Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kumekuwa na makundi mengi kama Tmk wanaume, wakali kwanza, solid ground, gangwe mob, watu pori, n.k. lakini wasanii wengi waa hayo mkundi wameyumba kiuchumi hasa baada ya kuacha muziki. Hii ni...
18 Reactions
100 Replies
6K Views
Abel Loshilaa Motika, maarufu kama Mr. Ebbo, alizaliwa tarehe 26 Mei 1974 jijini Arusha na alikuwa msanii wa muziki wa hip hop kutoka Tanzania. Alijipatia umaarufu wake kupitia wimbo wake "Mimi...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Mtangazaji wa Clouds FM, Gardner G Habash amesema miongoni mwa vitu anavyojutia katika maisha yake ni kuachana na mke wa kwanza aliyezaa naye mtoto wa kike, Karen, ambaye kwa sasa yupo mwaka wa...
10 Reactions
130 Replies
37K Views
Gadna ameonekana kwenye video akiwa jukwaani akitamka hayo maneno baada ya kuulizwa kama ana ugomvi na aliyekuwa mke wake Lady Jaydee. "Sina neno na yule mtoto wa kike, nimeshamkojoza kwa miaka...
23 Reactions
566 Replies
170K Views
LICHA ya kutothibitishwa juu ya kuwepo au kutokuwepo kwa ndoa yake na mwanamuziki Judith Wambura Mbibo ' Jide' , mtangazaji maarufu Bongo , Gardner G . Habash ' Kepteini 'amenaswa na...
4 Reactions
145 Replies
27K Views
Katika kipindi cha Power Breakfast kilicho na muundo mpya Leo hii, mtangazaji maarufu Gardner Habash aliyekuwa ametengana na mke wake mwanamuziki maarufu komando Lady J D amemuomba mtalaka wake...
9 Reactions
150 Replies
26K Views
Sio siri mimi ni msikilizaji mkubwa na wa kudumu wa Clouds Fm na hususan vipindi vya Power Breakfast, Jahazi na kile cha michezo. Ni mshabiki pia wa watangazaji kama Masoud Kipanya, Ephraim...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Diamond baada ya kulalamika kuwa kampuni ya Ziiki Media haitakiwa watoe wimbo wake na hivyo wana mpango wa kuhuishusha lebel hiyo na mziki wake na wasanii wake! Kampuni hiyo nayo imemjibu Diamond...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Ziiki Media kampuni kutoka Kenya inasimamia usambazaji wa muziki kidijitali, Ziiki inashirikiana na kampuni zaidi ya 200 za ku-stream muziki online, wao wanakusambazia muziki kwenye platforms...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndugu nawasalim kwa jina la yule alieumba mbingu, ardhi na vyote vilivyomo ndan yake. Ndugu zangu nakumbuka marehem babu yangu aliwahi kuniambia kwamba, kama mwanamuziki mkongwe nchini Tanzania...
14 Reactions
57 Replies
5K Views
Kwenu wakuu. Nimtangazaji aliyekuwa na sauti laini na nyororo, aliwahi fanya kazi Sahara Media na baadaye naskia alihamia Azam Media. Nilikuwa nafatalia sana kipindi chake cha search line pale...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Binfasi naamini Darasa kwa uwezo wake na style yake ya kuchana akikaa kwenye ngoma moja na Zuchu watatoa chuma kimoja matata sana. Tuombe Mungu abariki siku moja tuone collabo yao ya kuisimamisha...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Hii live show ya Frida Amani ni ya level za kimataifa sana. Msanii gani mwingine anaweza kupiga live kwa level hizi? https://youtu.be/vamUjgmitOo?si=lkBx8muRD9w-b2ek
2 Reactions
1 Replies
580 Views
Shoga maarufu na mwenye mafanikio ya kutisha kutoka pande za Nigeria , Idris okuneye, maarufu kama Bobrisky, ametangaza ujio wake kwenye ardhi ya Magu, baada ya kualikwa na Msanii kutoka bongo...
4 Reactions
57 Replies
10K Views
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna hii tabia very chronic kutoka kwa mashabiki na machawa wa WCB ya kuhusianisha kila kitu na streaming numbers ili kujustify ujinga wao. We all know kwamba...
6 Reactions
12 Replies
990 Views
enzi hizo Afrika Mashariki ni Tanzania, Kenya na Uganda (TAKEU) Hizi ni kazi alizoweza kufanya na wasanii wa nchi zote za Afrika Mashariki na zikawa super hits zilizoteka media za nchi zote za...
9 Reactions
39 Replies
2K Views
Niliwahi kusikia habari za EAZY-E kwamba yeye ndiye GodFather of Gangsta Rap. Na zaidi nikaja kusikia kuwaKwa miaka ya 1986-1992 ni EAZY-E Pekee ndiye rapper aliyekuwa na pesa nyingi zaidi kuliko...
15 Reactions
144 Replies
4K Views
Bifu lilianzia baada ya hii interview aliyofanyiwa Chid Benz ,Chid alishauri Lady Jaydee akaimbe Gospel miaka miwili akae sawa ndipo arudi tena kwenye bongo fleva . Sasa lady Jaydee aliona kama...
20 Reactions
233 Replies
15K Views
Bwana haji Manara sawa kuoa ni haki yako ya kidini lakini isiwe geuze kuwa chanzo cha mapato kwa kulenga michango utakayopewa na ndugu na jamaa. Haiwezekani wewe ni kuoa kuacha kuoa kuacha...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
1. chambua kama karanga-saida karoli 2. kitobelo-saida karoli 3. Mapenzi kizungu zungu-saida karoli 4. Wanok nok-Mandojo&domokaya 5. taswira-mandojo&domokaya 6. niaje-mandojo&domokaya 7. Nizikwe...
16 Reactions
167 Replies
35K Views
Back
Top Bottom