Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Nyota wa Muzikibwa Kimataifa , Lady Jay Dee amekutana na Katibu Mkuu wa Chadema kwa Mazungumzo katika eneo la Nyumbani Lounge , D'Salaam .
Bado haijafahamka...
Yale yale, ukisoma comments za kwenye hii video yaani utadhani jamaa sijui kaua au kafanya nini yaani, watu wanaishi kimajungu majungu na hasira za kufa mtu.
Mfuasi yeyote wa dini ya Kiislamu...
Huyu jamaa ni Mfalma we Rhumba za kweli. Ni mwanamuziki ambaye ukiwa mpenzi wa Rhumba lazima utenge siku maalum ya kusikiliza mziki wake. Bahati mbaya Dunia ya Sasa inataka vitu feki kuliko...
Msaani maarufu wa Marekani na producer wa label ya Bad Boy record, anaejulikana kwa jina maarufu la P diddy, sasa tumbo joto baada ya mama yake na Christopher Wallace almaarufu Notorious B.I.G...
Katika kuperuzi huku na kule youtube si nimekuatana na nyimbo za huyu anaitwa Monique Sekka, nilikuwa simjui, nadhani atakuwa mkongo huyu. Yaani hadi sasa kichwa kinauma baada ya kusikiliza 'Yaye...
Ni muziki ambao umesambaza culture ya kijinga sana.
1. Kuwaendekeza wasikilizahji kudharau shule, Kusifia ujeuri dhini ya walimu utoro, na kuwaaminisha watoto elimu ya mtaani (street smrts za...
Hivi huyu mwamba huwa ana makazi huko? Au anafanya biashara gani huko kwa Joe Biden? Maana kwa mwaka mmoja anaweza kwenda Marekani hata mara nne au tano! Juzi tu hapa kabeba familia nzima kwenda...
Umewahi kuitazama muvi ya Wonder Woman iliyochezwa na mwadada Gal Gadot? Ni muvi inayohusu wanawake Fulani wanaofahamika kama Amazon Women.
Kwa mujibu hadithi za uhiriki (Greek mythology)...
Mimi namkubali sana huyu mtangazaji Mana ni mweledi kwenye kazi yake. Kwa ufupi ni fundi Sana.
Wiki hii yupo Finland na huwa kila wakati ni kuruka kwa ndege mataifa mbalimbali.
Sina nia mbaya...
Huyu jamaa mbona anasafiri sana nchi za watu? Kila siku ye yupo angani tu anabadilisha flights kama dala dala, mara UK, Sweden, south Africa, na mara nyingi zinakua safari binafsi, anapata wapi...
"Tuliishi mitaani na kulala kwenye stoo ambazo tuliweza kupata godoro.
Mimi na mama yangu tulijibana pamoja kwenye godoro hilo. Hayo ni majira ambayo mambo yalikuwa mabaya sana kwa mama yangu na...
"Baada ya kuona maisha yamekuwa magumu niliamua kukimbilia kwa baba aliyekuwa anaishi Lindi ambapo alinipeleka gereji kujifunza ufundi wa magari. Nilikuwa na ndoto nyingi kupitia ufundi huo lakini...
kwa wale wanaopenda kwaya za kikatoliki, Bernad Mukassa si mgeni kwao, yeye ni mwalimu wa kwaya ya Mt. Kizito makuburi, ni mtunzi alijizolea sifa nyingi kwa utunzi wake wa nyimbo. hata ukichukua...
Tangu nianze kusikiliza nyimbo zake huyo mwimbaji namfahamu kwa jina la Christina Shusho.
Hivi Shusho ni jina la baba yake na Christina au ni jina la ubini kwa familia ya aliyekuwa mumewe wake ...
Habari wanajamii forum wote. Hii ni kwa wake wapenzi wa edm music. Kwa wafuatiliaji wa muziki huo nadhani mtakuwa mnakubaliana na Mimi kuwa Martin Garrix ndiye dj anayekimbiza zaidi kwa Sasa...
1. Mzize - Mchezaji wa Yanga
Ukristo kwenda uislam
2. P Funk - Producer
Ukristo kwenda uislam
3 Shomari Kapombe - Mchezaji wa mpira
Uislam kwenda Ukristo
4. Barnaba - Msanii wa Muziki...
Mwanamuziki kutokea nchini David Adeleke, maarufu kama “Davido”, amekanusha uvumi kwamba amekamatwa nchini Kenya alipokuwa katika ziara ya muziki Aprili 1, 2024 baada ya dawa za kulevya kupatikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.