Mimi shabiki wa Diamond na nina unga mkono juhudi zake za kuinua vijana katika mziki lakini awe ana angalia na watu wengine anao wainua kimziki kama akina Harmonize watakuja kumgombanisha bure na...
Katika pita pita zangu mitandaoni nimeona clip ya video ya diamond akiwa na familia yake sijui nchi gani, nilichopenda ni namna kijana anavyojitahidi kuwa karibu na mama yake, kutoka katika sakafu...
The ex Big Brother Africa star last night shared on snapchat a chat she had with a girl who she was supposedly asking out. In the chat she asked the girl to send her a picture of her butt hole and...
Katika kile kinacho itwa From Tandale to world tour,Diamond leo ametua Ujerumani kwaajili ya kukinukishaaa!
Lakini kilicho nishangaza ni kundi kubwa la watu alio nao,Sina kinyongo nao sababu wote...
Hawa watoto wamelelewaa vibaya tu au wana matatizo mengine zaidi naona huyu mwandishi wa New Yok Post kawaondolea uvivu
kuna watu wanasema hawa watoto ni 'too spoiled' na ni 'time bomb'
Soma...
Msanii na mwanamitindo maarufu nchini, Jokate mwigelo, anaendelea kufanya vizuri kwenye soko la urembo, ambapo hivi karibuni alifanikiwa kuwashawishi warembo wenye mvuto wa aina yake bongo, Hamisa...
Mkali wa muziki wa Bongo fleva hapa nchini, Nasib Abdul aka Diamond Platnumz, amekanusha tetesi zakwenda kumpima mtoto wake Latiffah 'Tiffah' vinasaba 'DNA' ili kupata uthibitisho wa kuwa ni...
Imefichuka! Baada ya kuitwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa ajili ya kupongezwa kutokana na tuzo aliyopata nchini Nigeria, staa wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ alijikuta akihaha baada ya...
Jambo limezua jambo! Siku chache baada ya kukabidhiwa talaka na aliyekuwa mumewe, Gardner G. Habash ‘Captain’, mali za mrembo wa nguvu, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ zinadaiwa kuzua kizaazaa baada...
Romy Jones alikuwa rafiki mkubwa
wa Ngwair. Kuanzia wanyama mpaka
radar entertainment lakini leo analishwa
bata na Diamond na
a Diamond huko fukwe moja ya
bahari wakati rafiki yake kipenzi...
Nimeona tamasa la diamond las vegas marekani watu walikuwa wengi mno na mbanano ulikuwa mkubwa sana.
Ukumbi ulikuwa kama egesho la magari au kama ukumbi wa buguruni. Spika zilikuwa hafifu na...
Wana jf salaam alekum, moja ya waandaaji wa vipindi vya TBC1 ninayemuadmire ni Mariam Migomba. Dada huyu ninampa credit kwa jinsi anavyoendesha na kukimudu kile kipindi cha Taarabu. Mimi siyo...
Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba, juzi alikwama kwenye Uwanja wa Ndege wa Kotonou, Benin kutokana na ndege yao kutua kwa dharura kwa kilichodhaniwa kuwa ni hitilafu kwenye mfumo wa hewa wa ndege...
Ma-Star wa Bongo Movia wamemuangushia party ya nguvu Mkuu wa Mkoa mpya wa Dsm ndugu Paul Makonda baada ya kuteuliwa na kuapishwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dsm.
Party hiyo ilijumuisha mastaa kibao wa...
Mitandao ya Udaku Afrika inaripoti kuwa muimbaji kutoka Tanzania Diamond Platnumz amempima DNA mtoto wake ‘Tiffah’ na mpenzi wake ‘Zari’ ilikujua kama yeye ni baba wa mtoto huyo.
Chanzo cha...
Nimekuwa nikisikia uvumi kuhusu kuchoka kwa huyu msanii wa muda mrefu na kudai amekwisha na wengine kudai amekamata umeme (ukimwi) yote ni maneno na huwezi kumziba mtu mdomo asiongee. Leo katika...
Wangrata haki etsa haki etsa so,
Wangrata haki etsa haki dlala so
Tokollo,kabelo na zwai.Miaka flani ya late 1990s to early 2000s hawa jamaa walitisha na kwaito yao.
Naskia waliwin Grammy ka...
Sam Wa Ukweli ni msanii ambaye alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kucheza na sauti yake na alikuwa na mashairi mazuri pia. Jamaa alitamba sana na vibao kama Sina Raha, Hata Kwetu Wapo. Kwa aliye na...