamii na kuchangia mambo mbali mbali kwa kigezo kuwa kazi zao hazina masilahi! Hii...
17 Reactions
66 Replies
10K Views
Wakuu hii naapa kwa jina la mungu, Kuna jina linatrend sana kwenye social netwek la mwanamke anaeitwa Giggy Money. Hivi huyu dada ni nani hasa au amefanya jambo gani kubwa kwani mbona watu...
6 Reactions
91 Replies
56K Views
Wakuu naona dada ameamua kufanya kweli. Hongera Komandoo nadhani hii itakuongeza kujiamini na kuthubutu kwenye maisha yako.
2 Reactions
40 Replies
9K Views
Ed sheeran, Anza nae.
1 Reactions
0 Replies
663 Views
Anaipenda Tanzania kwa kuwa amezaliwa Tanzania na wazazi watanzania wanaoishi Tanzania mpaka sasa lakini kwa kuwa Ureno wamemuamini sana na kumpa nafasi ya kuichezea timu yao ya taifa ya vijana...
1 Reactions
29 Replies
7K Views
1.Ali kiba 2.Juma Jux 3.cyril kamikaze 4.Hemed Phd 5.Gerry 6.Izzo bizness 7.ommy dimpoz UTANASHATI ni jambo kubwa sana kwa wasanii na watu wa kawaida. Mara nyingi utanashati...
2 Reactions
53 Replies
31K Views
Abdul Juma ‘Baba D’ Erick Evarist na Gladness mallya DAR ES SALAAM: Maskini wee! Baba wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Juma ‘Baba D’ anaumwa sana! Ndivyo Risasi...
0 Reactions
252 Replies
31K Views
Mengi anamiliki Radio one, Capital radio, EA radio na Ruge anamiliki Clouds fm na Choice fm. Sasa watangazaji wengi wa Mengi wanakimbilia kwa Ruge. Tuwaorodheshe; Milard Ayo, Sebastiani Maganga...
4 Reactions
70 Replies
16K Views
Rz1 anatajwa kuwa na Mahusiano na Lulu kiasi cha kumununulia gari. Mda mfupi baada ya Kifo cha Kanumba msg ya Rz1 ilikutwa kwenye simu ya lulu!!!!
1 Reactions
82 Replies
21K Views
Nampenda Lulu Michael wazoefu viwanja vipi naweza kumpata au kukutana naye au ofisi zake ziko wapi Nisaidieni wapendwaaaa!!!! ....I am sick bcoz of her Haijalishi alivyo historia yake me...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Naomba kujua wanamuziki na waigizaji waliosoma Mimi naanza na mwana fa huyu ana masters in finance aliyoipata chuo kimoja huko uingeleza naombeni kuwajua na wengine ....naomba kuwasilisha wanajamvii
5 Reactions
64 Replies
17K Views
Huwa namsikiliza mno kwenye kipindi chake cha Ala za Roho. Hapa ukimsikiliza anaonekana ni mjuvi mzuri wa haya mambo ya mapenzi, sasaaaa kwa nini mastori mingi kwenye media na mahusiano mara...
10 Reactions
85 Replies
13K Views
Naona singeli inakuja kwa kasi ya ajabu hasa kwetu uswazi. Dah uchezaji wake bado nashindwa kuuelewa lakini poa tu. Angalia video tamu ya Singeli Hiphop kutoka kwa wakali wa muziki.
2 Reactions
15 Replies
8K Views
Hivi huyu dada yupo wapi mwenye update zake anijuze
2 Reactions
58 Replies
12K Views
.
10 Reactions
275 Replies
72K Views
Pnc ni msanii mwenye kipaji na sauti nzuri alifanya vizuri miaka ya nyuma kidogo na nyimbo zake zilihit sana kwa sasa naona kapotea sana kwenye game mara ya mwisho kupata habari zake walisema...
1 Reactions
33 Replies
9K Views
Back
Top Bottom