Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Msanii yupi ni mkali wa Mashairi yenye ujumbe wa Kutetea Haki na Utawala Bora? Roma Mkatoliki Vs Nay wa Mitego
0 Reactions
1 Replies
346 Views
Huu ni muonekano wa Kanye West na mkewe Bianca wakionekana wakielekea studio huko Marekani jana usiku. NB: Wamependeza hawajapendeza?
13 Reactions
33 Replies
4K Views
Harmonize wewe ni msanii Mkubwa Tanzania lakini unafeli sana anapolazimisha kuandika English lhali bado hujakijua vizuri. Harmonize unaonekana haupo Serious kwenye post zako kwa kuandika Ngeli...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Dada wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Sunna Sepetu (37) ametiwa mbaroni mjini Worcester, Massachusetts nchini Marekani baada ya kukutwa na hatia ya kula njama ya utakatishaji fedha zilizotokana...
10 Reactions
90 Replies
8K Views
Hiyo ndiyo habari ya motomoto kunako mainstream, ambapo inasemekana mtangazaji maarufu Maulid wa Wasafi TV hapa nchini, ndoa yake ya Marekani imeota mbawa baada ya kumuoa Mbunge N. Chanzo cha...
31 Reactions
152 Replies
13K Views
1.Michael Jackson, 2.MC Hammar, 3.Usher Raymond, 4.Omarion, 5.Hrithik Roshan, 6.Chris Brown, 7.Jason Derulo, 8.Justine Timberlake, 9.Ne-Yo, 10.Bruno Mars. labda bonus man atakaa Justine Bieber.
1 Reactions
92 Replies
12K Views
Kesha has decided to move from Tennessee to California following her recent stint in rehab in a bid to make a fresh start. Kesha Kesha has moved to Los Angeles following her stint in...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naona kuna ukaribu fulani kati ya muigizaji na mjasiliamali ambaye ni mjane wa Sadick Juma Kilowoko (Sajuki) , Wastara Juma na huyu jamaa anayejihusisha na mambo ya kuweka sawa shape za kinadada...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Happy birthday bro. Miongoni mwa watu waliozaliwa mwezi March ni pamoja na Osama bin laden.
8 Reactions
39 Replies
3K Views
Salam ndugu wanaMMU, Habari zimeenezwa kupitia vyombo vya habari kuwa Shilole azua utata baada ya kucheza utupu wakati anapiga show huko Ubelgiji, ndipo nikaona nije na habari hii kama sehemu ya...
1 Reactions
45 Replies
23K Views
Namsikiliza Emma mbasha hapa, anasema flora aliondoka na mimba Wakati wanaachana na anasema hawezi kumsema baba wa mtoto watu wanahuduma zao kubwa. Hapa sijamwelewa kwanini akubali tu mke...
8 Reactions
46 Replies
11K Views
Habari zenu. Iko hivi nadhani kwa kila mmoja wetu anamfahamu mchekeshaji aliyeibuka siku za hivi karibuni anayeitwa Nyanda Kabundi. Iko hivi mchekeshaji huyu nataka nimshauri kitu kimoja...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
USHAURI WANGU KWA CHINO KWENYE HIZI GARI ANAZOSEMEKANA KANUNUA Kwanza Kabisa Nianze Na Hizi Management Za Wasanii Zinatakiwa Ziwe Makini Kwenye Kumpa Walau Ushauri Msanii Wao Ni Gari Gani Nzuri...
15 Reactions
24 Replies
3K Views
Umeitazama muvi ya John Wick Chapter 4? Humo utakutana na mtaalamu Donnie Yen kacheza kama kipofu aaitwaye. Ni noma sana humo ndani kakiwasha balaa. Donnie Yen ana miaka 59 sasa anaelekea 60...
35 Reactions
134 Replies
11K Views
Aliyewahi kuwa Mwanamuziki Nchini na ambaye ni mke wa Marehemu Regnald Mengi, Jacqueline Mengi maarufu kama K-Lyinn amedai kuzuiwa kuingia kwenye kaburi la mumewe, Reginald Mengi Bila kusema ni...
18 Reactions
661 Replies
73K Views
Za asubuhi wakuu, leo nakuja na makala ya watu maarufu duniani, ambao wameacha alama kubwa katika tasnia zao na mpaka leo hakuna alietokea kuziba mapengo yao. 1) Mohammedi Ali Huyu ni bingwa...
37 Reactions
283 Replies
18K Views
Habari za muda naomba kufahamu kama Kuna mwenye taarifa yoyote inayomuhusu alikiba Nimekuta mahali wamepost tumuombee na kwingine tena hivyohvyo kwa anayefahamu chochote kumuhusu, kuhusu hizi...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Huyu jamaa kwenye ngwasuma alikua moto mbaya sana. Naweza kumfananisha na Chameleon kwa werrrason sasa hivi. Pia zamani sana kulikua na na dogo kule beta la muzika totoo ze bingwa nae alikua...
1 Reactions
4 Replies
625 Views
Picha inasomeka na inaelezea Diamond alikuwa ameshatoja kimaisha. Dogo alikuwa akiishi getting kwa namna walivyovaa tu. Lkn baadae wakagombana kwamba afya ya kinaisha ilistahili ichukue nafasi...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF, Tukirudi kipnd cha nyuma miaka ya 2010 soko la bongo muv lilikuwa lilikuw juu sana kuliko hata muziki lkn baada ya Kanumba kufariki soko kimeyumba mpaka sasa Japo kidogo...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom