Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wakati naendelea kufuatilia marudio ya msiba wa Garder, namuona DJ JD akiwa katulia msibani. Mara kwa mara kamera zinamuonyesha akiwa katulia, na miwani yake myeusi juu ya paa la uso. Ndipo...
8 Reactions
29 Replies
3K Views
Askofu TD Jakes ambaye amemtumikia Mungu kwa miongo mingi amejiuzulu kwa madai ya kuwa na mahusiano na mmoja wa waumini wa kanisa lake. Source: Tecnico Informatico
4 Reactions
54 Replies
4K Views
Ukienda kule DSTV (Jua Kali) utawakuta familia ya kina Mwaipopo [emoji23] ambao ni Gabo, Eliudi, Mwaipopo, Uncle Lusajo na Chichi & Mama Gabo, familia yenye kila aina ya vituko. Hawa jamaa ni...
0 Reactions
9 Replies
742 Views
Dogo amepoa sana kama uji wa sembe, hana amsha amsha, mziki wa bongo unahitaji uandishi mzuri na drama kwa wingi ili uende mjini. Diamond platnumz licha ya uandishi wake mzuri alikuwa na drama...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Ray kigosi aliwahi kusema wanakunywa maji mengi sana kubadili rangi ya ngozi, ni Maji haya ni yapi?
7 Reactions
19 Replies
992 Views
Movies za Idris Elba Bastille Day Sean Briar Finding Dory Fluke Voice role 100 Streets Max Star Trek Beyond Krall / Balthazar Edison 2017 The Dark Tower Roland Deschain...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
A man accused of being Diddy's 'drug mule' was arrested trying to board at the same time the rapper's mansion was raided by police. Brendan Paul, 25, was arrested by Miami-Dade Police, alongside...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Aliyekuwa Muigizaji wa tamthilia ya Zahanati ya kijiji Bi Ubwa amefariki leo tarehe 20/4/2024. Hakika sisi ni wa Mungu na kwake tutarejea. ======= Msanii wa maigizo nchini aliyefanya vizuri...
5 Reactions
64 Replies
5K Views
Alianza kuimba tangu akiwa shule wakati anasoma sekondani ndipo akajiunga na Tanzania House of Talents (THT) ila alitoka kimuziki chini ya M Lab (Music Laboratory) na sasa ni miongoni mwa waimbaji...
11 Reactions
31 Replies
2K Views
Nakumbuka kipindi fulani(2002-2004), kulitokea mgomo pale UDSM. Bwana Bahati aliyekuwa mwanafunzi wakati ule alitajwa na speaker bungeni kwamba alikuwa kinara wa vurugu hizo. Kulingana na namna...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Habari zilizotufikia punde ni kuwa mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Hamisi Tale au Babu Tale) aitwaye Shamsa Tale almaarufu kama Shammy Nails amefariki. Pole kwa familia ya Babu Tale maana...
13 Reactions
807 Replies
114K Views
Leo Machi 30, ni Kumbukumbu ya Siku ya Kuzaliwa kwa Paul Matthysse a.k.a P-Funk Majani, Mtayarishaji Mkubwa na Bora wa Muziki Tanzania. Alianza kujihusisha na Muziki mwanzoni mwa miaka ya 90...
20 Reactions
61 Replies
6K Views
Anaitwa Single mtambalike. Nimeenza kumuona Tangu miaka ya 99 huko lakin mpaka Leo muonekano wake upo vile vile.. Asee Kaka rich emu njo utupe Siri ya kutokuzeeka au wewe. Ni clone
7 Reactions
54 Replies
4K Views
Mitandao ya Kijamii na watu mbalimbali zikiwepo Asasi za Kijamii zimemshika pabaya kama siyo kumchakaza kwa comments mtangazaji Gardner baada ya kutoa kauli isiyo na chembe ya utu uzima...
10 Reactions
131 Replies
23K Views
Aibu sana unasema unanyumba 5 ila nyumba ya kwenu haieleweki ni aibu kubwa sana mimi nilijua ulivokuwa unatunishiana misuli na ruge basi umejiwekeza kumbe hamna kitu?? Maana dar kwenye unahisi...
16 Reactions
344 Replies
43K Views
Nimeitoa huko twitter, Nasikia yule mtangazaji mpiga kelele ambaye angekuwa pastor huenda angefit na kuprove well maana ile sauti ya mjuba siyo ya kusomea tu magazeti. Bila kupoteza muda ni...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Huyu ni msanii mkubwa ulimwenguni, je umemtambua kuwa ni nani?
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Inadaiwa kuwa msanii nguli na namba moja nchini kwa upande wa akina dada, Binti machozi, Komando, Anaconda, Lady Jaydee amefunga ndoa weekend hii. upitia mtandao wa I.G amepost baadhi ya picha...
14 Reactions
191 Replies
41K Views
Shoga maarufu kutoka pande za +234 , Idris okuneye(28), maarufu kama BOBRISKY, ndiye staa shoga aliyeamua kujiweka wazi nchini Kwao kwa kuvaa na kuishi kama mwanamke, unaambiwa hutumia mamillion...
1 Reactions
197 Replies
82K Views
Huyu msichana na sasa mwanamama wa miaka 2003 miss Tanzania 🇹🇿 nampenda sana. Sinaga muda mwingi kumtazama ila angejua wengi tunavyovutiwa naye basi angefungua pazia. Si upendo wa kiuchafuchafu...
15 Reactions
152 Replies
8K Views
Back
Top Bottom