Mrisho Mpoto
Watanzania wengi wanamjua Msanii Mrisho Mpoto ambaye anafahamika si tu kwa kazi zake, bali pia kwakuwa hutembea peku peku wakati mwingi.
Mpoto amejipatia umaarufu kwa utaratibu wake...
Msanii wa Vichekesho Nchini Tanzania 🇹🇿 Umar Lahbedi Issa, Maarufu Kwa Jina la Mzee wa Mjegeje, Amefariki Dunia Leo Alfajili Katika Hospitali ya Mwananyamala Alipokuwa Akipatiwa Matibabu. Taarifa...
Wakuu Salaam,
Nisiwapotezee muda, miaka ya nyuma kulikuwa na shindano la wadada lililodhaminiwa na Twanga Pepeta na Manywele Entertainment.
Sikumbuki lilifanyika mara ngapi lakini mwaka 2006...
In the vibrant and ever-evolving Nigerian music industry, new talents constantly emerge, captivating audiences with their unique sounds and fresh perspectives. One such rising star is Ayra Starr...
Baada ya kustaafu kutoka kwa tasnia ya filamu za watu wazima mnamo 2015, Mia Khalifa aliingia kwenye uhusiano, akachumbiwa, akaolewa, akatalikiana, akawa mwanamke, mkufunzi wa masuala kazi...
Niwapeni siri kwamba ukiachana na pesa, wanawake wanashobokea sana vijana maarufu hasa kwenye mambo ya sanaa na michezo, sijui kwanini ila ndivyo wengi walivyo.
Katika makundi haya kwa sasa kuna...
Fans and multiple conspiracy theorists are beginning to spread the idea that Takeoff was sacrificed and they are doing this using some facts from "Messy" music video by Quavo & Takeoff which was...
Msanii aliyetamba na ngoma ya Imekaa vibaya na Tumbo joto , Abdul Miraj maarufu kama Kali P amesema hataki tena kusikia masuala ya Muziki .
Kali P amesema ameamua Kumrudia Muumba wake na sasa...
NI MTIKISIKO!
Kiungo punda, kisiki wa Klabu ya Yanga Khalid Aucho ‘Daktari’ na Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’ kwa pamoja wako mapenzini na mwanadada mrembo wa kuitwa Caren Simba.
Kiungo huyo...
Comeback aliyopiga huyu mwamba haijawahi kutokea kwenye historia ya filamu nchini India.
Pathan & Jawan zimewaka all time records za mauzo Bollywood, na cha hatari zaidi kuna na filamu nyengine...
High school graduate, 17, climbing without ropes falls to his death in Colorado after posting a FINAL Instagram selfie
A 17-year-old high school graduate died while out rock climbing in Colorado...
Watu wamekua wakijiuliza kweli kama Bilionea huyu alikua na jeneza ndani..kutoka Makao Makuu Ya Zimbabwe Jijini Harare Mwanamitandao ya kijamii na mfanyabiashara, Genius Ginimbi Kadungure ambaye...
MIMI NDIO TAJIRI WATOTO WANGU WATAFUTE PESA ZAO
Nyota wa zamani wa #NBA , #ShaquilleRashaunO'Neal amewachana watoto wake sita kuwa Pesa alizonazo na Utajiri alionao sio wao bali ni wa kwake hivyo...
Aliyekuwa Muigizaji maarufu video za ngono (pornography) Elisa Sanches ameacha rasmi kazi hiyo na kuamua kuwa mwamuzi wa Mchezo wa mpira wa miguu nchini Brazil. Mwamuzi Huyo kwa Sasa anaishi...
STILL D.R.E - Ufundi wa Mikono ya Jay Z unaoishi tangu 1999 mpaka leo
#UZI
Tar. 13 Feb 2022 ilifanyika fainali ya American Football maarufu km Super Bowl kati ya Los Angeles Rams na Cincinnati...
Habari wanaJF.
Ukweli ni kwamba vyuo vikuuu na vyuo vingine vimekuwa vikitambua na kuwatunuku PhD katika kutoa huduma fulani katika jamii.
Lakini Kuna nguli wa Utangazaji na Mwana...
Bifu linalosemekana kuwepo (kama kipo) kati ya Diamond na Kusaga pale wasafi ni marudio yale yale kipindi cha clouds msanii ni aidha ukubaliane nao wanavyotaka wao ama nyimbo zako hazipigwi, Ni...
Aaahem
Muda siku zote waenda mbele, muda hausubiri mtu, na katika kwenda kwake mbele Muda huja na mabadiliko. Ole wao wale wanaopingana na sheria hii ya mda kwa kukataa kukubali uhalisia kwamba...