Maana wote wametoka kimuziki Gerezani kariakoo
Abby skills kwao mtaa wa kipata
Queen Doreen dada yake Mondi anatokea mitaa hiyohiyo aliwahi kuwa video vixen wa kazi ya Abby Skills na Mr Blue -...
Kama ulikuwa hujui basi ni hivi aliyekuwa muimbaji na mfalme wa pop duniani Michael Jackson alipanga mipango ili aweze kuishi miaka 150 hapa duniani
Baadhi ya mipango hiyo ni
- Aliajiri...
#ETrending Follow @rickmedianews
Usiku wa kuamkia leo Staa wa muziki @rayvanny amefanikiwa kushinda Tuzo 5 za #EAEA ( East Africa Arts Entertainment Awards) zilizofanyika nchini Kenya. Vipengele...
Leo nimejiridhisha kabisa juu ya msanii Harmonize kuwa mihadarati anayotumia na wanawake afikishe sober house mapema sana.
Hofu ya afya yake ya akili ilianza muda sana ila nikafunika kombe...
Msanii Diamond karibia hayo Mafanikio yote uliyoyaonyesha katika Video ya huo Wimbo wako (Kichupa Chako) ambayo kama kawaida ya Mr. Kiherehere Gerson Msigwa (Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa...
Taarifa zilizotufikia usiku wa kuamkia leo zinaeleza kuwa Mtangazaji aitwaye Denis Rupia maarufu kama Chogo amefariki dunia.
Taarifa hizi zimetolewa na Meneja Mkuu wa EFM, Denis Ssebo jukwaani...
Tuache utani, Mziki ni kazi ngumu jamani kama hauna strategies thabiti.
Wanaijeria walalamika kuhusu ASAKE kubadilika muonekano na kuanza kufanana na watu wa kawaida japo kuwa ana mamilioni ya...
Hivi majuzi Rihanna alikuwa amepost picha akiwa amevaa nguo za Masista wale wa kiroma.Watu wengi Sana wamemponda wengine kusema hana heshima.Wengine kusema anadhalilisha ukristo.
Watu ilibidi...
Wote tunajua Dulla planet bongo ni kijana aliyekuta planet bongo kama kipindi pendwa ikadondoka na kupotea kabisa.
Sasa ndugu Ali kiba kapewa na mnene mmoja asimamie redio na kuipromoti ambayo...
Kwa mara ya kwanza mtangazaji nguli nchini Taji Liundi amefunguka kuhusu maisha yake binafsi na mchango wake katika tasnia ya muziki. Taji Liundi aka Master T ambaye amefanya kazi na vituo...
Hii dunia katika kila tasnia zimekuwa zikitengeneza ma star, hugawia kwa viwango, wengine huitwa ma Super Star wengine huitwa Mega Stars. Lakini tuunapokuja Kwa Shahrukh Khan tunashindwa kupata...
Kwa wale wapenzi na mashabiki wa Ferre Gola Le padre, aliyebarikiwa sauti nzuri na kipaji kikubwa cha kuimba mziki mzuri wa Rhumba kutoka DRC CONGO. Masaa 22 yaliyopita kutoka kwenye akaunti...
Muonagor alifariki jana baada ya kupambana na ugonjwa wa figo kwa muda mrefu.
Hii ilikuja siku chache baada ya video iliyosambaa ambapo aliiomba msaada wa kifedha kutoka kwa wanaijeria ili...
Huyu kijana anakuja kwa speed kama vile katupwa kutoka kwa juu Ana nyimbo zake hazichoshi ila naona hajapewa sana airtime me mpaka sasa hivi sijajua ni mtanzania au mkenya?
RC Makonda ameandika kwenye Instagram yake akimwambia Zari kuwa ana uwezo mkubwa wa kupita kwenye dhoruba na akaendelea kubaki imara na kuendelea kupata heshima kutoka kwa familia yake.
RC...
Habari wadau.
Huna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA.
Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm
Amepata...
2024 naona ime Anza kwa Kasi, nao marioo na harmonize Waka amua kutoa nyimbo mpya.
👉 Hi ni collabo yao ya pili, Baada ya ile naogopa.
Nyimbo hii Ina kwenda kwa jina la away, aisee ni Nyimbo Kali...
Hapo chini utaona listi ya watakaokufa mwaka 2017, Watu maarufu zaidi ya 50 wamechaguliwa na jopo la watabiri kuwa watakufa mwaka huu. Kuna sheria za kuchagua watu watakaokufa kama ifuatavyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.