Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Ninapata mashaka na capability yake ya kiungozi, anajinasibu kama mtetezi wa sanaa lakini upande wa pili kuna harufu mbaya ambayo nimeanza kuihisi, Nyie mfatilieni tu mtajua nyendo zake, kwa sasa...
6 Reactions
46 Replies
8K Views
Nimeliona hili na nikaona si mbaya kushea na wanajamii!! Tanzania tumebarikiwa vipawa vya wanabongofleva vya kutosha na maridhawa kabisa!! Tumekuwa na wanamuziki wazuri hasa na kwa uchache...
0 Reactions
55 Replies
9K Views
LAS VEGAS — The newly crowned Miss USA is a 26-year-old Army officer from the District of Columbia who gave perhaps the strongest answer of the night when asked about women in combat. "As a woman...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Man Fongo na Shollo Mwamba ni watu walio jipatia umaarufu kupitia singeri uliza bodaboda yeyote atakwambia Sembe Tembele,Hainaga Ushemeji,Achia bodi,Tekenya,Hauna ni baadhi ya Singeri ambazo daaa...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari wanachama wa JF.!! Katika pitapita yangu ya pages za wasanii wa bongoflavor ambao ni WAISLAMU sijaona angalau post inayohusu kuhukaribisha MFUNGO WA RAMADHANI. Mfano wa msanii/wasanii...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Huyu dogo alishinda tuzo ya "Airtel Talent" pale Nairobi Kenya na baadae akapata offer ya ku-record wimbo na Akon. Kabla ya hapo alikuwa ameimba na Mr Blue. Kwa sasa "single" yake...
2 Reactions
46 Replies
10K Views
Jambo limezua jambo! Baada ya hivi karibuni barua yenye ujumbe mzito kukutwa kaburini kwa aliyekuwa staa wa sinema za Bongo, marehemu Steven Kanumba, limezuka jipya ambapo kitu kilichopo kaburini...
0 Reactions
54 Replies
40K Views
Mama Nasibu Athibitisha kwa Maneno haya Muda si mrefu sana toka Zari na Diamond Platnumz wamepata mtoto wao wa kwanza kwa jina TIFFA Kupitia mtandao wa Instagram Mama wa Diamond Platnumz...
2 Reactions
75 Replies
24K Views
Habari wakuu. Nilikuwa nazunguuka mitandaoni nikajikuta nimetokea kwa Instagram ya DIAMOND na kukuta video ikimuonyesha kaweka vito vya thamani kwenye meno sasa mimi sijui kama ni dhahabu,almasi...
1 Reactions
94 Replies
18K Views
Mara nyingi huwa nikiandika uzi, nikianza tu na kichwa cha habari mfano nianze na neno "Wema Sepetu"...Basi zitakuja post kibao zenye kumzungumzia huyo mtu..Si yeye pekee, ni wengi...Lakini...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Katika harakati za Ney wa Mitego kuonesha mali zake ambapo juzi ametuonesha gari lake aina ya Murano lenye Thamani ya Milion 36, jana ameonyesha nyumba yake mpya yenye thamani ya Mil 170 ambayo...
2 Reactions
85 Replies
28K Views
Hii ngoma ni mbovu kuliko Rich alivyowahi kuimba miaka ya nyuma....Ngoma iko too flat haina rise and fall ya sauti! Wakastuka kuwa haito kiki faster faster wakatoa video yake on spot! Mbaya zaidi...
3 Reactions
131 Replies
18K Views
NJEMBA mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, juzikati aliwashangaza watu baada ya kulazimisha kudendeka jukwaani na msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘V-Money’. Tukio...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimepata nafasi ya kuisikiliza ngoma ya Jay Mo "Super Man" inaitwa PESA YA MADAFU. Mo kaamua kubadilika na kwenda kwenye trap beat. Ni vizuri ila me naona amepoteza ile ladha ya Jay Mo halisi...
4 Reactions
57 Replies
8K Views
Kila mtu leo anatambua kwamba WizKid ndio msanii bora Africa ushahidi ni one dance ya Drake ambayo leo inasumbua Billboards ambayo kamshirikisha wizkid Ila followers wa wizkid hawafiki milioni...
8 Reactions
61 Replies
6K Views
Mnyange na mfanyabiashara wa vipodozi jijini Dar es salaam amempongeza her American counterpart kwa kuweza kutumia bidhaa zake za midomo.Hali hiyo ilitokea baada ya Kim kuweka picha yake kwenye...
5 Reactions
86 Replies
11K Views
Subaiiii Eti naskia jamaa anaendesha bodaboda kweli maisha yanashuka na kupanda.
2 Reactions
64 Replies
9K Views
Kijana ni mchapa kazi and very analytical sikujua kwamba sio kilaza pia...uende mbali ndugu................... Mpiganaji Spencer Lameck akiwa mzigoni mara baada ya kumalizika kwa mahafali ya...
4 Reactions
38 Replies
5K Views
Back
Top Bottom