Akiongea na Xxl ya Clouds fm amesema ndani ya mwezi huu atakuwa anamfollow mtu mmoja mmoja kisha ana muunfollow na ni kwa wachache watakaobahatika...
"Nimeanzisha utaratibu wa kuwafollow...
Mapenzi ya Kajala na Quick Rocka yamekuwepo kwa muda sasa lakini hakuna hata mmoja amewahi kukiri hadharani.
Hata hivyo penzi linaponoga, si rahisi tena kulificha. Ndio maana Quick ameamua...
Meneja wa kundi laWCB babu tale amedai kuwa wao hawa manage hisia za wasanii wao bali kazi zao, na ameongezea pia wasanii hao kutembea na wanawake waliowazidi umri ni bahati na wanamuenzi mtume...
MWANAMITINDO Amber Rose ameendelea kuzungumziwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari nchini Marekani, baada ya kuonekana na nyota wa kikapu wa timu ya Toronto, Terrence Ross wakiwa katika mazingira...
Hongera Alikiba #kingkiba Uzuri wa kazi yako ndio uliofanikisha leo kupata views Million 1 just only over 1 week tangu iachiwe YouTube.
Umesimama mwenyewe bila collabo na umetoboa mwenyewe bila...
Huyu mzee hapatikani kwenye mtandao wa kijamii wowote,hapatikani Facebook,Twitter,instagram,jf,Google,YouTube,snapchat na ukute hata whatsapp hayupo huyu mzee.natamani sana kumjua sura yake,naomba...
Mwanadada machachari wa Muziki nyororo wenye kuamsha hisia za kidume kisichopandisha kuweza kuumudu majukumu ya Mume kwa mkewe bila wasiwasi, ameonekana ndani ya Bunge kuwasabahi Wabunge wa CCM...
Did Justin Bieber steal the best bit of Sorry? - Did Justin Bieber steal the best bit of Sorry?
Habari zenu wadau,
Kuna taarifa zimetolewa kwenye chombo cha habari bbc kumuhusisha mwanamuziki...
Aliyekuwa mtangazaji wa clouds fm, Dina Marios, leo kupitia ukurasa wake wa instagram, amefunguka kuhusu tetesi zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii, kuhusu bifu lake na mtangazaji mwenzie...
BAADA ya urafiki wa waigizaji mashuhuri na wanaozungumzwa sana nchini, Wema Sepetu na Aunty Ezekiel ‘Mama Cookie’ kuvunjika, waigizaji hao wameibuka na kudai kwamba hawahitaji marafiki...
Kwema wanajamvi.!?
-Wasanii wa muziki wa dansi, rhumba, bongo flava ,baadhi yenu kitendo cha kila mkifanya mahojiano na vyombo vya habari kuhusu labda kuimba mlianzia wapi.?
Majibu yanakuwa eti...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ni siku nyingine tunakutana hapa kwenye kilinge chetu cha majungu, fitina, na figisu figisu sehemu ambapo...
Prince died of an accidental overdose after he self-administered the powerful painkiller fentanyl, the Midwest Medical Examiner's Office reported on Thursday.
57-year-old singer was found dead...
Leo nina swali,Wasanii hapa Bongo ni wengi sana na hawa wasanii ni wachache sanaa ambao hawana Management! Diamond ndo nahisi anaongoza kwa kuwa na management kubwa na huwa sijui wote wanafaidika...
Maselebriti watu wazima, Madam wa Biesiesi na huyu Jacky Mchaga wanafanana sana tabia.. Hawa ni ndege? Nachozungumzia ni tabia ya kuruka na vi-underage.. Imo damuni mwao!
Nisameheni mie sijui...
Wala haina ubishi ya kwamba wasanii wengi wa bongo waliokuwa wanarap wameacha kurap na sasa wanafanya miziki ambayo haileweki ni aina gani ya muziki,mifano ni mingi(tema mate,kamili gado,n.k).huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.